Once again you dont understand American politics perspectives!Marekani imegawanyika ndugu yangu hilo usisahau!Issue ya 3 oclock in the morning ilikuwa inatarget watu wa south!Sijui kama unajua lakini kila commercial huwa inatolewa kutokana na ujumbe unaotaka kuufikishia jamii lengwa!Kwa watu wa Southern part of the country waligundua hilo!Issue ya Iowa..ni just somewhat true though not all the way true!Ni kweli alikuwa hapati support ya weusi hadi aliposhinda Iwa ambayo ni ya weupe!Lakini haina maana kwamba hakuna ubaguzi!walichofanya Clintons ni ku stir emotions!emotions ambazo huwa zinakuwa calmed down tu lakini sio overcomed!.Matatizo hapa ni mawili kumbukaCapitol Hill,
..unge-quote posting yangu nzima ingethibitisha kwamba tuko pamoja. Obama amejaribu kuwa very inclusive ktk kampeni hii.
..tena watu weupe wa Iowa ndiyo waliowatia imani wazungu wenzao kumuunga mkono Obama.
..tatizo lilianza kampeni zilipofika South Carolina. kile kitendo cha kum-label Bill Clinton kuwa ni racists kilikuwa ni "typical" black american tactic.
..Pamoja na kwamba Obama amejaribu kuji-distance na masuala ya race, lakini kampeni yake ilivamiwa na watu kama Al-Sharpton, Jesse Jackson, wenye mazoea ya kutumbukiza race ktk kila suala wanalokabiliana nalo.
..Pia wako weupe[chris mathews, keith olberman, etc..] ambao kwa kutaka kujionyesha wanam-support Obama, na kwamba "wameendelea" sana, wakaanza kutumia rungu la racism dhidi ya Hillary na Bill Clinton. huwezi kuamini kwamba hata ile campaign ya 3am phone call kuna watu wameamua kui-enteprate on racial lines.
..Sasa race haikuletwa na Obama ktk uchaguzi huu. imeletwa na wapambe wake. kitu kibaya ni kwamba yeye Obama ndiye anayeathirika na hali hiyo.
NB:
..Kitendo cha Obama, mke, na wanawe,kuhudhuria Kanisa linaloongozwa na a radical black preacher nako pia hakumsaidii ktk kampeni yake.
..Kuna wanaodai kwamba Obama alimtumia tu Pastor Wright ili kujijengea uhalali mbele ya weusi wa south chicago. kumbuka Obama ni mzaliwa wa hawaii.
Naona Howard Dean amewaambia masuperdelegates ambao hawajacommit wawe wamefanya hivyo by july 1st.
NN naona kishaanza kuchafuka Iraq, wataongezea wanajeshi tena?
Naona Howard Dean amewaambia masuperdelegates ambao hawajacommit wawe wamefanya hivyo by july 1st.
NN naona kishaanza kuchafuka Iraq, wataongezea wanajeshi tena?
Umeliona tangazo la McCain...?
Aisee huyu jamaa lifestory yake ni compelling sana...
I just look at it in a different perspectives..i think tunaeleweshana na/ama kuelimishana rather than just kubishana..althought we can use th later just fo the sake of kuelimishana!And thats jf styleBob Casey for Obama....wasee Capitol na Meku, mtapasuka makoo au kupata carpal tunnel kwa ku-type kama mtaendelea kubisha na hizo arguments za mkuu Joka......
