..true, true! lakini ni notion mbaya sana kuikumbatia kwani can be used against whoever the Dem nominee is.....issue hapa ni issues na sio kujisahau kwa kusema kwamba americans wamechoka and therefore its obvious that, they will vote Dem come November......that will be a fatal mistake, yaani kama kuna wapiga kura pumbavu ktk dunia hii basi wa TZ na US ndio wapo on top....sijui ni wepi wanaowazidi wenzi wao, maana bongo hawapo well informed then wanaboronga...hawa wa huku wanakila kitu na infos zote lakini kwa kuboronga pia hawajambo!!
......LOL, nasikia baracuda pamefungwa!! lakini Jogoo House (karibu na stand ya Dar) bado ipo, hapo ilikuwa kwa nyama ya mbusi.....ubavu mzima kwa buku tu, yum yum!! Soweto Garden.....etc etc
Enzi hizo debe ni Rosta, Arusha by Night, Clouds(kijenge), 77 hotel na baadae pale Crystal Club, kwa ndani hivi lakini opposite na Metro.......Arusha ilikuwa tamu sana mazee!!.
.......ngoja nimwangalie COMEDIAN Keith Olbermann, si unajua tena uki-miss leo mpaka monday(sie wengine tupo addicted)
laterz.
Kura za wana democrat zilikuwa nyingi na pengine zaidi ya mara mbili ama tatu za kura republikans..Hivyo wanajua there's no way Dems watashindwa next election unless waharibu wenyewe kama mama anavyofanya now!
BTW kabla ya HIllary camp haijasema kwamba something unforeseeable applies to Obama, naomba kukumbusha that it applies to McCain as well especially as 72 year old guy, former POW who had melanoma (skin cancer)Friday, May 09, 2008
Rasmussen Reports has been tracking the race for the Democratic Presidential nomination daily for nineteen months since November 2006. For the last few months, the most remarkable feature of the race has been its consistency and stability. Senators Barack Obama and Hillary Clinton are both running historic campaigns and both have captured the votes and hearts of distinct and important constituencies within the Democratic Party. Obama has won Primaries in states where the demographics favor his campaign and Clinton has won in the states that favor her campaign.
However, while Senator Clinton has remained close and competitive in every meaningful measure, she is a close second and the race is over. It has become clear that Barack Obama will be the Democratic nominee.
At the moment, Senator Clintons team is busily trying to convince Superdelegates and pundits that she is more electable than Barack Obama. For reasons discussed in a separate article, it doesnt matter. Even if every single Superdelegate was convinced that the former First Lady is somewhat more electable than Obama, that is not enough of a reason to deny him the nomination.
With this in mind, Rasmussen Reports will soon end our daily tracking of the Democratic race and focus exclusively on the general election competition between Republican John McCain and Democrat Barack Obama. Barring something totally unforeseen, that is the choice American voters will have before them in November. While we have not firmly decided upon a final day for tracking the Democratic race, it is coming soon.
Nimeanza kugundua Obama supporters kwenye hii forum wana-treat hii nomination process ki-CCM. Wanafikiri ukipata nomination ya CCM basi umepata urais!
Kwani nani alisema fighter anataka u-VP? Yaani tayari mmeshahesabu kwamba Obama ni Rais? Hujamsikia leo mayor wa New York anasema Obama hawezi kushinda utais wa Marekani?
Hizo nyodo zenu ndio zinamfanya figher aendelee kubaki kwenye race. Obama mmwenyewe ameshaomba sana kuwa muache nyodo maana fighter ana lundo la wapambe, wakinuna wakaacha kupiga kura kwa Obama hawezi kukatiza November
Mhhh..sensiless fighter indeed! Hii ni kama bongo watu watang'ang'ania kuruka na helkopta nchi nzima wakati wakijua kabisa candidate wao hachaguliki..wastage of resources....makombati all the time..fighting for nothing. Huyo mke wa Clinton anaharibu sasa kuliko kujenga..it's over, then she should join Barack for Democrats betterment. Watu wasipokukubali, usilazimishe..watazidi kukuona hufai..kind of greedy.
Wewe endelea kwa kujidanganya eti kura za primary zina reflect kura za uchaguzi mkuu. Novemba 4 mida ya saa tatu EST. FOX News waki-call uchaguzi kwa Mac utajinyea....
Unachanganya mambo fuatilia utajua nilichosema!
Hujasema chochote cha maana zaidi ya ushabiki tu. Utaamka ifikapo Nov.4....
Ushabiki?
Mshabiki mimi ama wewe usiyejua unachokisema?
Nyie watu wenye fikra kama hizi ndio mliwauza mababu zetu utumwani!
I aint got time to waste!
Tukutane kwenye jukwaa la kisiasa kujadili mustakabali wa nchi yetu!
Huko ndio penyewe na hakuna ushabiki kwani mawazo ya kitumwa huanikwa!
Hapa si unafunikwa na blanketi la "Siasa za Marekani?"
Njoo kwenye ulingo wa siasa za nyumbani na fikra zako za kibeberu zitagonga mwamba kwenye mijadala yenye kulenga kuisukuma nchi yetu mbele kimaendeleo!
Unachekesha unapozungumza lugha kama hii huku ukiwa una enjoy comforts za ughaibuni (kwa mabeberu).....bwahahahahaaaa....Kama kweli una nia ya kuchangia maendeleo ya taifa lako rudi kwenu halafu ndo uanze kuzungumza kama mwanamapinduzi.
Unachekesha unapozungumza lugha kama hii huku ukiwa una enjoy comforts za ughaibuni (kwa mabeberu).....bwahahahahaaaa....Kama kweli una nia ya kuchangia maendeleo ya taifa lako rudi kwenu halafu ndo uanze kuzungumza kama mwanamapinduzi.
Nitafanya hivyo nikishamaliza masomo yangu!
Kwa taarifa yako nitaenda kuanzia vijiji,mijini everywhere kukampeni kwa yule nitakayeona ana nia nzuri na sisi!
Naitumia kampeni ya Jaluo kujinoa...We subiri 2010!
Nitaenda kutwangwa na jua kama kawa!
......LOL, nasikia baracuda pamefungwa!! lakini Jogoo House (karibu na stand ya Dar) bado ipo, hapo ilikuwa kwa nyama ya mbusi.....ubavu mzima kwa buku tu, yum yum!! Soweto Garden.....etc etc
Enzi hizo debe ni Rosta, Arusha by Night, Clouds(kijenge), 77 hotel na baadae pale Crystal Club, kwa ndani hivi lakini opposite na Metro.......Arusha ilikuwa tamu sana mazee!!.[/quote]
Saana tuuu!
Nitafanya hivyo nikishamaliza masomo yangu!
Kwa taarifa yako nitaenda kuanzia vijiji,mijini everywhere kukampeni kwa yule nitakayeona ana nia nzuri na sisi!
Naitumia kampeni ya Jaluo kujinoa...We subiri 2010!
Nitaenda kutwangwa na jua kama kawa!