US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Ndugu yangu wewe uko wapi..Tanzania, Ulaya, au Amerika?
Ndo swali nililokuuliza ukashindwa kunijibu!Sasa unaniuliza back!Any ways..muswada wa kwamba makampuni ya simu yashitakiwe ama la kama wakipatikana na hatia ya kuchunguza watu ambao hawahusiani na ugaidi karibia upitishwe hivi karibuni ila congress nafikiri ikawa kwenye reccession!na ni wazi Bush ata u veto!Huo muswada utawawezesha Democrats kugundua kama ni kweli simu zote zilizokuwa zikisikilizwa na serikali ya Bush ni za magaidi peke yake!Nadhani emesahau noma iliyomkuta governor wa NY!Wakaamua waweke mweusi ambaye ni kipofu!Ila wakasahau biology ndo tatizo!na yeye mwenyewe kutangaza mara baada ya kuapishwa kuwa keshakula dogodogo mara nyingi zaidi ya aliyepita!lol.Utani pembeni..kuna rumours kwamba simu nyingi tu zilisikilizwa na siri za wamarekani ambao hata hawana uhusiano na ugaidi!Jaluo anapromise kufuta ujambazi wote huo wa aina hiyo!Na kama Bush akiveto halafu Obama ashinde urais next term halafu hizo kampuni za simu zianze kuchunguzwa kuwa ni nani na nani walifuatiliwa kwa kutumia kasheria hako kaliko expire then kutakuwa na mshike mshike ama kizungumkuti kama inavyojulikana kwa wadau!
 
Duh!!! mimi sinacomment labda wenzangu mnaweza kuwa nazo just watch for yourself...
[media]http://www.youtube.com/watch?v=khuu-RhOBDU[/media]

Uhuuu, hao wachungaji weusi US nafikiri wamedata. Hao ndio wanaofanya watu wengine waachane na makanisa. Ana mahasira na Obama utafikiri alimuibia mke wake, duh!
 
Na nyie mmezidi kuwa simplistic wakuu, yaani kwa kuwa Gavana kamwi-endorse basi kura zote za walatino anazo, ina maana huyu Gavana anatembea na roho za hawa watu?
 
Na nyie mmezidi kuwa simplistic wakuu, yaani kwa kuwa Gavana kamwi-endorse basi kura zote za walatino anazo, ina maana huyu Gavana anatembea na roho za hawa watu?
Siyo tu simplistic like how you're trying to protray it!YET ITS SYMBOLIC!AMEWEKA WAZI KUWA HE WAS MOVED BY THE SPEECH NA AMEGUNDUA HATA YALE ANAYODAI KUWA WATAYAPIGANIA HAYATAWEZEKANA KAMA THE PEOPLE HAWATAUNGANA NA PIA KUHAKIKISHA KUWA HAKI NI KWA EVERY CITZENS..WHITES,BLACKS,ASIANS AND LATINOS ALIKE!Huu ni mwanzo mpya wa Obama's come back!Richardson amegundua kwamba jamaa ni mwanamume wa shoka mwenye msimamo dhabiti,asiyeyumba kwani aligoma kufuata siasa za upepo na zenye kutegemea mainly on the polls and kissing other peoples ass just to get ellected!He stood for what he believes on!Sommething that Richardson saw that they share!something he eventually have to tell his latino people that they share the common interest of justice for all and respect to every race!
 
