US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

haya mambo ya kutegemea fulani akiingia White House basi atasaidia Afrika ni kujibweteka, waafrika tutajisaidia wenyewe tusianze kusubiria fulani, wao wako kuserve interests zao, nani anaserve za kwetu?

..haitofautiani sana na haya mambo ya kwenda omba misaada ya fedha za bajeti,eti kisa tuendeshe mi-vx!
 
Nadhani tatizo si ombaomba yetu na pia nadhani ni vyema tukijua future president wa USA atakuwa na mtazamo gani kwa Afrika. Nadhani katika kuliangalia suala hili ni muhimu zaidi kujua kwamba uwekezaji na sera zingine via-a-vis Afrika iko vipi? Mimi naamni ya kuwa hiyo AGOA ingekuwa nzuri lakini tatizo ni kwamba sisi watanzania tumeshindwa ku-meet standard zao kwa sababu hatuna industries. Sera kama hizi nadhani zinaweza kunufaisha zaidi Afrika kuliko misaada, kama na sisi Waafrika tukiwa serious na kufanya juhudi. Lakini tukiangalia reality on the ground kuna suala la ukimwi kwa mfano. Sasa kama Bush ametuua sana, kutokana na kwamba hataki masuala ya condom, eti absitenence, sasa utaafundisha watu wazima watende nini (au wasitende) chumbani?!! Also nadhani masuala ya rasilimali na wawekezaji wa kimarekani nayo ni suala muhuimu. Je, rais mtarajiwa atashabikia ukoloni mamboleo au la?
Lakini narudia, sidhani hata Obama ambaye anazungumzia change, ataweza kufanya mageuzi makubwa sana. Labda ni ile perception itabadilika.
 
..jamani mimi ndiye niliyeuvuta mjadala kuelekea kwenye matarajio ya mahusiano kati ya serikali ya Obama au Hillary na bara la Africa/the rest of the world.

..mahusiano hayo siyo lazima yawe kwenye budget support. sote tunaelewa kwamba mahusiano kati ya Marekani na Africa yana-entail mambo mengi zaidi ya budget support.

..ninachojaribu kuuliza ni jinsi gani Barack au Hillary watashughulika na matatizo kama Israel,Iran,Lebanon,Zimbabwe,Darfur,Somalia,Congo etc etc.

..vipi kuhusu masuala ya AIDS/HIV, na mambo ya Global Warming.

..pia ningependa kujua ni jinsi gani watashughulikia mahusiano ya Afrika na multi-national corporation.

..naamini hayo yote ni sehemu ya AMERICAN FOREIGN POLICY.

NB:

..pia hakuna makosa kujadili misaada toka serikali ya Obama au Hillary. nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba bajeti za nchi nyingi za Kiafrika bado zitategemea misaada come Jan 2009 wakati Raisi mpya wa US anapoapishwa.

*** Denis Ross yuko kwenye kampeni ya nani?
 
haya mambo ya kutegemea fulani akiingia White House basi atasaidia Afrika ni kujibweteka, waafrika tutajisaidia wenyewe tusianze kusubiria fulani, wao wako kuserve interests zao, nani anaserve za kwetu?
Anayeingia white house sio lazima aisaidie Africa!Ila sera na misimamo ya wanaoingia inaziaffect Afrika hilo liko wazi..na hakuna asiyejua kuwa Afrikans needs to help themselves..lakini husisahahu there's people who determines the world's direction and its well being!UPO?Nimeamua nikupe Icon ya light..it was so easier to remember the ICON since it is Just like ICADON-AD=ICON..LOL!
 
capt.4d02b2f423e941dcb945f5f90e05b662.obama_2008_paab111.jpg

WASHINGTON - Democratic Sen. Barack Obama has gained ground on Sen. Hillary Rodham Clinton in Pennsylvania by drawing more support from men and younger voters, according to presidential polls in the state.
ADVERTISEMENT

The New York senator is ahead in the state 50 percent to 41 percent, according to a Quinnipiac University poll released Wednesday, but her lead has steadily eroded from 16 points in mid-February and 12 points in mid-March in the same survey.
 
..jamani mimi ndiye niliyeuvuta mjadala kuelekea kwenye matarajio ya mahusiano kati ya serikali ya Obama au Hillary na bara la Africa/the rest of the world.

..mahusiano hayo siyo lazima yawe kwenye budget support. sote tunaelewa kwamba mahusiano kati ya Marekani na Africa yana-entail mambo mengi zaidi ya budget support.

..ninachojaribu kuuliza ni jinsi gani Barack au Hillary watashughulika na matatizo kama Israel,Iran,Lebanon,Zimbabwe,Darfur,Somalia,Congo etc etc.

..vipi kuhusu masuala ya AIDS/HIV, na mambo ya Global Warming.

..pia ningependa kujua ni jinsi gani watashughulikia mahusiano ya Afrika na multi-national corporation.

..naamini hayo yote ni sehemu ya AMERICAN FOREIGN POLICY.

NB:

..pia hakuna makosa kujadili misaada toka serikali ya Obama au Hillary. nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba bajeti za nchi nyingi za Kiafrika bado zitategemea misaada come Jan 2009 wakati Raisi mpya wa US anapoapishwa.

