US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Masanja,

..umeishamsikia Dr.Ron Paul? alishindwa kwenye primaries za Republican. yeye alikuwa ana-propose a total dis-engagement of US military from foreign countries.

..nilisikia kwamba ana matatizo yake ya Racism, lakini kwa kweli anachokisema kuhusu US foreign and military policy nadhani nakubaliana nacho kwa kiasi kikubwa. they would never give him much publicity, kwasababu ni kama alikuwa anawa-expose conventional Republic candidates.

..kwa kweli George Bush amelikoroga kwelikweli. ndani ya Marekani wananchi wanataabika na hali ngumu ya uchumi. nje ya Marekani nchi changa zinataabika kwasababu ya ubabe wa Marekani.

Ron Paul simjui kiundani zaidi ya kusikia jina lake tuu mkuu. Ukweli ndugu yangu ni kwamba ubabe wa Bush ndo unazidi kutuumiza. Mafuta ni issue kubwa sana, kama umeona hata Europe naona wameanza kugoma, sasa jiulize huku kwetu uswahilini itakuwaje, kama serikali hazijapinduliwa.... Hapo hujaongelea challenge ya baa la njaa inayotukabili. Ofcourse hatutegemei USA isolve haya matatizo yote, lakini tunategemea iwe nchi ya kuwa cooperative na kuaccomodate mawazo ya wengine jinsi ya kutatua haya matatizo. Ndivyo Bush Snr. na Clinton walijitahidi hata kama hawakufanikiwa sana. Dunia kwa sasa ina challenge nyingi sana, na hii policy ya Bush ya kuwadivide watu..you are with us, or against us..ni mbaya sana!

Mimi huu uchaguzi nauangalia kwa taswira ya mbali sana. Consequences za Neo cons kurudi madarakani ni kubwa mno....to the rest of the world. Na China isnt doing us any favour! yeye anaona ndo mwanya wa kula na kipofu...

Tuendeleze mjadala ila as I said huu uchaguzi unawahusu sio wamarekani tuu hata sisi huku nje tunaumia sana!
 
Masanja,

..lakini ukiangalia kwa undani US foreign policy huwa haibadiliki sana.

..tunaweza kuwalaumu Republicans, lakini Democrats si walilikoroga Vietnam?

..hii vita na magaidi mimi naiona ni muendelezo ya vita vya Afghanistan. Marekani amenunua hii vita toka kwa former USSR. actually kulikuwa na nafasi kwa USSR kuwasafisha Mujahidin toka ktk dunia hii.

..vilevile hapo kwa jirani zetu wa Congo, si utawala wa Mzee Clinton ulikuwa na mkono wake? the US point person ktk masuala ya Afrika alikuwa Susan Rice, ambaye sasa hivi anamshauri Barack Obama.

NB:

..ni vizuri kuuangalia uchaguzi huu kwa taswira ya mtu wa nje.

..talk about China,.....nilisikia Wazambia wanawalalamikia hawa jamii na migodi yao ya shaba. sasa nasikia Jaji Bomani anataka tuige sera ya madini ya Zambia.

..vilevile hawa tunawashtukia leo, lakini walijipanga toka zamani sana. hata reli ya Tazara waliyotusaidia waliitumia kama nafasi ya ku-showcase uwezo wao ktk masuala ya ujenzi. pia kipindi hicho hicho tulishuhudia bidhaa nyingi sana toka China kwenye maduka ya Tanzania.
 
punda ni yule yule tofauti soji tu waungwana. tusipoteze muda na kuwekatumaini hewaa m
 
Unajua wengu humu tuna mitizamo tofauti na hizi campaign za USA, which is good.. I as one, naangalia effect na consequences za kila kiongozi anayegombea kwa mustakabali wa maisha yetu especially third worlders. After all mustakabali wetu bado unategemea kwa kiasi kikubwa maamuzi ya USA na washirika wake ndo maana sikio lote liko US! Mfano kama tension ya kuivamia Iran itaendelea, basi tujue kabisa kwamba supply ya mafuta itazidi kudorora na wanaoumia ni ndugu zetu wa kima cha chini sana wanaotegemea dala dala na usafiri usioeleweka. Forget the politics of alternative energy, for now, we in poor countries we dont have that luxury.

Hivi watu mnaongelea mafuta ughaibuni..mfikirie mtanzania wa kawaida na mshahara wake wa 80,000 anayepanda dala dala kila siku...Its tragic I tell you! mshahara wote unaishia kwenye dala dala....

