US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Ni ukweli kabisa kwamba, mtu yeyote anayehitaji kuwatumkia wananchi lazima ajue atawafanyia nini. A leader should over see. Na ni lazima awe creative na kuchukua maamuzi haraka hasa katika kutatua matatizo ya watu. Ni vizuri pia watu wakajua ni kwanini tunamchagua fulani. Katika siasa za hapa kwetu nafikiri nimejifunza mambo mengi hasa yanayosababisha vyama vyetu vya upinzani kushindwa kila mara. Moja ni kuwa na wagombea dhaifu wasiokuwa na maono hili limetokea katika maeneo mengi sana. Sikweli watu wanashindwa kubadilika ila ni hali halisi kutokujua nini kifanyike na kuwandaa wagombea wetu mapema ili pia na wao waanze kujifua. Kwa kuwa Bwana kitila wewe umetokea huku kwetu na najua unayo mengi sana ya kutusaidia jiandae pia kuonesha challenge.

Katika hali ya kawaida hakuna mtu anapenda udhalimu, kila mtu anataka kupima na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati unaofaa.

Mgombea anaposema hana sera ila chama ndio linacho sera na akashinda maana ake hakuna anayefaa ila wameonelea huyo kwakuwa anaafadhali. Huo ndio ukweli wenyewe. Wale walioko kwenye siasa jaribuni kwenda kugombea ukiwa na maana ya kugombea na kama unataka ubunge weka safu kuanzia wenyeviti wa vijiji na serikali yake na baadaye madiwani hakuna cha ajabu zaidi ya hapo. Nimeona watu wengi sana wanaogombea wanakuja kufanya hivyo na hajui atafanya nini kuwin majority. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye siasa and if u real mean politics.

Jamani kazi njema
 
Last edited:
Kilichomwangusha Gore si ilikuwa mambo ya NRA na bunduki na ile ban ya assault weapons waliyopitisha Gore na Clinton!

true true, na misimamo yake against "big tobacco"....unajua TN kwa kiasi flani wanategemea sana zao hili!!!!!! lakini hata hivyo ni upuuuzi kwa watu wa TN kumnyima uraisi mtu wa kwao...ni u-partisan wa kipuuzi kabisa.
 
ok...Kumbe ulikua Haujui!....test the sky high!!
Duh! nipo pombe kimtindo!! sio sanaa...

polepole na tungi hilo!! duh, mbona mapema lakini msee kuwa bwaksi?? au ndio gari haliwaki mpaka lisukumwe?? LOL
 
true true, na misimamo yake against "big tobacco"....unajua TN kwa kiasi flani wanategemea sana zao hili!!!!!! lakini hata hivyo ni upuuuzi kwa watu wa TN kumnyima uraisi mtu wa kwao...ni u-partisan wa kipuuzi kabisa.

Kwa watu wenye akili finyu kama wewe mnaona upuuzi lakini kwa watu kama sisi tunaona watu wa TN ni werevu wanaoweka principle ahead of loyalty.....
 
...thats all?? brilliant, Nyani Ngabu.
 
Kwa watu wenye akili finyu kama wewe mnaona upuuzi lakini kwa watu kama sisi tunaona watu wa TN ni werevu wanaoweka principle ahead of loyalty.....

principle?? labda kama hilo neno huko GOP lina maana nyingine.......principle ndio ku-run ads kama lile la "call me"?? principle?? talking about principle? nadhani hata ushasahu kinamna gani TN imeingia kwenye gumzo hapa!! rudi nyuma kijana, pekuapekua kabla ya kukurupika kama yule ndugu yako alosema Obama ni appeaser bila hata ya kujua maana ya neno husika!!! shame on you.........ZIRO kabisa wewe tena "toto hasira."
 
Ha! unataka kuzungumzia matangazo sio...unakumbuka Missouri democraps wali-run matangazo gani kule MO mwaka 2000?
 
