US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nyani ,

Mimi nadhani hii ishu ni vizuri tuiangalie jinsi itakavyokuwa unveiled, lakini kusema ya kuwa hii ishu ni ndogo napingana na wewe .

...kama ulivyonipinga kwenye ishu ya pastor eeehhh....kwikwikwiiiii.....wewe ni "typical tanzanian"....and a "typical black person".....kwikwikwiiiii
 
Leo katika Larry King live, Larry King ametonya kwamba leo John Maccain kamsimamisha member mmoja wa kampeni yake aliyekuwa anajaribu kusambaza ile video ya reverend Wright.

Kwa hiyo inavyoonekana John MCain mwenyewe hataifanya hii ya reverend Wright kuwa ishu.Kama kibosile mwenyewe ndo keshaamua kuwa hiyo siyo ishu tena unadhani ni m'GOP gani ataendeleza huu mjadala?.

Halafu nilivyocheki na kutafakari ninadhani kwamba hii speech aliyoitoa Obama kuhusu race imewagusa mno watu wenye umri mkubwa, jamaa alionyesha maturity kubwa katika ile speech, usishangae sasa wazee wakaanza kumuunga mkono kuliko ilivyokuwa hapo mwanzo.
 
...kama ulivyonipinga kwenye ishu ya pastor eeehhh....kwikwikwiiiii.....wewe ni "typical tanzanian"....and a "typical black person".....kwikwikwiiiii

hivi typical ni neno baya namna hiyo??? ebu tutafutia basi definitions zake, tena basi tuletee ile ambayo ni -ve zaidi kuliko zote.

Mfano, "hiyo post hapo juu ni typical Nyani Ngabu."!! kuna tatizo gani na hiyo sentence?? je unajisikiaje baada ya mie kusema hivyo?? unadandia tu, wakina Limbaugh wakisema hii mbaya na itam-hurt Obama, na wewe huyo unakimbilia JF na "kibakubaku" chako........man, seriously, naona tunakupoteza.
 
Wee Gamba la nyoka hujui kitu. McCain hawezi kuwadhibiti watu kama Rush Limbaugh na Sean Hannity...ambao ni Republican lakini hawahusiki na kampeni ya McCain...sasa kusema kwamba eti mzee keshaamua ndio basi tena ni kuonyesha uelewa mdogo wa siasa za hapa maana hata nikikuuliza 527 ni nini huwezi kuniambia kabla ya ku-google!!!
 
Wewe umekasirika kwa sababu unajua itamcost Obama. Hiyo sentensi ingesemwa na McCain au Clinton kuhusu weusi (a typical black person) kungekuwa na vurumai. Who is the typical white person....can you tell me? and who is atypical?
 
kwa mujibu wa maelezo yake, bibi mtu ni typical na mama lake ni atypical!!! inatosha au?? itabidi jamaa basi akae kimya tu, asiseme chochote!! maana seems like the jury is out, kila anachosema ndio conviction inazidi kuwa stronger................halafu sijakasirika!!!
 
kwa mujibu wa maelezo yake, bibi mtu ni typical na mama lake ni atypical!!! inatosha au?? itabidi jamaa basi akae kimya tu, asiseme chochote!! maana seems like the jury is not, kila anachosema ndio conviction inazidi kuwa stronger................halafu sijakasirika!!!

You are right...he can't win on this issue of race. Awe kama alivyokuwa mwanzo alipokuwa hazungumzii mambo haya....
 
Wewe umekasirika kwa sababu unajua itamcost Obama. Hiyo sentensi ingesemwa na McCain au Clinton kuhusu weusi (a typical black person) kungekuwa na vurumai. Who is the typical white person....can you tell me? and who is atypical?

..Ngabu naona kule FIX NEWS Chris Wallace(mtu wao) kawapaka sana jamaa wa morning show just like 5 minutes ago,kawaambia hiyo ni distortion na wasome sentence nzima what obama said sio just picking typical white" ...wajomba wamekupa from the records clinton naye alisema typical irish person,tatizo ni nini hapo,naona wajomba hamna issue ila ujue election haitaamuliwa kwa hizo mud slinging & character assasination za uwongo,anyway Bill Richardson just endorsed Obama!
 
Wee Gamba la nyoka hujui kitu. McCain hawezi kuwadhibiti watu kama Rush Limbaugh na Sean Hannity...ambao ni Republican lakini hawahusiki na kampeni ya McCain...sasa kusema kwamba eti mzee keshaamua ndio basi tena ni kuonyesha uelewa mdogo wa siasa za hapa maana hata nikikuuliza 527 ni nini huwezi kuniambia kabla ya ku-google!!!