Kwenye siasa za marekani hapa sasa ndio patamu!Wale wazungu wanaoogopa siasa za kibaguzi wameshaanza kujitenga na mama!Na hata wale wanaomsupport either wako kimya ama wanapashwa habari!Obama amempigia simu yule govenor wa PA aliyesema kwamba kuna watu hapo jimboni mwake hawatampigia kura Obama kwasababu ni mweusi!(simu ambayo wachambuzi wa mambo wanadai inamaanisha governor anatakiwa achunge domo lake!)sasa Obama akamuuliza kwenye simu je itakuwaje kama nikishinda nomination?jamaa akajibu kuwa atamsapoti Obama.Swali linakuja..je alipotoa hiyo kauli yake alimaanisha nini hasa?yeye binafsi ni supporter wa Clinton..so manaeno hayo kwa njia nyingine yamechukuliwa kuwa ni ya kuwakumbushia watu kuwa Obama ni mweusi na kwa kawaida huwa hawashindi chaguzi kwani weupe huwa hawawapigii kura!na pia alishawahi kutoa kauli kama hiyo dhidi ya mgombea mwenzake huko nyuma ambaye alikuwa ni mweusi..na alinukuliwa akisema kuwa mpinzani wake angeweza kushinda kama angekuwa mweupe!Vurumai ni kubwa kwasababu Clintons are hanging on and they are betting on racism!Huko PA ubaguzi ni nje nje!mweusi akionekana huko anafukuzwa kama jibwa jizi!Na ndio maana Obama mwenyewe ilibidi kwanza apachukulie vekesheni huku akitafakari namna ya kuingia huko PA!Na kwa bahati nzuri amepata endorsement ya senator ambaye anaheshimika vilivyo huko PA..na ambaye wanaanza naye kampeni pittsburg!eneo maarufu la ile hotuba maarufu ya Abraham Lincoln!Rais wa marekani aliyeuawa na weupe kwasababu tu ya kupigania utumwa uishe!Momentum mpya inaanza kwa mheshimiwa Obama lakini still clintons are around and they feel like(racism) is eventually going to pay!Na swali la pili atakaloulizwa sasa ni kuwa kwasababu amekiri kwa kusuasua over the phone with Mr Obama kuwa atamsapoti baada ya kupata nomination..je atawaeleza nini hao wasioweza kumpigia kura mtu mweusi ili waweze kubadili mawazo yao?Na kwakusema weupe huwa hawamchagui mweusi huku na yeye akifanya hivyo na kuwashauri wananchi nao wafanye hivyo kama kawa kwa kumchagua mama!?same ol politics!mambo kama hayo ndio wazi ambayo sasa yanautikisa uongozi wa juu wa democracts!Je waufumbie ubaguzi macho?Kaaazi kweli!Naona Howard Dean amewaambia masuperdelegates ambao hawajacommit wawe wamefanya hivyo by july 1st.
NN naona kishaanza kuchafuka Iraq, wataongezea wanajeshi tena?
Clintons hawana upendo wa kweli na watu weusi!Wanapenda kuitumia kambi yao wakati wa uchaguzi!Hata kwenye utawala wa Clinton hakujawahi kuwa na mweusi mwenye madaraka!Bush mwenyewe na ubaguzi wake kamshinda kwa kuweka tokens zake"bi Condi na Powell"Clinton alimpa mweusi ukatibu wa wizara nafikiri inayouhusiana na kilimo kama sikosei..kwa ujumla anawapenda weusi pale wanapokubali kuwa chini na wanyeyekevu!Slicin' and dicin' Obama anapenda kutumia hayo maneno.Akakimbilia kwenda kufungua ofisi huko Brooklyn NY ambako ni maskani ya weusi!Anajua kura za weupe ambao ni manazi wa clintons ziko palepale..ila wanahitaji za minority ili kuweza kupata ile "edge" na kushinda chaguzi zao pale wanapochuana na wazungu wenzao!Ni plan yao ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiwasaidia esp.kwenye uchaguzi wa mama wa NY senator!sasa imetibuliwa na Obama!"Capital Hill,
..Kumtuhumu mwanasiasa wa Marekani kwamba ni racist ni kitu kibaya sana. Sasa wapambe wa Obama wamekuwa wakitumia kila nafasi kuwa-label kina Clinton kama ma-racist.
..Clinton alitoa kauli ya "fairy tale" wakati wa kampeni za South Carolina. Lakini alikuwa anazungumzia msimamo na kura za Obama kuhusu vita vya Iraq. Alikuwa anazungumzia kwamba Obama aliipinga vita akiwa nje ya senate, lakini alipokuwa ndani ya senate kura zote amepiga sawa na Hillary.
..Clinton angeweza kutumia maneno mazito zaidi kuhusu ujanja-ujanja anaotumia Obama kuhusu kuelezea tofauti zake na Hillary kuhusu Iraq.
..Nilishaeleza kwamba ni makosa Obama kujilinganisha na kina Kuccinich ambao waliipinga vita on the floor of the house baada ya kupewa briefings na vyombo vya usalama. Obama hakuwa senator wakati kura ya kuvamia Iraq inapigwa!!
..Sasa kugeuza kauli ya Clinton kumkosoa Obama on Iraq kuwa racism ndiyo tabia ileile inayotumiwa na Wamarekani weusi kulalamikia discrimination/racism hata mahali pasipostahili.