I told you to stop drinking your own bath water but then again you never listen....so knock yourself out......

man, its wednesday...whats up?? yaani hata kufikiria nadhani nao umekuwa msamiati!! haya, nashukuru kukufahamu..LOL
 
Ha! unataka kuzungumzia matangazo sio...unakumbuka Missouri democraps wali-run matangazo gani kule MO mwaka 2000?

nilikuwa MO kama mkazi mwaka 2000, tena Uncle Jesse alikuja kwenye Chimbo langu kukampeni.......that semester nilikuwa na darasa la american political system( just for curiosity)!!!! hivyo basi nilifatilia kwa karibu sana ule uchaguzi, kabla na baada ya Gavana Mel Carnahan kufariki katika ile ajali ya ndege.......hata siku ya uchaguzi ile November kulikuwa na chaos kibao in Kansas City na St. Louis, stori ilikuwa kwamba sio kuokoa Al Gore bali ni Kuchagua the dead guy over John Ashcroft!!!! sasa ni tangazo gani baya lilo-run MO mwaka 2000???? kama ume-miss point ya bandiko langu ni kuwa...mwaka 2000 Dems walikuwa wame-concede MO ktk urais hata kabla ya siku ya uchaguzi.............lete maneno!
 
...MO ni state ya kama watu Millioni tatu, zaidi ya nusu wanaishi kwenye big three za I-70( St Louis, Columbia na Kansas City)!! pop nyingine kubwa ipo Springfield ambao ni mji wa tatu kwa ukubwa mbele ya Columbia.......Springfield ipo kwenye bible belt( hii ni ndani ya Ozark) maili si nyingi toka the famous Branson, MO...mji mwingine mkubwa ni Joplin kama unaenda Arkansas, thats way down.

Now, kwa any democrats kushinda lazima awe na support kubwa toka STL, KC, Columbia na pale kwenye Capitol(Jefferson City)...vinginevyo hawezi kushinda kwani the rest of the state ni red as hell!!! sababu ya kukupa hii shule fupi ya MO ni kwamba hakukuwa na tangazo lolote baya, nilikuwepo MO na sikuhadithiwa kama wewe......i hope unanielewa.
 
nilikuwa MO kama mkazi mwaka 2000, tena Uncle Jesse alikuja kwenye Chimbo langu kukampeni.......that semester nilikuwa na darasa la american political system( just for curiosity)!!!! hivyo basi nilifatilia kwa karibu sana ule uchaguzi, kabla na baada ya Gavana Mel Carnahan kufariki katika ile ajali ya ndege.......hata siku ya uchaguzi ile November kulikuwa na chaos kibao in Kansas City na St. Louis, stori ilikuwa kwamba sio kuokoa Al Gore bali ni Kuchagua the dead guy over John Ashcroft!!!! sasa ni tangazo gani baya lilo-run MO mwaka 2000???? kama ume-miss point ya bandiko langu ni kuwa...mwaka 2000 Dems walikuwa wame-concede MO ktk urais hata kabla ya siku ya uchaguzi.............lete maneno!

Democraps wali-run matangazo yaliyokuwa yakisema ukichagua GOP makanisa yataanza kuunguzwa tena....implying kwamba GOP ni KKK.....
 
...in your dreams!! hakukuwa na kitu kama hicho...chances are GOP na Karl Rove wao manufactured huo upuuzi ili ku-rally christian conservatives in south east missouri!!!! kama nilivyosema hapo juu Dems ua wanashinda Missouri kwa kutumia hizo pop centers za STL, KC, Columbia na kwa kiasi flani Jefferon City...all they do is to give this people a reason to turn out in big numbers na ndio maana siku zote chaguzi za MO iwe GE au primaries uwa very close na anybody can be a winner!!! GET IT, FOOL??
 
..nenda ka-google au vyovyote ulete dataz za hayo matangazo mabaya toka DNC ndani ya Show-Me state in 2000!! do it..
 
...in your dreams!! hakukuwa na kitu kama hicho...chances are GOP na Karl Rove wao manufactured huo upuuzi ili ku-rally christian conservatives in south east missouri!!!! kama nilivyosema hapo juu Dems ua wanashinda Missouri kwa kutumia hizo pop centers za STL, KC, Columbia na kwa kiasi flani Jefferon City...all they do is to give this people a reason to turn out in big numbers na ndio maana siku zote chaguzi za MO iwe GE au primaries uwa very close na anybody can be a winner!!! GET IT, FOOL??

Now you have graduated from drinking your own bath water to drinking toilet water....yuuuuck!!!!! You need help for you're deep in denial
 
Back
Top Bottom