*** Denis Ross yuko kwenye kampeni ya nani?

Nadhani nimejibu baadhi ya maswali yako lakini kuna ishu moja sijagusia na ni ile ya Middle East yaani Palestine na Israel. Unajua Obama alikuwa na very fair and objective view of this, lakini nimeona ya kuwa kutokana na pressure ya campaign na kutokana na kuwa anahitaji Jewish votes, imebidi a-backpedal on this. Ingawa alikuwa mwazi nao na alisema hakuna haja ya kufuata Likud line that refuses to accept a separate Palestine state. Nadhani kwamba Obama ataweza kukaa na kuongea na viongozi wa nchi za kiarabu, na watamsikiliza kwa makini zaidi kuliko HIllary kutokana na kuwa :
- Ni mwanaume na waarabu wana matatizo sana na wanawake ('their place is in the kitchen')
- Obama embodies the second generation immigrant - the American dream come true, he is not one of 'them'but one of ''us'who made it.
- Obama has a more relaxed and calm attitude and he is not condescending kama Bush ambaye he loves back slapping which often looks very condescending. Or sometimes Kichaka goes overboard na kumbusu mwanaume mwenzake na kumshika mkono na kusema 'I looked into his eyes'. Lakini Obama yuko more culturally sensitive nadhani kutokana na experience yake ya kuishi nje ya Marekani na kuwa na ndugu wanaotoka culture tofauti.
- Obama's initial opposition to the war in Iraq, it signals that he is not a war mongerer and appeals to the Muslims in particular those in the Middle East.

Hillary doesn't look promising in this area na McCain ndo kabisaaa, niliona Al Jazeera wanavyomponda! I think in this region, Obama can really do wonders!
 
Kutokana na jibu la swali aliloulizwa Obama leo kuhusu Al Gore kuna uwezekano wa kuwa na watu wengi wa Clinton team kwenye administration ya Obama kama akichaguliwa?
 
Kutokana na jibu la swali aliloulizwa Obama leo kuhusu Al Gore kuna uwezekano wa kuwa na watu wengi wa Clinton team kwenye administration ya Obama kama akichaguliwa?

Icadon: hii ni swali au ni statement? Mi nadhani obama is shrewd enough to recognize that the Clintons and their past administration are part of the Democratic party and there's no way to avoid them. Mi nina uhakika Hillary atapata nafasi kubwa katika serikali ya Obama na atakuwa consulted na Obama kwamba anataka kazi gani. but she will not be VP, some say anaweza hata kuwekwa kwenye Supreme Court, although I really doubt it.
Hata sasa hivi Obama anafanya kazi na wengi ambao walikuwa katika Clinton administration kama Susan Rice. So I guess, it's just silly season now, but when it ends life goes on....
 
Most of you people are getting way ahead of yourself with this Obama guy.
 
Nyani kubali na kutokubalina..na pia ni vyema ukapunguza kawivu kako kwa massuporters wa Obama..badala yake uendelee kufanya utafiti wa namna ya kukabilina nao!
 
Sina wivu wowote kwa mashabiki wa Obama na sina sababu yoyote ya kuwa na wivu kama ningekuwa nawaonea wivu. I think he is just hype and I can't wait for him to go head to head with the Mac...
 
Sina wivu wowote kwa mashabiki wa Obama na sina sababu yoyote ya kuwa na wivu kama ningekuwa nawaonea wivu. I think he is just hype and I can't wait for him to go head to head with the Mac...

hiyo itakuwa....uso kwa uso, McCain v/s Obama!! tena jamaa wana-beef toka kwenye ile ethics reform bill, utaona huyo babu yako(kilaza) atakavyopigwa "madochi" ya ugoko na magoli ya kisigino.....!!! angalia countdown..
 
Sina muda wa kuangalia Countdown...
Usikose kuangalia Hannity and Colmes...9PM EST
 
Sina muda wa kuangalia Countdown...
Usikose kuangalia Hannity and Colmes...9PM EST

naona finally keith kapata jina la kuita audiance ya Rush na Hannity, "Robotic audiance" nadhani kuna kaukweli!!!!!.

umeangalia "hardball" leo? next presidente alikuwa kwenye stage hapo new chester!!
naona jamaa ana surge in Penn and nationally.......babu is no match to this guy, I can't wait for Nov!!!. Go Obama.
 
Where is Michelle My Bell Obama...haven't seen her for a minute...

Michelle yuko Pennsylvannia na alionyeshwa kidogo on CNN. Sema media ya US haijampa coverage kubwa kama Chelsea ambaye hata maswali hachukui (eti bado mtoto).
Anyway kazi ya kucheki akina Hannity unaiweza wewe Nyani, tulitegemea wewe utuletee feedback ya utumbo watakayoongea.
 
Hannity anashuka data tupu! Hana upuuzi wa Olberman...eti worse, worst, worser....geez...he should get a life
 
I couldn't help but post this issh, nimeipenda sana...

With ads like that it's most likely that the call she gets at 3 a.m. is, `Senator, you just lost another superdelegate,'" said McCain spokesman Steve Schmidt
 
WASHINGTON - Former President Carter wouldn't quite say it, but he left little doubt this week about who he'd like to see in the White House next year. Speaking to local reporters Wednesday on a trip to Nigeria, the former Democratic president noted that Barack Obama had won his home state of Georgia and his hometown of Plains.

"My children and their spouses are pro-Obama. My grandchildren are also pro-Obama," he said at a news conference, according to the Nigerian newspaper This Day. "As a superdelegate, I would not disclose who I am rooting for, but I leave you to make that guess."

Carter's spokeswoman confirmed the remarks.
 
Back
Top Bottom