YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,236
- 63
Huh?? Whatchu talkn' bout boy?
gangamara wewe mtoto wa kiume....ebo!
Huh?? Whatchu talkn' bout boy?
gangamara wewe mtoto wa kiume....ebo!
You sound more and more gay.....
...unageuza kibao eeenh? too lil' too late, kama kampeni ya HRC vile...bad strategy!!
Anaumwa nini? Umempima? Hillary ni fighter. Mpaka sasa Hussein Obama haja close deal. Wewe umeona wapi mpaka sasa frontrunner bado anashindwa tena vibaya sana (ala WV and KY)? There is a reason for it. I tell you, come November 4th, these Democraps (aka Obama-maniacs) will have buyer's remorse after the devastating arse whuppin that Mac is going to lay on their guy. Only Mama can go toe to toe with Mac.
polepole na tungi hilo!! duh, mbona mapema lakini msee kuwa bwaksi?? au ndio gari haliwaki mpaka lisukumwe?? LOL
I think you are just projecting your own fantasies here...
Kwi kwi kwi by the way hongera kwa posti alfu mbili!
Kwa kweli hii ni issue. Yaani hata watu kujua kwamba jamaa atashinda nomination bado wanaendelea kumpa Hillary kura. Haikuwa hivi kwa MacCain. This smells trouble in November and there is plenty of work to be done by Obama and the team!
khe, kumbe mama anasubiria possibility ya BHO assassination!!? kaaazi kwelikweli....yaani Ted Kennedy alivyokuwa anamzimiaga kaka lake RFK, hii itakuwa ni ngumu sana hasa wakati huu wa yeye ku-fight cancer!!
shame, shame and shame.........
Nyani Ngabu hua una nikera!!
..kitila,
..hao jamaa waliompa kura mama wanafanya hivyo b'se she's white and anaendelea kugombea. that's it. hizo states si zinafahamika!
..kimsingi,wao mawazo yao ni kuwa hiyo ndio "ge",lol!
..mama akiondoka kwenye picha na "kurudi kundini" wengi wao wataunga tela!
DAR SI LAMU said:..unajua,huyo mama hana akili hata kidogo. she's so cheap!
..nyani,matamshi ya mama[mtu ambaye anategemea awe na busara za kuendesha nchi]ni ya kitoto na ya kutowajibika kabisa. simply,anakubali ameshindwa!
Dar-Si-Lamu,
..Mama hakumaanisha kwamba anasubiri kuona kama Obama atakuwa-assasinated. nadhani ppl are just paranoid, na wengine wana ajenda ya kumuua HRC kisiasa.
..HRC alikuwa akielezea kwamba KIHISTORIA ziko Democratic primaries ambazo ziliendelea hata baada ya mwezi June.
..Zaidi HRC alieleza kwamba Bill Clinton ali-win nomination in June. Halafu akaongeza RFK alikuwa assasinated in mid June. Kwa msingi huo, the democratic primary which RFK was contesting was still not decided by mid June. That is a Historical Fact.
..Labda ni mimi tu, lakini naamini kabisa mtu yeyote makini akisikiliza interview nzima ya HRC atafikia conclusion kwamba huyu mama wa watu hakuwa na maana ya kusema kuwa Barack anaweza kuuwawa au yeye HRC anasubiri kuona kama Barack hatauwawa.
..Binafsi nadhani watu ambao ni IRRESPONSIBLE ni hawa MA-PUNDIT wanaosisitiza kwamba matamshi ya HRC yanahusu a possible assasination on Barack.
..Kuongezea tu Sen.Ted Kennedy aliamua kumpinga Raisi wa chama chake Mzee Jimmy Carter. Ted Kennedy alikuwa na kura chache kuliko alizonazo HRC, lakini aliendeleza kampeni zake mpaka kwenye Convention.
..Sasa hivi Ted Kennedy anam-support Barack Obama na ni kati ya wale wanaomfokea HRC asitishe kampeni yake.
..Fikiria shutuma ambazo HRC angepewa ikiwa angekumbusha kampeni ya Ted Kennedy, ukizingatia kwamba Ted sasa hivi anasumbuliwa na brain-tumor.
NB:
..nadhani hizi habari zinapindishwa ili TV ratings ziende juu. hapa nawazungumzia MSNBC.
..CNN walimpa nafasi campaign manager wa HRC kutoa clarification did not report the incidence any more. kuna channels nyingine hata hawajalizungumzia hili suala kwasababu halihitaji hata maelezo.
Mama katoa Fatwa ala RFK!
..
..CNN walimpa nafasi campaign manager wa HRC kutoa clarification did not report the incidence any more. kuna channels nyingine hata hawajalizungumzia hili suala kwasababu halihitaji hata maelezo.