..Baada ya ushindi wa South Carolina ikaja kauli ya kulinganisha ushindi Obama na Jesse Jackson. Actually Clinton alimlinganisha Obama na wagombea wengine walioshinda South Caroline primaries. Hakumlinganisha na Jesse Jackson pekeyake.
..Lakini hebu tujiulize: hivi ni tangu lini kulinganishwa na jesse jackson ikawa ni sifa mbaya, au tusi, kwa mmarekani mweusi?
..Media walichukua a sound-bite kutoka katika kauli nzima ya Bill Clinton na kuanza kumsema kuwa ni racist. Hapa silaumu kampeni ya Obama, nalaumu liberal media ambao badala ya kuripoti wameamua kuchukua upande ktk hizi primaries.
..Halafu ukisikiliza wanavyo-report kuhusu returns hawaishi kusema Obama kapara 87% ya kura za african-americans. wakati mwingine wanasema Obama anatarajiwa kushinda kwasababu hili ni eneo lenye african-americans wengi. This has been going on and on and on!!
..sasa what is the connection btn hao african-american voters na Obama? je hayo wanayoripoti kwenye media siyo sawa na kusema Obama anashinda kwasababu ni mweusi?
..Kwa mtizamo wangu media na haswa MSNBC wangetusaidia sana kama wangepunguza kidomo-domo. Most of this stuff has been blow out of proportions. Hizi repoti wanazoita "racism" wangeweza kuziminyia kama walivyofanya kwa ripoti za Rev.Jeremiah Wright.
jmushi1,
..uelewa wako wa siasa za Marekani unaheshimika sana hapa jamboforums.
..sasa unapojaribu kudai kwamba campaign nzima ya Hillary Clinton ime-base on race/racism unakuwa umevuka mpaka kidogo. naona kama unajaribu ku-spin hapa jamboforums.
..halafu umekwenda mbali kidogo unapodai eti wakina Clinton wanajaribu "KUWAKUMBUSHIA" wapiga kura kuwa Obama ni mweusi.
..kwani hawamuoni Obama kila siku kwenye luninga? there are black americans who would pass for white americans, but I dont think Obama is one of them.
..endelea kutuelimisha, lakini usijaribu kutuchukua msukule.
NB:
..huu mchuano ulikuwa mzuri na wengine tulikuwa tunafurahia tumaini jipya--Barack Obama.
..tatizo limekuja pale media[msnbc,cnn,..] walipoamua kuchukua upande. hiyo ni mpaka SNL wakawatoa nishai.
..vilevile kumeibuka watu wengi waliokuwa na vinyongo na chuki binafsi dhidi ya kina Clinton.
..tatizo ni hao wenye chuki binafsi na Clinton kujivika utetezi wa Barack Obama. Kwa mtizamo wango Obama doesnt need them to win this nomination.
Clintons walihisi Obama ayawanyanganya karata yao muhimu ambayo iliwasaidia hasa hasa wakati walipopoteza kura nyingi za wazungu wenzao due to Lewinsky scandal!Wakaanza kuprey on minorities..na wakaanza kujijengea misingi pia kwa latinos!Pamoja na matatizo yote haya yananyowakabili wamarekani..clintons either wameshindwa ama kwa makusudi wamefumbia macho issue ya kuwaunganisha wamarekani wote bila kujali race!Inawezekana wanasiasa wa marekani walilifumbia macho suala la migawanyiko kwa manufaa yao binafsi wakati wa upigaji kura!Obama anawawekea wazi kuwa this is time for "NEW POLITICS"Maneno ambayo anayatumia sana yenye kumaanisha kuwa sasa wananchi badala ya kugawanywa na race,gender ama classes ni bora wagawanywe kwa kile kinachosemwa na wagombea!Issue ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na weupe na weusi wanaopenda mabadiliko yatokee marekani kuanzia enzi za kina MLK na JFK! ambapo walikuwa wakitadai "A person has to be judge based on their character rather than the color of their skin"Ther fight for black votes caused all of this!"
HANNITY DENIED AN PRECEDENTED INCREASE IN MINORITY
APPOINTEMENTS UNDER CLINTON.
