We are the underdog!So who's the underdog?
We are the underdog!So who's the underdog?
We are the underdog!
Nyani,How can the underdog be the odds on favorite to win, Mr. Jasusi?
..nina hakika hotuba ya Obama inaweza kuipiku ile aliyotoa Hillary.
..sina uhakika na perfomance ya Joe Biden na Bill Clinton.
..hotuba ya Mama itaingia kundi moja na ile hotuba ya Ted Kennedy aliyosema "the dream shall never die", na nyingine aliyotoa Mario Cuomo, kama one of the best speeches given at the democtratic national convention.
..kuna pundits ambao bado wanamng'ang'ania Hillary kwamba she didnt do enough. kwamba alipaswa kukanusha na kuungama kwa doubts zote alizo-raise kuhusu Obama wakati wa primaries.
Nyani,
Umeshawaona Wakenya kwenye marathon? They never lead, but win eventually. It is the same strategy this time.
..nina hakika hotuba ya Obama inaweza kuipiku ile aliyotoa Hillary.
..sina uhakika na perfomance ya Joe Biden na Bill Clinton.
..hotuba ya Mama itaingia kundi moja na ile hotuba ya Ted Kennedy aliyosema "the dream shall never die", na nyingine aliyotoa Mario Cuomo, kama one of the best speeches given at the democtratic national convention.
..kuna pundits ambao bado wanamng'ang'ania Hillary kwamba she didnt do enough. kwamba alipaswa kukanusha na kuungama kwa doubts zote alizo-raise kuhusu Obama wakati wa primaries.[/QUOTE]
...hata mie nafikiri alipaswa kufanya hivyo!! ilibidi aponde, Makopo kutumia picha zake kwenye Ads na kadhalika!!
Nyani,Jibu swali:How can the underdog be the odds on favorite to win?
Na kuhusu Wakenya, they are always the favorites to win and never the underdogs....
Nyani,
Seriously now! I believe Obama will win this election because of what the polls are not showing. The polls are focusing mainly on traditional voters. Barack Obama has cultivated and tapped into a current of young voters who are yet to appear in the polls. Just follow the trail of where his money is coming from, the power of the internet and the role of Face Book and you will see why Obama will win. I hear the Republicans have begun to tap into the Face Book generation but I think Obama is way ahead with this generation. He is simply the underdog because of his race and the traditional history of this country.
YNIM,
..actually Hillary alimponda McCain, na akamaliza kwa kusema "no way, no how, no mccain."
..kuhusu ads Hillary has come out more than once na kusema " i am hillary clinton and did not approve that message."
Ahahahahaaaaaa.....but she said on many occassions that she approved that message....ahahahahahhaaaa.....I'm having fun in this campaign....ahahahahaaaa
...acha fix,naona bado mna ndoto ya kushinda kwa kutumia negative campaign kama 00,04...not this time mazee,anza kuzoea President Obama!
Duh, afadhali Koba na YNIM, mmekuja kumweleza Nyani McCain ukweli maana nimeanza kuona kama tunasutana! Lakini amekiri he is on natural high kwikwikwi. Nyani unabadili jina, hubadili? Sema tukusaidie....
YNIM, mi kwa kweli nimefurahia sana speech ya Hillary na kwa kweli she did her best, lakini usitegemee awe mnafiki sana and she is doing what she needs to, uniting the party. She will come out stronger.
Pia kumbukeni Biden ni very old friends with the Clintons and their team, kwa hiyo ni kama kiunganishi Biden will play a big role.
Kumbe wewe na McCainmambo ya mitandao yamewapiga chenga ya mwili...?Nimeomba msaada kwa Invisible lakini naona kanichunia. Sijui na yeye Obama kool-aid drinker....
Nisaidie basi maana mwenzio siko inclined na haya mambo....
Kumbe wewe na McCainmambo ya mitandao yamewapiga chenga ya mwili...?
Nyani,
Weye Darkie, sasa angalia usimponze babu yako the way atakavyofanya makosa kumchagua Darkie mwingine Jindal!
Wewe kweli ni Obama kool-aid drinker!!! Yaani ni current situation gani hiyo unayoizungumzia wewe? All the fundamentals are favoring the Democraps...you've got an unpopular two-term Republican president, the economy is doing so-so (supposedly), Obama has raised more money and skipped federal funding, he's young and fresh and much more. How can he be the underdog? The underdog here is McCain....