Uhuuu, hao wachungaji weusi US nafikiri wamedata. Hao ndio wanaofanya watu wengine waachane na makanisa. Ana mahasira na Obama utafikiri alimuibia mke wake, duh!

ndugu yangu we acha tu, yaani kusema kweli hata sie waafrika kutoka barani(new comers)...tunakabiliana na huo ubaguzi!! wazungu wanakubagua, wanugu wakijua wewe huna asili ya utumwa(accent itaku-betray) nao pia wanakubagua!!! kaaaazi kwelikweli, yaani hii ishu ni no win kwa Obama. Ndio maana hata yeye jana kasema kule NC, kwamba watu watakao vote yeye, wata vote na wale wasiotaka, hadhani kama atasema au kufanya lolote litakalo wabadilisha!!!
Kimsingi, hata mimi ndio mood yangu sasa hivi juu ya kampeni 2008, its not about winning anymore....its about truth, in your face truth, if you don't like it then don't vote for change. if you dig it, open minded and ready for change, then let's go!!
 
This guy looks like he sometimes chooses his words so carelessnessly to the extent it is sometimes difficult to belive he's a politician. Nimesikiliza hayo mahojiano yake kwenye Radio leo, amenichosha kabisa. How could he dare say that her grandma is just a typical white person.... Na nashangaa mna-spin kitu gani hapa. Ukiiweka kwenye context anachosema Obama ni kwamba white people wote wanafanana: wanaogopa watu wasio wajue and by extension they're all racist, uwiiiii! This is poison in politics. Politicians are made and destroyed by their own words. It's words that have made Obama and as the trend goes on, it is the same words that are going to destroy him mercilessly.
 
Na nyie mmezidi kuwa simplistic wakuu, yaani kwa kuwa Gavana kamwi-endorse basi kura zote za walatino anazo, ina maana huyu Gavana anatembea na roho za hawa watu?

nakuunga mkono, yeyote anayefikiri hivyo kweli ni simplistic.....ila endorsement ya Gov. Richardson, itasaidia kidogo to easy tension kati ya black na latino and hopefully will swing some votes towards Obama!! pia its friday, so hii kitu itakuwa story leo na wkend nzima,kwahiyo attn inapungua kwenye story ya Dr. Wright.
 
Hiyo quote yake haikuwa bahati mbaya!Watafurukuta kidogo tu then watalainika!Walitaka kumpakazia kuwa amemtelekeza bibi..na yeye akawaambia sio bibi,bali ni typical white person..kwamba every white person looks at the black guy in a suspicious way and vice versa!Message yake inaingia very slowly ndani ya bongo za wazungu!Lakini sikutegemea itakuwa the same kwa Kitila Mkumbo
 
This guy looks like he sometimes chooses his words so carelessnessly to the extent it is sometimes difficult to belive he's a politician. Nimesikiliza hayo mahojiano yake kwenye Radio leo, amenichosha kabisa. How could he dare say that her grandma is just a typical white person.... Na nashangaa mna-spin kitu gani hapa. Ukiiweka kwenye context anachosema Obama ni kwamba white people wote wanafanana: wanaogopa watu wasio wajue and by extension they're all racist, uwiiiii! This is poison in politics. Politicians are made and destroyed by their own words. It's words that have made Obama and as the trend goes on, it is the same words that are going to destroy him mercilessly.

msee,
huo ndio ukweli, kuna typical and atypical white pple, same is tru for black pple!!! isitoshe typical sio neno baya namna hiyo......Gov. Richardson, katumia neno typical few moments ago akieleza arrogance ya clinton advisors, " that's a typical nature of clinton advisors." what's wrong with that?? reality check, deal with it..........two choices for america this time, they either vote for change or give mandate for same ol' same in DC!! there will be no more sugarcoating of the truth, you either swallow or spit....a pt has a right to refuse medication!!.
 
nakuunga mkono, yeyote anayefikiri hivyo kweli ni simplistic.....ila endorsement ya Gov. Richardson, itasaidia kidogo to easy tension kati ya black na latino and hopefully will swing some votes towards Obama!! pia its friday, so hii kitu itakuwa story leo na wkend nzima,kwahiyo attn inapungua kwenye story ya Dr. Wright.
Nakubaliana na wewe ila hizi ni short term effects tu!kujaribu kuona kama itajumuisha issue ya race na kuleta changamoto zaidi kwenye race!However Obama is the smartest dude ever!Yeye sasa hivi ndio anaye command attention..everbody now is waiting to hear what he's about to say or do!With some mixed feelings and uncertainity!He's eventually going to be the one who has the only credibility to bring people of all races and make the changes necessary the their country!And the one who will emerge with a strong coalition of BLACKS,WHITES,LATINOS AND ASIANS that will stand by him no matter what!
 
Ni kweli Obama amechemsha katika hii ishu , ila wakati mwingine ni vizuri kujua ya kuwa hawa wote ni wanadamu na huwa wanafanya makosa , hawa watu wanatoa spichi zaidi ya 15 kwa siku kwa hiyo kuna sehemu watafanya makosa ila kuchukua sentensi moja na kumlabel Obama mbaguzi sio haki . Obama anatakiwa akae mbali kabisa na suala la Race kwani atawin Argument lakini hata loose kura , so he has to put two and two t'gether .
 
Na nyie mmezidi kuwa simplistic wakuu, yaani kwa kuwa Gavana kamwi-endorse basi kura zote za walatino anazo, ina maana huyu Gavana anatembea na roho za hawa watu?

Akina BIllary walikuwa wanampigia simu every other day, kumbuka wakati wa super bowl clinton alikwenda Santa Fe kuangalia game naye, na Richardson akamuomba Clinton afanye something about a particular woman kwenye campaign ya mama kwa jinsi alivyokuwa anampigia simu na kumsumbua.
 
kama granny ni typical white person(wa wakati wa ubaguzi) asiseme?
Kuna wazungu wangapi mpaka leo hawakubaliani na mambo ya intergration kwenye mashule and so forth?
 
kama granny ni typical white person(wa wakati wa ubaguzi) asiseme?
Kuna wazungu wangapi mpaka leo hawakubaliani na mambo ya intergration kwenye mashule and so forth?
MLK MWENYEWE ALIUAWA SI KWASABABU ALIDEMAND BLACK POWER..BALI ALITAKA WATU WOTE WISHI KWA USAWA NA HAKI..KAMA NDUGU!YANI ALIUAWA KWA SABABU YA MAHUBIRI MAZURI YA UPENDO AND THATS WHY SOME OF THESE REVERANDS DONT GIVE A S***T NO MORE!
 
Actually mara zote nilipoenda US sikuwahi kusali kanisa la blacks watupu linaloendeshwa na hawa jamaa; mara zote nilisali kwenye makanisa conventional tu. Mara zote niliuliza inakuwaje kunakuwa na makanisa ya black watupu, sikuwahi kupata jibu, sasa naanza kuelewa kwa message za hawa wachungaji. Na nashukuru kwamba sikwenda kusali kwao.
 
Does this summarise the state of campaign in the Democratic nomination process?
"According to ABC liberal Broadcast Co.

It helps that while Sen. Hillary Rodham Clinton has 10 weeks to make Obama totally and entirely unelectable, Obama just has to wait out the clock.

But the outside help Obama is getting (some that he asked for, some that he didn't) is the X-factor -- and it means that, even as Obama grapples with perhaps the biggest challenge to his candidacy, he will be the nominee short of something else dramatic happening in the race that's already seen everything.

Now the DNC is reduced to eating their own. Hillary is digging dirt on Obama Obama is digging dirt on Hillary

Both of them smell pretty bad and are ripening pretty fast.

Hillary cannot manage her husband Obama cannot manage his wife or trusted Reverend.

It appears neither can manage the affairs of the USA.

Chaos + Dissension + Uncertainty = Quagmire"
 
Actually mara zote nilipoenda US sikuwahi kusali kanisa la blacks watupu linaloendeshwa na hawa jamaa; mara zote nilisali kwenye makanisa conventional tu. Mara zote niliuliza inakuwaje kunakuwa na makanisa ya black watupu, sikuwahi kupata jibu, sasa naanza kuelewa kwa message za hawa wachungaji. Na nashukuru kwamba sikwenda kusali kwao.

Kitila black Americans au African Americans wanavyopenda kujiita, wana matatizo sana nadhani umeona mwenyewe tangu Obama ameanza campaign mpaka leo... from he is not black enough(hii ilitoka kwa prominent leaders)..to hayo madudu ya pastor. safari hii kitawauma sana product ya mzungu na mwafrika asilia inawachachafya...Imagine chuki waliyonayo weusi wengi dhidi ya waafrika(kutoka afrika) itakavyokuwa.
 
Actually mara zote nilipoenda US sikuwahi kusali kanisa la blacks watupu linaloendeshwa na hawa jamaa; mara zote nilisali kwenye makanisa conventional tu. Mara zote niliuliza inakuwaje kunakuwa na makanisa ya black watupu, sikuwahi kupata jibu, sasa naanza kuelewa kwa message za hawa wachungaji. Na nashukuru kwamba sikwenda kusali kwao.

Uchambuzi wako haujazingatia Historia ya mapambano ya watu weusi kujikomboa kutoka ubaguzi wa wazungu,na siasa za kikaburu za miaka zaidi ya 200 za wazungu wa Marekani.
 
Actually mara zote nilipoenda US sikuwahi kusali kanisa la blacks watupu linaloendeshwa na hawa jamaa; mara zote nilisali kwenye makanisa conventional tu. Mara zote niliuliza inakuwaje kunakuwa na makanisa ya black watupu, sikuwahi kupata jibu, sasa naanza kuelewa kwa message za hawa wachungaji. Na nashukuru kwamba sikwenda kusali kwao.
Unashindwa kuacknowledge kwamba segregation ndiyo iliyopelekea kuwa na makanisa ya weupe na weusi..kwamba wazungu waligoma kuchanganyika..ukiweza kwenda kwenye kanisa la wazungu ofcourse kama umetokea Afrika wanapenda kwa sababu waafrika tumeshakubali kuwa second class kutokana na matatizo na tabia yetu ya kuomba omba!Sasa hawataki weusi wa marekani wale nao sahani moja,hivyo kuwatenga..sasa wanapoona haya mambo kwenye luninga wanashangazwa kwasababu aisifiaye mvua imemyea!Empathy ni wazi kuna deficit na hivyo inakuwa kama vile watu wanaoishi dunia tofauti kabisa na zenye historia tofauti kabisa!Hawajui blacks wananishi vipi na hawaelewi kuwa system bado inawaminya!Wanapoonyesha matukio yote makubwa huwa wanaweka "tokens"watu kama kina Condi Rice..na baadhi ya tuwananjeshi tweusi kwenye mafunction ili kuonyesha diversity!lakini wananchi wa kawaida ambao ni weusi wanaipata sawasawa tu hakuna cha nani wala nani!Media haina njia kuwaonyesha ukweli na maneno yote kwasababu Obama ni popular na watu wanataka kusikiliza anasema nini hata kama hawapendi anachosema!Mambo yenye kuonyesha unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za binadamu hayapewi kipaumbele!Obama anajua coz alikuwa civilrights lawyer!Nawalaumu wazungu kwa kuwa na double standard na ukigeugeu..kwamba wanawapenda blacks only wanapokubali kuwa second class na wenye shida na hali ya unyenyekevu wa hali ya juu kama tulivyofanikiwa kumuonyesha Bush na dunia nzima kwa ujumla!Blacks ni kweli wana matatizo lakini "jim crowe" ndio iliharibu sana!Kuionyesha dunia kuwa ni well democratic with multiculturism respects peoples rights and treats each other base on character..hiyo imo kwenye makaratasi tu lakini bado kuna mapungufu makubwa kwenye jamii ya wamarekani!Kitila soma World History kidogo utagundua mengi!
 
Back
Top Bottom