In response to Alan Colmes's December 1 assertion -- on FOX News' Hannity & Colmes -- that former President Bill Clinton "did more than any previous president did" to appoint minorities to powerful court and cabinet positions, Sean Hannity erroneously replied, "No, he didn't. It's not even close" to George W. Bush's appointments. When Colmes clarified his remark, stating "Bill Clinton did more than any president up until that time," Hannity insisted that Clinton's minority appointments were "insufficient." But Clinton's minority court and cabinet appointments far exceeded those by any president who served prior to him. And in fact, according to a Newsday analysis of federal personnel records, when political appointments that don't require Senate confirmation are included, minorities constituted a far greater percentage of Clinton's political appointments than Bush's.
NBC News quantified the dramatic increase in minority cabinet appointments under Clinton during its special coverage of "The Clinton Years" in December 2000: "Where his predecessor, George [H.W.] Bush, could find only one qualified woman, one African-American and two Hispanics for his Cabinet, Clinton nominated three black men, a black woman and two Hispanic men to join nine white Cabinet nominees -- three of them women. George W. Bush's push for diversity in his own Cabinet this year [2000] can be seen as an affirmation of Clinton's work on that front."
NBC News noted a similarly stark contrast in the number of minority court appointments under Clinton as compared to his predecessors: "In [former President Ronald] Reagan and [George H.W.] Bush's 12 years in office, of the 545 federal judicial appointments, 65 were women, 22 Hispanic, two Asian American and 17 African American. In Clinton's eight years, of 366 federal judicial appointments, 104 were women, 23 Hispanic, five Asian American, one American Indian, and 61 African American."
Although George W. Bush has nominated minorities for some of the highest positions in government (such as outgoing Secretary of State Colin Powell, national security adviser and Secretary of State nominee Condoleezza Rice, and Attorney General nominee Alberto Gonzales), Bush has actually appointed far fewer minorities than Clinton overall. Newsday reported in an August 30 article titled "Bush not strong on diversity" that an analysis of federal personnel records for September 2000 and September 2002 concluded that "lacks held 7 percent of administration jobs under Bush, less than half of the 16 percent they held under Clinton," and blacks held only 6 percent of "senior executive posts" under Bush compared to 13 percent under Clinton. As Newsday observed, Bush "has assembled the most diverse cabinet and top-level officials requiring Senate approval of any Republican president, creating a profile that nears the record-setting diversity of Clinton. ... [But] just below those highly visible positions -- in the hundreds of little known but important appointments to senior executive posts that don't need Senate confirmation -- the diversity of the Bush administration fades."
jmushi1,
..ndugu yangu sasa unatupelekesha na haya mambo ya race. inaelekea wewe unachoona hapa ni racism tu, and nothing else.
..ukitaka kujua kama wananchi wa rangi yoyote ile wamefaidika na kiongozi fulani angalia kama kipato chao kimeongezeka.
..hayo mambo ya political appointments za weusi/latino/wachina..hayana maana kama kipato[hali ya maisha] cha mwananchi wa kawaida haitobadilika.
..ni makosa kufikiri kwamba secretary of state frm a minority group ni appointment nzuri kwa minorities wenzake kuliko say secretary of health, education, surgeon general, etc etc.
..taarifa za kuaminika ni kwamba Bill Clinton alifanya kazi nzuri ya kuteua minorities, across the board, kutumikia ktk nafasi mbalimbali.
..lakini hata kama hutaridhika na taarifa niliyo-paste hapa chini, bado kipato cha mwananchi wa kawaida, across the board, kiliongezeka wakati wa Bill Clinton kuliko wakati wa predecessors wake.
SOURCE: http://mediamatters.org/items/200412020010
Usije ukashangaa UTUMWA ukarudi kwani wamarekani hawawezi/hawataki kuwalipa wananchi wao pesa ambazo zitaweza kuwakwamua kiuchumi badala yake kuwapa mikopo tu hadi kufa kwao!
Huku wakiwaingza maillegal ama wakisaini mikataba ya kuzipeleka kazi kwenye cheap labor!
Sasa kama wamarekani wakiwagomea hayo makampuni kuzipeleka hizo kazi nje ya nchi..na makampuni hayawezi kuwalipa wananchi malipo mazuri..unadhani nani atakodolewa macho KAMA SIO MWEUSI ALIYEKO PEMBENI AMBAYE HANA/HAFANYI KAZI ZIDI YA KUCHUKUA BENEFITS?