Kifupi I think Obama hata kama akiendeleza sera za USA, ila atakuja na different tone...aweze kuwasikiliza na kuwa accomodate wengine. Which the world badly needs. Jamaa siyo MBABE. In international politics, hiki ni kitu kikubwa sana for USA to do, just kuwa msikivu tuu! Kauli ni kitu muhimu sana na unavyoitoa ina matter. Bush ametufikisha hapa kwa kauli zake za kibabe na kizandiki, Africa tunategemea mafuta kuendesha maisha yetu...But with the current Bush policies..we are doomed.......Thats what we are gauging and looking at when we are discussing the politics of USA now!

For the rest tunaoangalia preferences..its our right, but as an African or a third world person I dont have that luxury ya kuangalia mambo kwa ushabiki! My realities dictates otherwise. a humble, listening, accomodating and considerate person in the WH..will do a world a great service and for now I think Obama is that voice.

Ila tukisema tujifikirie wenyewe, elites, bila kuangalia bigger picture the effects za huu uchaguzi we can do so......though ukweli unabaki..the world is now in a dire need of a strong and responsible and listening USA leadership! among the two, Obama can offer more than Mccain.

REMEMBER TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS EXPECTED!

binafsi sina interest na ati "jinsi gani nchi za dunia ya tatu kama bongo zitakavyonufaika na uchaguzi wa USA."!! mie naangalia maslahi yangu hapa nilipo na ndio maana sitaki Makopo ashinde...........ninyi mliopo bongo komaeni na Sisiemu mpaka kieleweke, na sio kutegemea Rais Obama au Makopo apunguze bei ya mafuta na blah blah blah!! kama bei ya mafuta ipo juu, basi endesha baiskeli kwenda kazini au tembea kwa mguu...ebo, ebu acheni uvivu bwana!!. matatizo mengine ya watu wa bongo ni ya kujitakia tu...........
 
Manji supporter!
You asked about hig gas prices. and what Obama is planning, mbona inaeleweka, one thing Obama is not doing (and he won on that while HIllary and McCain fared badly on this issue) is to give tax holiday!
Na kibabu chako itabidi aelezwe that this idea imepitwa na wakati na economists wote (left and right ) hawaitaki na wanasema siyo solution, but then kibabu nacho kimepitwa na wakati

I am not interested in what Obama is NOT going to do about the high gas prices. I want to know what he is going to do about it. Unless his strategy is not to do what McCain is going to do...LOL.
 
Ngabu i doubt ur IQ or may be unakuja hapa kuleta ubishi tuu,big supporter wa Hillary leo unajifanya 100% babu makopo...Obama/Hillary believe in Democrats principles na 95% of the time voted together na hata Hillary amesema it'll be beyond ignorance for anyone to vote for Babu makopo McCBush,sasa wewe sijui unasimamia wapi au ni yale mabigoted ambayo yanavote color,huyu mwenzako manji tunajua inawezekana ni muhindi na tunawajua tabia zao na ndio maana bila aibu ameanza kutuletea ushuzi wake wa Jindal,una shida sana wewe na unaonekana hujui chochote zaidi ya ushabiki tuu wa radio za kina Hannity na Limbaugh mla dawa
 
binafsi sina interest na ati "jinsi gani nchi za dunia ya tatu kama bongo zitakavyonufaika na uchaguzi wa USA."!! mie naangalia maslahi yangu hapa nilipo na ndio maana sitaki Makopo ashinde...........ninyi mliopo bongo komaeni na Sisiemu mpaka kieleweke, na sio kutegemea Rais Obama au Makopo apunguze bei ya mafuta na blah blah blah!! kama bei ya mafuta ipo juu, basi endesha baiskeli kwenda kazini au tembea kwa mguu...ebo, ebu acheni uvivu bwana!!. matatizo mengine ya watu wa bongo ni ya kujitakia tu...........

Mkuu kauli kali sana hiyo.....wamekuudhi nini leo😕
 
Mkuu kauli kali sana hiyo.....wamekuudhi nini leo😕

hamna cha ukali hapo ni mawazo yako tu...mie nasemaga ukweli kila siku( at least kwa stds zangu)!!

hapa mie ninapoishi ndio hivyo, watu ambao wanaona bei ya gas inawaumiza...wametafuta njia mbadala za kuendesha maisha yao bila maumivu!! kama kutumia baiskeli, car pooling, kutembea kwa mguu na wengine hasa rural areas wameamua kutumia farasi........watu watafute jinsi ya kupambana na hali halisi na sio kulalamika tu!!!.

bei ya mafuta na bidhaa nyingine zitokanazo na mafuta zitaendelea kupanda, na hakuna yeyote anaeweza kuzuia....soln pekee kwa sasa ni ku-cope na hiyo fact (watu lazima waangalie upya appetite zao na mafuta), mpaka pale vumbi la kuporomoka kwa $$, the rise of China na India litakapo tulia (kama litatulia)...vinginevyo ni longolongo tu!!!

goodnight and goodluck.
 
