Acha wivu...
...haha haha haha haha,kaushindi ka kufutia machozi,nimemuonea huruma sana lakini naona sasa itabidi aachie tuu...si unajua mta net only 16 delegates.
Nyani, enjoy your night! Lakini unajua kwamba Mama hajapata popular vote enough to overtake Obama and neither did she get more delegates.
Sisi ObamaNation tunafurahia kwamba we closed the gap from +20 points to hold it down to 8 points! Great job!
YNIM
Kwa kweli nyie ni kiboko ku-spin ushindi wa mama. Yaani mmeshaanza ku-down play tayari! Mtu ameshinda kwa 10 points katika ushindani mkali kama huu lakini unaona sio ushindi wa maana, sasa basi tutafute tafsiri mpya ya ushindi!
Nyani, enjoy your night! Lakini unajua kwamba Mama hajapata popular vote enough to overtake Obama and neither did she get more delegates.
Sisi ObamaNation tunafurahia kwamba we closed the gap from +20 points to hold it down to 8 points! Great job!
As the primary moves on to North carolina and Indiana, the gap between Obama and Hillary will increase.
Lakini wengi hawajui that Obama camp hawako concerned sana kuendelea na primary kwa sababu they are preparing for the general elections in November. Unafikiri the Republicans and independents ambao wamewapata thrugh GOTV ni bure? Not really! Na ukisikiliza speech yake leo, Obama is not fixating on Clinton, alimtaja mara 1 tu kumpongeza but it's not about her it's McCain. Hillary is today officially out of the race.
Nite, nite Nyani
YNIM yuko kwenye kampeni ya Obama huko Pennsylvania knocking on doors and canvassing, na usiku huu yuko indiana na next POTUS hahaha!
Koba, don't be tough on Nyani mwache apate raha kidogo leo.
If you include Florida Mama now is ahead in the popular vote and last time I checked there were 50 states in the US of A
Kwa kweli nyie ni kiboko ku-spin ushindi wa mama. Yaani mmeshaanza ku-down play tayari! Mtu ameshinda kwa 10 points katika ushindani mkali kama huu lakini unaona sio ushindi wa maana, sasa basi tutafute tafsiri mpya ya ushindi!
Ofcourse Sen. Clinton kashinda goo for her. sio kwamba tuna down play victory yake. She was expected to win Penn State and if I remember correctly she was once ahead by 20 points in polls. Ni sawa sawa na Obama ashabikie kushinda Illinois. He's expected to win there. The issue is to win by how much and if at all the margin of the victory is going to change the dynamic of the race.
yaani maswali mengine yanonyesha jinsi watu wasivyoweza kufikiria,sijui nani kawaambia kushinda lazima ushinde majimbo makubwa...Obama has more votes,more states,more delegates,more money...sasa sijui kuna ushindi gani zaidi ya huo?
Nyani,
....kwanini unatabia ya kupotosha sana?intergrity na honest yako inakuwa na big qn mark!tabia mbaya sana. ukweli ni kwamba hata ukichanganya FL, Obama anakuwa anaongoza ktk popular votes kwa takribani kura laki 2 na ushee!! sasa kama hata hizo hesabu za +/- nazo ni mgogoro, sijui tutakusaidiaje ktk karne hii ya 21.....shame on you Nyani Ngabu, you're the worst person of the dayyyyyyyyyy.
Kitila,
BO anashindwa ktk big states kwasababu moja kubwa, nayo ni ubaguzi wa irish, italian, jewish, polish americans n.k ktk big industrial states in the north east!! kuna resentment kubwa sana hasa kwa whites women against blacks(maelezo ni mingi, lakini culprits ni civil rights mvt, affirmative actions....kujisahau kwa blacks)!!! California, BO alishindwa kwa sababu nyingine ambazo ni tofauti kabisa na zile za MA, NH, NJ, NY, OH na sasa PA.....yaani sitashangaa ktk generals kama OB ndie nominee states hizo zikaenda GOP including MI!( don't ask me why).
hamna miji baguzi hapa USA kichinichini kama beantown(boston) na city of brotherly love(philadelphia).....wanapenda weusi pale unapowapigia magoti au ukiwa athletes, vinginevyo hasa ukiwa a threat, lazima watakutia matatani!!! Martin Luther King, Jr alipewa kesi ya kutumia "desa" na kukopi kazi za watu pale Boston University(commonwealth avenue....) ambayo ilikuwa ni uongo na lengo lilikuwa kumzamisha, wire tapes za FBI ziliidhinishwa na RFK akiwa AG wakti huo....halafu sikiliza rhetoric zao?? unafiki mtupu!!.
ila kama hivi ndivyo ilivyo basi DP will never win presidency again kwani blacks nao watastuka kukiunga mkono blindly. kama alivyosema Koba hapo juu watu weusi hawana chakupoteza, kwani kila kitu kipo ni utilization tu.
Go Obama.......
Hebu nisaidie pia pundits wa Obama, kwa nini hashindi kabisa majimbo makubwa na nini madhara yake katika uchaguzi mkuu hapo November? Grateful if you could be less obamaniac in answering this question!