Sasa sijui wewe ni mmojawapo wa wale wanaoishi ile marekani ya kufikirika ama unaishi kwenye marekani halisi?[/
quote]
Safari ndefu ya mapambano kati ya Obama na mama huko PA inaanza kwa mbwembwe nyingi!Familia ya Clintons ina sifa kubwa ya upambanaji wa bila kukata tamaa!Kwa kifupi kushindwa haiko kwenye vocabularies zao and they always never say die!Kuna madhara makubwa sana kwenye hilo kwani Clintons huwa hawajali kuwa ni mbinu gani zinatumika.All i can say is good luck to both of them!jmushi1,
Racism haiwezi kukwepeka kwani Obama ni nje ya utamaduni mwa mmarekani inapokuja kwenye nafasi ya urais...ndugu yangu sasa unatupelekesha na haya mambo ya race. inaelekea wewe unachoona hapa ni racism tu, and nothing else.
Rejea ponti yangu kuwa ni kweli wananchi wa kipato cha chini(ambao wengi wao ni minorities na wasiokuwa na elimu ya juu)walinufaika na sera za uchumi za clinton!Lakini ni wananchi haohao wenye rangi yoyote ambao walifaidika chini ya sera zao ambao wamepoteza kazi kwa sababu ya sera zao...ukitaka kujua kama wananchi wa rangi yoyote ile wamefaidika na kiongozi fulani angalia kama kipato chao kimeongezeka.
Anachotaka kukifanya Obama ni kilekile alichokifanya Clinton kwa kupunguza kodi za viwanda vidogo vidogo pamoja na wananchi wa hali ya chini na middle class...wengi wao wakiwa ni hao weusi,wachina,na latino!Obama ana credibility zaidi kwasababu aliipinga NAFTA na pia anaahidi kuifanyia marekebisho...hayo mambo ya political appointments za weusi/latino/wachina..hayana maana kama kipato[hali ya maisha] cha mwananchi wa kawaida haitobadilika.
Hili sina haja ya kujibu coz nilishasema Bush aliwateua kama "token"Na kwa Clinton yeye aliwapachika pia kuleta sura flani tu!alikuwa na lake jambo! Mfano mzuri ni kwa Bush ambaye haitaji msaada wa kura za weusi ili ashinde ikulu! Clinton yeye anauhitaji kwa hali na mali kutokana na sababu ambazo nimeshazitaja kama vile kupoteza kura nyingi za weupe coz of Monica scandal...ni makosa kufikiri kwamba secretary of state frm a minority group ni appointment nzuri kwa minorities wenzake kuliko say secretary of health, education, surgeon general, etc etc.
Once again the same thing i already mentioned...This time however its the minority who will probably elect him accross the board kutumikia nafasi mbali mbali kama vile migogoro ya mashariki ya kati...taarifa za kuaminika ni kwamba Bill Clinton alifanya kazi nzuri ya kuteua minorities, across the board, kutumikia ktk nafasi mbalimbali.
Ofcourse..kwani hujui hao wananchi wa kawaida wengi wao ndio hao minorities? Kwa kumalizia wananchi wengi wanafikiri its time for something new! Huku wengine wakihusisha tawala za Bush and Clinton kama za kifalme na za kupokezana vijiti! Kwamba huyu anakuja na gia ya uchumi na huyu ya vita! Kwani ina maana hakuna wengine wenye kuweza kuiletea maendeleo USA? Anauliza Obama na mashabiki wake!..lakini hata kama hutaridhika na taarifa niliyo-paste hapa chini, bado kipato cha mwananchi wa kawaida, across the board, kiliongezeka wakati wa Bill Clinton kuliko wakati wa predecessors wake.
SOURCE: http://mediamatters.org/items/200412020010
Pia Babu McCain naona anazidi kuzeeka vibaya, nasoma leo aliulizwa kama condoms zinazuia ukimwi alijibu "I don't know"!
Hivi James Carville bado yuko kwenye campaign ya mama?
Maana naona duh amemuita Bill Richardson Judas Iscariot......
WanaJF, baada ya misukosuko ya maisha nimerudi na nipo tena ukumbini.
Natumaini hakuna majeruhi katika thread hii, maana naona kambi za Clinton na Obama zimezidi kuchukiana.
Mi naona this is the silly season maana media wamekosa cha kuripoti kwa hiyo wanazidi kuwagonganisha hewani kambi hizi mbili.