Mkuu sikubaliani nawe hapo, iwapo MCain angekula jiwe situation ingekuwa mbaya zaidi.hao kina Rush ni maopportunist ambao moja ya ambition zao ni kuona kuwa wana "influence landscape ya campaign", move yoyote ya MCain kwenda tofauti nao itawalazimisha kuadjust stratergy yao ili in one hand waonekane wanaalign na Mcain na in the other hand kuhakikisha wanajifanya waonekane kama ni watu fair sana ila tu Obama ndo yupo wrong.

Kama wataendelea kutumia ile seremon ya Wright ili kuendelea kuwa alienate wapiga kura wazungu ikiwa ni kama stratergy ya kumsaidia MCain bila shaka watakuwa wanajipalia makaa wenyewe katika credibility yao ya kusikilizwa na watu, na hawa jamaa kina Rush hawako tayari kabisa kuloose mashabiki, kwao ni bora MCain aloose kuliko wao kupoteza mashabiki. hawa jamaa nadhani hawaresonate na nature ya campaign za MCain.
 
Haya McCain kasema na ishu imekwisha!!
 
..Ngabu naona kule FIX NEWS Chris Wallace(mtu wao) kawapaka sana jamaa wa morning show just like 5 minutes ago,kawaambia hiyo ni distortion na wasome sentence nzima what obama said sio just picking typical white" ...wajomba wamekupa from the records clinton naye alisema typical irish person,tatizo ni nini hapo,naona wajomba hamna issue ila ujue election haitaamuliwa kwa hizo mud slinging & character assasination za uwongo,anyway Bill Richardson just endorsed Obama!

Koba,
nimecheki hio kitu ya Governor Richardson kumuendorse Obama.
Hapo sasa Hispanic vote inalenga kwa Obama na sio kama vile watu
walikua wanaassume eti Hispanics dont vote for blacks.Je unadhani akitoboa atampick jamaa over Hillary ama vipi?
 
Gamba la Nyoka,

Sean na Rush ni watu ambao wanadhani wana influence sana kwenye Republican party lakini kusema ukweli sio hivyo . Kwani kama kweli wangekuwa na influence basi Mccain leo asingekuwa mgombea , walimsema sana kwenye primary lakini jamaa akashindwa . Kitu kingine kinachoniuzi kuhusu hawa watu so closed minded , Sean anadai kuwa Obama anapoliticize hii ishu ya passport ilibidi Gingrich amrekebisje akamwambia hii ishu ni serious na tunaongelea kuhusu privacy za american citizen .

Hak
 
Koba,
nimecheki hio kitu ya Governor Richardson kumuendorse Obama.
Hapo sasa Hispanic vote inalenga kwa Obama na sio kama vile watu
walikua wanaassume eti Hispanics dont vote for blacks
.Je unadhani akitoboa atampick jamaa over Hillary ama vipi?

Hivi endorsement zinamaanisha kura eeh? Mhhh haya bana maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri basi basi Obama alishinda primary ya Massachussetts maana gavana, seneta Kerry na seneta Kennedy wote walim-endorse Obama.....
 
Gamba la Nyoka,

Sean na Rush ni watu ambao wanadhani wana influence sana kwenye Republican party lakini kusema ukweli sio hivyo . Kwani kama kweli wangekuwa na influence basi Mccain leo asingekuwa mgombea , walimsema sana kwenye primary lakini jamaa akashindwa . Kitu kingine kinachoniuzi kuhusu hawa watu so closed minded , Sean anadai kuwa Obama anapoliticize hii ishu ya passport ilibidi Gingrich amrekebisje akamwambia hii ishu ni serious na tunaongelea kuhusu privacy za american citizen .

Hak

Nyie endeleeni kuwadharau hawa watu....mtakuja nionea wenyewe...
 
Nyani Ngabu,

..passport ya Bill Clinton ilikuwa breached 1992. Kuna habari zimeanza kuzagaa kwamba ya Hillary ilikuwa breached in 2007.

..mimi ni kati ya wale tuliofurahishwa sana na hotuba ya Barack Obama. lakini he had no need ya kumsema vibaya Bibi Mzaa Mama yake. hakukuwa na sababu ya kumtaja Geraldine Ferraro.

..naelewa kwamba he was trying to be as honest as possible, lakini Obama angezungumzia experience yake mwenyewe na siyo kuanza kuwaburuza watu wengine kwenye hili tope racism.

..halafu sasa tunaona haya mapicha ya Pastor Wright na Mzee Clinton, na inasemekana yamesambazwa na kampeni ya Obama. Now what is the point here?!