Ngabu i doubt ur IQ or may be unakuja hapa kuleta ubishi tuu,big supporter wa Hillary leo unajifanya 100% babu makopo...Obama/Hillary believe in Democrats principles na 95% of the time voted together na hata Hillary amesema it'll be beyond ignorance for anyone to vote for Babu makopo McCBush,sasa wewe sijui unasimamia wapi au ni yale mabigoted ambayo yanavote color,huyu mwenzako manji tunajua inawezekana ni muhindi na tunawajua tabia zao na ndio maana bila aibu ameanza kutuletea ushuzi wake wa Jindal,una shida sana wewe na unaonekana hujui chochote zaidi ya ushabiki tuu wa radio za kina Hannity na Limbaugh mla dawa

Pumbavu kabisa wewe. Unathubutu kuhoji IQ yangu wewe....tatizo lako wewe unadhani mtu yoyote anayevote Republican au ambaye hatampigia kura Obama basi ni bigot. Unashangaza sana wewe. Yaani mmefanya kumpigia kura Obama kuwa ndio litmus test ya bigotry na racism. McCain ni moderate/ centrist. Mama ni centrist. Obama ni ultra-liberal. I am a centrist. So there you have it on why I now support John Sydney McCain...so what is your problem bwana mdogo?
 
Nyani should I burst a kid's bubble? sijachangia hii mada na nadhani wakati umefika...

Karibu sana huku, lakini unahitaji pumzi hasa. Nyani ana matatizo na hataki kusikia ushauri; nilimshauri kitambo kuwa sio lazima ujadiliane na kila mtu-wengine unaweza kuwaweka kwenye ignore list-yeye hataki, matokeo yake ndio hayo sasa anaambiwa ana matatizo ya IQ, it couldn't get worse....
 
binafsi sina interest na ati "jinsi gani nchi za dunia ya tatu kama bongo zitakavyonufaika na uchaguzi wa USA."!! mie naangalia maslahi yangu hapa nilipo na ndio maana sitaki Makopo ashinde...........ninyi mliopo bongo komaeni na Sisiemu mpaka kieleweke, na sio kutegemea Rais Obama au Makopo apunguze bei ya mafuta na blah blah blah!! kama bei ya mafuta ipo juu, basi endesha baiskeli kwenda kazini au tembea kwa mguu...ebo, ebu acheni uvivu bwana!!. matatizo mengine ya watu wa bongo ni ya kujitakia tu...........

You are right. Ni utoto na ni uhuni kufikiri kwamba Rais wa marekani yeyote atatuletea unafuu. Tunawajibika na mizigo yetu, mjomba ni sisi wenyewe.
 
Karibu sana huku, lakini unahitaji pumzi hasa. Nyani ana matatizo na hataki kusikia ushauri; nilimshauri kitambo kuwa sio lazima ujadiliane na kila mtu-wengine unaweza kuwaweka kwenye ignore list-yeye hataki, matokeo yake ndio hayo sasa anaambiwa ana matatizo ya IQ, it couldn't get worse....

.....kwa hiyo una suggest ngabu aniweke kenye ignore list maana ni mimi nilimwambia ana IQ ndogo au?una akili mbovu sana wewe za kununa nuna kama demu na unachoona ni hicho tuu katika post zaidi ya 1000 nilizopost...kuna mambo mengi sana tuna exchange good ideas na ngabu na calling names goes both ways (no big deal) na ingekuwa kila name calling tuna take offence tusingekuwemo humo...mpuuzi sana wewe!
 
mkuu taratibu, mheshimiwa ujumbe utakuwa umemfika huwezi jua alikuwa yuko ktk states gani.

kwani ni mjeruhiwa huyo
 
.....kwa hiyo una suggest ngabu aniweke kenye ignore list maana ni mimi nilimwambia ana IQ ndogo au?una akili mbovu sana wewe za kununa nuna kama demu na unachoona ni hicho tuu katika post zaidi ya 1000 nilizopost...kuna mambo mengi sana tuna exchange good ideas na ngabu na calling names goes both ways (no big deal) na ingekuwa kila name calling tuna take offence tusingekuwemo humo...mpuuzi sana wewe!

...polepole Msee Koba wa Kobelo, nadhani jamaa alikuwa anatania tu kwikwikwikwikwi, lakini naona wewe umemvamia full mass nondo! unaua panya kwa gobole...kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom