He he, Haya naona Rev Wright amezungumza na PBS interview itakuwa aired friday.
Nyani,
hivi ulijuaje kuwa aliyesema hivyo ni Jenna na sio Barbara? unaharibu mijadala kwa hii tabia yako ya kupotezeana muda!! ebo.
Icadon,
hayo mazungumzo na Bill Moyer, tayari segments zipo hewani......jamaa kasema kwamba Obama kajibu ile controverse kama mwanasiasa! hiyo tayari imeshawapa hayday pundits. lakini kijumla hakuna "awkward moments" ktk interview nzima!!
good job Rev. Wright, Go Obama.
Tatizo lako wewe uelewa wako ni mdogo sana. mwenzio haja-commit kwa mgombea yoyote....yuko tayari kuwasikiliza wanaleta nyimbo gani....lakini wewe tayari umeshahitimisha eti kasema atapigia mgombea wa democratic....Wakati mwingine nashindwa hata kuelewa ulifaulu vipi unesi....au wewe ni LPN na sio RN?
huwezi kunielewa hata siku moja, mie mwenyewe sijui akili yangu inafanyakazi vipi na kivipi nipo hapo nilipo.....its a mystery! find out and let me know, LPN sijui RN, RRT, PA au Doctor its none of your business!! mie nabeba boksi kama Koba ndio maana nipo kama nilivyo.
Huyu jamaa anazidi kumharibia jaluo....sijui kwa nini hawezi kufunga hilo domo lake...he is a loose cannon for real...
loose canine? no way! labda kama ni cannon kwikwikwikwi....jamaa yupo kwenye tight leash, ndio maana alikuwa kimya muda woooote huu na hii interview yake alikuwa yupo calculated kupita imaginations zako!! jaribu kujiandaa buraza, kabla ya kuja hapa na uninformed pumbaz kama kawaida yako.
Haya basi lete exact quote ya Jenna....sitaki link
acha hizo, unajua nini kasema...vinginevyo Sean Hannity anakuharibu!!.
Kaka punguza jazba basi...duh! Uko emotional sana wewe mshikaji wangu...
Mi nakubali nimeshakuwa-Hannitized....lakini unaongopa unaposema Jenna atapigia kura democrats...hakusema hivyo.
Hapa ilibidi aji-save dada maana mamake alikuwa anamtupia jicho kali sana.KING: Do you have a favorite between the two, the two Democrats?
L. BUSH: My favorite is the Republican.
(LAUGHTER)
KING: Yours, too, I would imagine.
J. BUSH: I don't know.
KING: A-ha. J. BUSH: But, I mean, you know --
KING: Are you open to --
J. BUSH: Yes, of course. I mean, who isn't open to learning about the candidates? But, I mean, and I'm sure everybody is like that. But I really -- I honestly have been too busy with books to really pay that much attention.
You really sound like Hillary now, an angry and bitter old white woman!
Nyani, acha uvivu wakutafuta story! Haya hiyo story ya Jenna Bush hii hapa alikuwa kwenye Larry king Live
Hapa ilibidi aji-save dada maana mamake alikuwa anamtupia jicho kali sana.
Sasa wapi hapo kasema atapigia kura democrats? Namtaka rafiki yako YNIM aombe radhi kwa kuongopa...
YNIM hakuongopa bana! He just 'misspoke' like HIllary because he was busy ducking sniper fire! Kwikwikwi!!
Sasa wapi hapo kasema atapigia kura democrats? Namtaka rafiki yako YNIM aombe radhi kwa kuongopa...
tatizo lako upo busy na kutafuta "dirty" badala ya facts! sija misspoke wala nini, Jenna kasema or @least ni assertions za watu juu ya nini alichosema!! nenda www.pensitoreview.com search jenna. au google basi, "jenna: I will vote democrats this november"!! lakini kwasababu ndivyo ulivyo, utaendelea kung'ang'ania upewe exact quote.