..Kwamba kwa kumualika White House wakina Clinton wana-endorse kauli za uchochezi za Pastor Wright?

..Au kwasababu Pastor Wright alialikwa white house, basi Obama hana hatia yoyote kwa kuhudhuria kanisa lake kwa miaka 20?

..Nadhani hii endorsement ya Richardson itamnyang'anya Hillary kura za Wa-Spanish. Jinsi siku zinavyokwenda ndivyo hali inavyozidi kuwa mbaya kwa Hillary Clinton.

..Why do I believe that without Michigan and Florida Hillary should just forget about the nomination?
 
Vitu vingi ambavyo akina Billary wanamchafua navyo Obama vina direct connection nao? Rezko,NAFTA, Wright.

Kuhusu Rev. Wright kualikwa Whitehouse nadhani, before they do that wanafanya vetting therefore they knew exactly his positin na aina ya mahubiri anayotoa, au ameanza kupreach namna hiyo baada ya kina Clinton kutoka madarakani?

Alafu akina Billary wako MIA kwenye hii issue I thought they understood the black community better, watuelezee experience zao kwenye black churches.
 
Nasubiria Spin ya hili..

PH2008032002697.jpg

"I remember landing under sniper fire. There was supposed to be some kind of a greeting ceremony at the airport, but instead we just ran with our heads down to get into the vehicles to get to our base."
--Hillary Clinton, speech at George Washington University, March 17, 2008.

Hillary Clinton has been regaling supporters on the campaign trail with hair-raising tales of a trip she made to Bosnia in March 1996. In her retelling, she was sent to places that her husband, President Clinton, could not go because they were "too dangerous." When her account was challenged by one of her traveling companions, the comedian Sinbad, she upped the ante and injected even more drama into the story. In a speech earlier this week, she talked about "landing under sniper fire" and running for safety with "our heads down."

There are numerous problems with Clinton's version of events.
The Facts

As a reporter who visited Bosnia soon after the December 1995 Dayton Peace agreement, I can attest that the physical risks were minimal during this period, particularly at a heavily fortified U.S. Air Force base, such as Tuzla. Contrary to the claims of Hillary Clinton and former Army secretary Togo West, Bosnia was not "too dangerous" a place for President Clinton to visit in early 1996. In fact, the first Clinton to visit the Tuzla Air Force base was not Hillary, but Bill, on January 13, 1996.

Had Hillary Clinton's plane come "under sniper fire" in March 1996, we would certainly have heard about it long before now. Numerous reporters, including the Washington Post's John Pomfret, covered her trip. A review of nearly 100 news accounts of her visit shows that not a single newspaper or television station reported any security threat to the First Lady. "As a former AP wire service hack, I can safely say that it would have been in my lead had anything like that happened," said Pomfret.

According to Pomfret, the Tuzla airport was "one of the safest places in Bosnia" in March 1996, and "firmly under the control of Big Red One," the 1st Infantry Division.

Far from running to an airport building with their heads down, Clinton and her party were greeted on the tarmac by smiling U.S. and Bosnian officials. An eight-year-old Moslem girl, Emina Bicakcic, read a poem in English. An Associated Press photograph of the greeting ceremony, above, shows a smiling Clinton bending down to receive a kiss.

"There is peace now," Emina told Clinton, according to Pomfret's report in the Washington Post the following day, "because Mr. Clinton signed it. All this peace. I love it."

The First Lady's schedule, released on Wednesday and (PDF)available here, confirms that she arrived in Tuzla at 8.45 a.m. and was greeted by various dignitaries, including Emina Bicakcic, (whose name has mysteriously been redacted from the document.)

You can see CBS News footage of the arrival ceremony here. The footage shows Clinton walking calmly out of the back of the C-17 military transport plane that brought her from Ramstein Air Force Base in Germany.

Among the U.S. officials on hand to greet Clinton at the airport was Maj. Gen. William Nash, the commander of U.S. troops in Bosnia. Nash told me that he was unaware of any security threat to Clinton during her eight-hour stay in Tuzla. He said, however, that Clinton had a "busy schedule" and may have got the impression that she was being hurried on her way.

According to Sinbad, who provided entertainment on the trip along with the singer Sheryl Crow, the "scariest" part was deciding where to eat. As he told Mary Ann Akers of The Post, "I think the only 'red-phone' moment was: 'Do we eat here or at the next place.'" Sinbad questioned the premise behind the Clinton version of events. "What kind of president would say 'Hey man, I can't go 'cause I might get shot so I'm going to send my wife. Oh, and take a guitar player and a comedian with you."

