YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,241
- 93
Si niliwaambia nyinyi...Obama ukimwondolea teleprompter...halafu umwache aongee au atoe spichi bila kusoma ataboronga. Alhamisi iliyopita kaboronga kishenzi alipokuwa Virginia.....eti anaanza kuzungumzia mambo ya asthma na "inhalater"..."inhalater" ndio nini? Kwani mtu ukiwa na asthma wanatumia "inhalater" kukutibu?
yeah yeah...tatizo jamaa ni smoker/ yupo kwenye struggle ya ku-quit! inhalater ni madude ya nicorrete ktk kusaidia watu ku-quit......hapo ndio mambo yalipoji-mix!! nadhani nia yake ilikuwa kuzungumzia inhalers (zile MDI "metered dose inhalers" kwa mitambo kama wewe Ngabu na wazee wasioweza kulengesha huziwekea "spacer"...ndani kuna kuwa na meds kama beta blockers i.e albuterol, anticholinergics i.e ipratropium bromide a.k.a spiriva, steroids i.e fluticanasone, cromilyn sodium a.k.a intal au mixtures ya madawa hayo kama vile advair... e.t.c) ambazo hutumika kutibu asthma and other respiratory ailments!!
sasa basi alichokosea hapo ni kusema inhalater badala ya inhaler....asthma ni issue kubwa sana hasa kwa watoto, ipo connected na some allergies!! kwa mawazo yangu haikuwa gaffee bali ni kuchanganya tu maneno.........tatizo lenu mnataka kuwin chaguzi kwa kutumia vitu vya kipuuzi kama hivyo!! well, wapo wakina "bitter" white americans walio-drop high school mtakao wapata.
goodnight and goodluck.