US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Acha kumsingizia mama vitu! We had a good debate about Hillary, lakini vitu vingine mnamzushia tu pamoja na babu yako! Hillary yuko busy anafanya shughuli zake. You are looking at the next Supreme Court Justice - Hillary Rodham Clinton!

Halafu nyinyi ni wanafiki wa kutupwa. Mmem-demonize Mama kwenye primary halafu sasa hivi mnajifanya eti ni mwenzetu. Yeah right....I bet in that voting booth she'll pull the lever for McCain.

And FYI, when McCain wins on Nov. 4, I will change my name to Nyani McCain.......it actually sounds good saying it. Trying saying it loud and see.....
 
Hamna unafiki hapa! Mitt Romney na McCain were bitter rivals and they supporters also had war of words. ni kawaida tu. Wewe ndo umechukulia kwamba everyone else was unfair na bibi yako.
Kuhusu jina naomba ubadili jina leo hiihii, usisubiri mpaka ashinde, maana hapo nitajua you are truly supporting your babu si kwamba uko anti-Obama. Welcome Nyani McCain, goodbye Nyani Ngabu!
 
Kwi kwi kwi , wee Ngosha mpuuzi kweli kweli, ngoja tukupeleke Bugando na si Mirembe!
 
Hamna unafiki hapa! Mitt Romney na McCain were bitter rivals and they supporters also had war of words. ni kawaida tu. Wewe ndo umechukulia kwamba everyone else was unfair na bibi yako.
Kuhusu jina naomba ubadili jina leo hiihii, usisubiri mpaka ashinde, maana hapo nitajua you are truly supporting your babu si kwamba uko anti-Obama. Welcome Nyani McCain, goodbye Nyani Ngabu!

Susuviri,

Nyani anamsubiri Mbatizaji wake "Nyama Hatari" ambatize kwenye mto Yordani huku mbingu zikisema Bwahahahahaha na YNIM akisubiri kumchapa Mjukuu bakora!😉
 
What's with you and "bwahahahahaha" on every post? That's your insecurity blanket. Seriously you don't need an insecurity blanket when replying or posting to me. Why? Because my expectations of anyone who supports and believes in Obama are pretty darn low.

bwahahahahahahahahahahaha!!! mie naandika chochote ninachotaka mimi ilimradi sivunji sheria za JF....wewe ni bwege ndio maana nakucheka!!! insecurity my &$$...
 
YNIM, mi nilikwambia utapoteza muda wako kubishana na huyu jamaa. Si tumeshamsoma na kumwelewa.... endelea kucheka tu maana ndo dawa yake - ... banianyi mbaya kiatu chake dawa!
 
Hamna unafiki hapa! Mitt Romney na McCain were bitter rivals and they supporters also had war of words. ni kawaida tu. Wewe ndo umechukulia kwamba everyone else was unfair na bibi yako.
Kuhusu jina naomba ubadili jina leo hiihii, usisubiri mpaka ashinde, maana hapo nitajua you are truly supporting your babu si kwamba uko anti-Obama. Welcome Nyani McCain, goodbye Nyani Ngabu!

McCain's and Romney's rivarly was purely political. On the other hand, Mama and Obama's became almost personal. You guys called the Clinton's racist after years of adoring them and calling Bill the first black president. You called them all kinds of nasty names. Michelle Obama once said if you can't run your own house what makes you think you can run the White House. Tell me, what was she reffering to? Michelle even said she would think twice about voting for Mama if her husband would've lost. Susuviri, you are spinning this thing way out of control. Stop it and admit that the rivalry became personal.

Ok, I need help. How can I change my name in here coz I tried it and for some reason it didn't work. Do you know?
 
Susuviri,

Nyani anamsubiri Mbatizaji wake "Nyama Hatari" ambatize kwenye mto Yordani huku mbingu zikisema Bwahahahahaha na YNIM akisubiri kumchapa Mjukuu bakora!😉

Mchungaji, umenivunja mbavu! Lakini ubatizaji huu ni kaaazi kwelikweli.
But seriously, hivi huyu Babu yake Nyani ana wasaidizi? Hii ni aibu especially kwa kuwa ni right wing na anajaribu kuwavutia evangelicals, angekuwa very careful katika kuchagua hip hop artists na angehakikisha wanasikiliza nyimbo zake zote huyu Daddy Yankee. Au wakishindwa basi huo wimbo atakayosema ndo favorite yake ajue inahusu nini. Alafu swali nakumbuka Babu aliwahi kujibu that his favorite song ni wa Abba na watu waliposhangaa msadizi wake akaja na story kwamba alikuwa POW! Hahahaaa. Jamani wampe tu candidacy Mitt Romney, babu asingizie maradhi akae pembeni.
 
Halafu nyinyi ni wanafiki wa kutupwa. Mmem-demonize Mama kwenye primary halafu sasa hivi mnajifanya eti ni mwenzetu. Yeah right....I bet in that voting booth she'll pull the lever for McCain.

And FYI, when McCain wins on Nov. 4, I will change my name to Nyani McCain.......it actually sounds good saying it. Trying saying it loud and see.....

Duh!! yaani nimepaliwa na Kahawa, halafu nipo kwenye subway station hahaha bado kidogo tu watu waite paramedics....una akili mbovu sana wewe dogo!! ati, Nyani McCain. LOL..hiyo inaitwa fungua siku hahaha!! funny...
 
McCain's and Romney's rivarly was purely political. On the other hand, Mama and Obama's became almost personal. You guys called the Clinton's racist after years of adoring them and calling Bill the first black president. You called them all kinds of nasty names. Michelle Obama once said if you can't run your own house what makes you think you can run the White House. Tell me, what was she reffering to? Michelle even said she would think twice about voting for Mama if her husband would've lost. Susuviri, you are spinning this thing way out of control. Stop it and admit that the rivalry became personal.

Ok, I need help. How can I change my name in here coz I tried it and for some reason it didn't work. Do you know?

Nyani: acha unafiki! Clintonites aluded several times that Obama is not ready, memos show that they wanted to allude that he isnot American enough (if that's not racism what is it?)
Also talking about not being personal W Bush team in 2000 walimzushia babu yako that he fathered an illegitimate child and other nasty stuff, the democratic primary was not that bad, so acha ulalamishi. Na huyo Bill, asiseme kitu alianza mwenyewe kutmia race card, I don't want to rehash old stuff.
Hebu ongea na Invisble au PainKiller wakusaidie ubadili jina. Go, go!! Mjukuu wa McCain!
 
Duh!! yaani nimepaliwa na Kahawa, halafu nipo kwenye subway station hahaha bado kidogo tu watu waite paramedics....una akili mbovu sana wewe dogo!! ati, Nyani McCain. LOL..hiyo inaitwa fungua siku hahaha!! funny...

I'm serious man...Nyani McCain....

Invisible saidia mimi hapa....nataka kubadili jina lakini kila nikijaribu sifanikiwi...why man? Can you go behind the scenes and change it for me, please?
 
Nyani: acha unafiki! Clintonites aluded several times that Obama is not ready, memos show that they wanted to allude that he isnot American enough (if that's not racism what is it?)
Also talking about not being personal W Bush team in 2000 walimzushia babu yako that he fathered an illegitimate child and other nasty stuff, the democratic primary was not that bad, so acha ulalamishi. Na huyo Bill, asiseme kitu alianza mwenyewe kutmia race card, I don't want to rehash old stuff.
Hebu ongea na Invisble au PainKiller wakusaidie ubadili jina. Go, go!! Mjukuu wa McCain!

Ha! vipi na ile memo ya kampeni ya Obama kuhusu ku-play race card dhidi ya Clinton? Bill mwenyewe yuko on record akisema they played it against him. I can never be a Democrap. Never never never!!!!!!!!
 
Mwishoni mwa siku McCain anachukua. Sababu all the media zimeng'ang'ani kusema kuhusu Sen.Hillary 18M. Baraka doesn't present what kind of change he is all about. Political rallys doesnt work, Obama need to take to the people and listen their problems and then hit hard on McCain.

Republican knows this game ndio maana wameshinda zaidi ya 10 times while dems won 3 times. Hii ndio America dirty Politics. GOP will paint Obama as elites, out of touch and unpetriotic.
 
NOT THIS TIME, Mtanganyika!! Jaluo Jeuri, watu walim-write off alipoanza lakini amefika mbali. Babu yake Nyani hakuna kitu! Dirty politics will not work, wamarekani nao wameamka!!
Alafu kumbuka hata kwenye primary people were dispensing advice eti abadilishe message, eti aplay harder etc. lakini at the end of the day, basketballer Obama knows the game, na inahitaji akili as well as misuli. Hajaniangusha mpaka sasa and Obama atashinda. Lakini wacha watu wajue that he is the underdog, he always perfoms better as the underdog!
 
Whaat!!?? Who is the underdog in this race?
 
In the current situation, Obama is treated as the underdog, who is not able to budge in the polls while McCain is catching up and doing exceptionally well. And it's better ibaki hivyohivyo, when they don't see you coming you can really do many things!!
 
Wewe kweli ni Obama kool-aid drinker!!! Yaani ni current situation gani hiyo unayoizungumzia wewe? All the fundamentals are favoring the Democraps...you've got an unpopular two-term Republican president, the economy is doing so-so (supposedly), Obama has raised more money and skipped federal funding, he's young and fresh and much more. How can he be the underdog? The underdog here is McCain....
 
That's why we are going to win this time.
 
Back
Top Bottom