Replying to Sinbad earlier this week, Clinton dismissed him as "a comedian." Her campaign referred me to Togo West, who was also on the trip and is a staunch Hillary supporter. West could not remember "sniper fire" himself, but said there was no reason to doubt the First Lady's version of events. "Everybody's perceptions are different," he told me.

Clinton made no mention of "sniper fire" in her autobiography "Living History," published in 2003, although she did say there were "reports of snipers" in the hills around the airport.
The Pinocchio Test

Clinton's tale of landing at Tuzla airport "under sniper fire" and then running for cover is simply not credible. Photographs and video of the arrival ceremony, combined with contemporaneous news reports, tell a very different story. Four Pinocchios.
 
Wewe umekasirika kwa sababu unajua itamcost Obama. Hiyo sentensi ingesemwa na McCain au Clinton kuhusu weusi (a typical black person) kungekuwa na vurumai. Who is the typical white person....can you tell me? and who is atypical?
CONSERVATIVE BLOGGERS WALIKUWA WAMESHAANZA KUMPAKAZIA ETI HE "THREW GRANDMA UNDER THE BUS" SASA NA YEYE AMEIBADILISHA AKAAMUA KUWA THROW WOTE UNDER THE BUS..KWAMBA NI STERIOTIPICALL..NA JAMAA ANAWABANA KISAWA KWANI BADO KUNA ILE SUPERIORITY NA INFERIORITY WHEN IT COMES TO THE MAINSTREAM SOCIAL AND POLITICAL ISSUES!WE HUSHANGAI KWANINI JALUO ANALINDWA MITHILI YA BUSH KABLA HATA HAJAUKWAA HUO URAIS WENYEWE?JAMAA LAZIMA AWAPIGE BAO THIS TIME..ILA BUSH ANAOGOPA SANA KWASABABU AMEONYESHA ULE MWELEKEO WA KIZAMAMNI WA KUWA IMPERIAL POWER NA KUWA NA MAKOLONI KAMA ILIVYO IRAQ NA KWINGINEKO KAMA TANZANIA ETC.SASA INABIDI AWE MAKINI COZ KWASABABU YA ULINZI OPTION YA KULIMWA SHABA NI NGUMU ILA NYINGINEZO ZOTE ZIKO ON THE TABLE!SASA WATU KAMA KINA KARL ROVE WANAHAHA NA KUWA MAKINI SANA KWENYE UCHANGIAJI WA HII ISSUE..NA JALUO HATAKI IENDE MAHALI KWANI SASA INAMFAVOR NA KUMFANYA KUWA UNDERDOG NA VICTIMIZED IN SOME WAYS..IE HII PASSPORT ISSUE!WAKO IN HARD TIMES COZ OBAMA AMEAMUA KUCHUKUA STYLE YA HEAD ON..HANITY ANAJARIBU KUSEMA ETI INGEKUWAVIPI KAMA NI MTU MWEUPE ANGESEMA..SASA OBAMA SI ANA BIBI MWEUPE?AMA TUMERUDI KWENYE ENZI ZA NYUMA AMBAPO MWANAMKE AHESABIKI KWENYE JAMII IN ANY MEANS?KWANI MAMA YAKE JALUO SI NI MZUNGU..NA BABU NA BIBI WALIOMKUZA NI WAZUNGU SO HAWAWEZI MWELEZA KITU!BOB RICHARDSON AMEFUATA NURU YA MUUNGANO!OBAMA HAS A STRONG COALITION OF WHITES,BLACKS,LATINOS AND ASIANS ALIKE...THE COALITION STRONG ENOUGH TO ENABLE HIM TO PREVAIL IN HIS MISSION TO CHANGE HIS COUNTYR AND THE WORLD!
 
Bob Richardson Keshanmyanganya Mama Walatino Na Sasa Wamefuata Nuru Ya Umoja Ya Mh Obama!
 
Jeremiah Wright's 9/11 sermon - full story PLUS full sermon audio

March 21, 2008
The full story behind Rev. Jeremiah Wright's 9/11 sermon
Posted: 10:09 AM ET

http://ac360.blogs.cnn.com/2008/03/21/the-full-story-behind-rev-jeremiah-wrights-911-sermon/

As this whole sordid episode regarding the sermons of the Rev. Jeremiah Wright has played out over the last week, I wanted to understand what he ACTUALLY said in this speech. I've been saying all week on CNN that context is important, and I just wanted to know what the heck is going on.

I have now actually listened to the sermon Rev. Wright gave after September 11 titled, "The Day of Jerusalem's Fall." It was delivered on Sept. 16, 2001.