Niliposikia issue ya Reverend Wright nilijua hapa Obama lazima atayumba lakini naona jamaa amejibu mapigo and has moved on. Pia Hillary aliyumbishwa na Snipergate ya huko Bosnia lakini the media has moved on.
Sasa kinachoendelea ni tit for tat katika mambo madogomadogo lakini naona rhetoric imepoa, I think they have been told to cool it.
BUT great news for Obama camp!
Obama wins TEXAS! It's official, all that talk of 'it's a tie' waliyokuwa wanasema CNN si kweli, leo (jumapili) ndiyo wanatangaza mshindi aliyepata most delegates. And the winner is OBAMA.
Pennyslvannia will be also interesting in April na ninaona Mama yuko juu, but I think Obama will manage expectations and narrow the margin of win, maana yuko busy akikutana na watu na kuongea nao 101. In between we will have debates so it will be much more active and less silly season.
Haya jamani, mkae salama maana naona rhetoric imekuwa very inflammatory.
Nyani, Babu Mccain umesema ad yake bomba lakini naona baaa ya kuiba line ya Hillary "Ready on Day One" sasa amejaribu kuiba line ya Obama kwa kuifanya a narcisstic statement 'me, me, me'
Slogan yake ni "John McCain: The American president Americans have been waiting for."
Obama "We are the one we have been waiting for".
Haya sasa....
Pia Babu McCain naona anazidi kuzeeka vibaya, nasoma leo aliulizwa kama condoms zinazuia ukimwi alijibu "I don't know"!
Bottom line walikubaliana na kina Bush from NAFTA to Iraqi!Something crazy about that is the fact that walijua this is eventually gonna cost the economy some jobs!Hivi kweli issue inayosapotiwa na kina Bush ni ya kuwasaidia working class?Ukweli uko wazi kuwa Clintons na Bushes are corrupt and already has too many connections and interests to be able to trully serve the true people!jmushi1,
kaka taratibu kaka. badala ya kutuelimisha umeamua kutupelekesha!!
kuhusu NAFTA, ukweli ni huu hapa:
..aliye-negotiate NAFTA ni George Bush senior. kabla ya hapo kulikuwa na trade agreement kati ya USA na Canada, NAFTA imekuja kuongeza Mexico na masuala mengine.
..kwa USA mkataba wa NAFTA ilibidi upitishwe na Congress kabla ya kutiwa saini na Raisi mwishoni mwa 1993.
..Clinton aliunga mkono NAFTA lakini aliuboresha kwa kuongeza vipengele vya Enviromental Protection na Labor Laws kabla ya kupeleka mswaada kupigiwa kura.
..Huu mkataba ulianza rasmi kufanya kazi mwaka 1994.
je Hillary Clinton aliipinga NAFTA?
..kumbuka kwamba msimamo wa administration ya Clinton ulikuwa kuunga mkono NAFTA. kwa msingi huo sitegemei 1st lady yeyote kupingana waziwazi na msimamo wa administration ya mume wake.
..pamoja na kwamba Hillary alikubaliana[aliunga mkono] na msimamo wa serikali, lakini haimaanishi kwamba alikuwa key-figure ktk kupitishwa kwa NAFTA. sidhani kama bila shinikizo lake basi NAFTA isingepitishwa.
..pia ni lazima turejee kwamba aliye-negotiate NAFTA na Mzee Bush Snr, siyo Bill Clinton, au hata Hillary Clinton. Pia lazima tuelewe kwamba serikali ya Clinton ndiyo walioingiza masuala ya environment na labor ili ku-level the playing field.
je Barack Obama aliipinga NAFTA?
..Hapa nashindwa kuelewa kidogo. Sijaona kama alitoa tamko lolote lile kupinga mkataba huo.
..Pia kwa kuanzia na ule mkataba wa USA na Canada wa mwaka 1988, wakati huo Obama alikuwa shuleni nadhani Harvard.
..Obama alimaliza Harvard 1991 na baada ya hapo alikuwa Law Proffesor/Community Organizer/Corporate Attonney/Writer mpaka mwaka 1996 alipoingia kwenye senate ya Illinois.
..kwa msingi huo utaona ni vigumu kujua Obama aliipinga NAFTA wakati gani na ktk nafasi gani.
NAFTA mtego wa kina Clinton kurudi madarakani?
..hoja hii ameileta jmushi1, hivyo nitamuachia ajenge hoja ktk hili.