One of the most controversial statements in this sermon was when he mentioned "chickens coming home to roost." He was actually quoting Edward Peck, former U.S. Ambassador to Iraq and deputy director of President Reagan's terrorism task force, who was speaking on FOX News. That's what he told the congregation.

He was quoting Peck as saying that America's foreign policy has put the nation in peril:

"We took this country by terror away from the Sioux, the Apache, Arikara, the Comanche, the Arapaho, the Navajo. Terrorism.

"We took Africans away from their country to build our way of ease and kept them enslaved and living in fear. Terrorism.

"We bombed Grenada and killed innocent civilians, babies, non-military personnel.

"We bombed the black civilian community of Panama with stealth bombers and killed unarmed teenage and toddlers, pregnant mothers and hard working fathers.

"We bombed Qaddafi's home, and killed his child. Blessed are they who bash your children's head against the rock.

"We bombed Iraq. We killed unarmed civilians trying to make a living. We bombed a plant in Sudan to pay back for the attack on our embassy, killed hundreds of hard working people, mothers and fathers who left home to go that day not knowing that they'd never get back home.

"We bombed Hiroshima. We bombed Nagasaki, and we nuked far more than the thousands in New York and the Pentagon and we never batted an eye.

"Kids playing in the playground. Mothers picking up children after school. Civilians, not soldiers, people just trying to make it day by day.

"We have supported state terrorism against the Palestinians and black South Africans, and now we are indignant because the stuff that we have done overseas is now brought right back into our own front yards. America's chickens are coming home to roost.

"Violence begets violence. Hatred begets hatred. And terrorism begets terrorism. A white ambassador said that y'all, not a black militant. Not a reverend who preaches about racism. An ambassador whose eyes are wide open and who is trying to get us to wake up and move away from this dangerous precipice upon which we are now poised. The ambassador said the people we have wounded don't have the military capability we have. But they do have individuals who are willing to die and take thousands with them. And we need to come to grips with that."

He went on to describe seeing the photos of the aftermath of 9/11 because he was in Newark, N.J., when the planes struck. After turning on the TV and seeing the second plane slam into one of the twin towers, he spoke passionately about what if you never got a chance to say hello to your family again.

"What is the state of your family?" he asked.

And then he told his congregation that he loved them and asked the church to tell each other they loved themselves.

His sermon thesis:

1. This is a time for self-examination of ourselves and our families.

2. This is a time for social transformation (then he went on to say they won't put me on PBS or national cable for what I'm about to say. Talk about prophetic!)

"We have got to change the way we have been doing things as a society," he said.

Wright then said we can't stop messing over people and thinking they can't touch us. He said we may need to declare war on racism, injustice, and greed, instead of war on other countries.

"Maybe we need to declare war on AIDS. In five minutes the Congress found $40 billion to rebuild New York and the families that died in sudden death, do you think we can find the money to make medicine available for people who are dying a slow death? Maybe we need to declare war on the nation's healthcare system that leaves the nation's poor with no health coverage? Maybe we need to declare war on the mishandled educational system and provide quality education for everybody, every citizen, based on their ability to learn, not their ability to pay. This is a time for social transformation."

3. This is time to tell God thank you for all that he has provided and that he gave him and others another chance to do His will.

By the way, nowhere in this sermon did he say "God damn America." I'm not sure which sermon that came from.

This doesn't explain anything away, nor does it absolve Wright of using the N-word, but what it does do is add an accurate perspective to this conversation.

The point that I have always made as a journalist is that our job is to seek the truth, and not the partial truth.

I am also listening to the other sermons delivered by Rev. Wright that have been the subject of controversy.

And let me be clear: Where I believe he was wrong and not justified in what he said based upon the facts, I will say so. But where the facts support his argument, that will also be said.

So stay tuned.

- Roland S. Martin, CNN Contributor www.rolandsmartin.com

= = = = = = = = = = = = =

Listen to Rev. Jeremiah Wright's 9/11 sermon
March 21, 2008

http://www.rolandsmartin.com/blog/?p=147
http://odeo.com/audio/17889043/view

It has been discussed around the nation. So what EXACTLY did Rev. Jeremiah Wright of Trinity United Church of Christ in Chicago say in the aftermath of the devastation on Sept. 11, 2001? This sermon was delivered on Sept. 16, 2001 and is titled, "The Day of Jerusalem's Fall." Note that the "chickens coming home to roost" comment was attributed not to Wright but former Ambassador to the Iraq, Edward Peck. It comes around the 20-minute mark.

Here's the link to the audio:
http://odeo.com/show/17889043/4/download/Rev.JeremiahWrightsControversial911Sermon.mp3
 
Back
Top Bottom