1. Bll Richardson, anatafuta umakamu naaamini alienda kwa kina Clintons, wakamwambia hawana nafasi, akaahidiwa kwa Jaluo. Endorsment yake a big deal? Not real, au it depends ingekuwa basi State yake ingemchagua Jaluo, they did not. Je anaweza kuwahawishi Hispanics wote wampigie kura Jaluo, no? Why? kwa nini Hispanics hawakumpigia kura yeye Richardson mgombea in the first place? All and all, the endorsment ni another plus kwa Jaluo, on superdelegates.
2. Jaluo chances za nomination?, ni very clear kuwa atashinda baada ya michigan na Florida, kukatliwa basi Hillary matumaini ni madogo sana, unless ashinde popular vote kwa the rest of uchaguzi ili aweze kuwashawishi delegates, Jaluo na Makeni, not looking very good this Preacher's thing imem-reduce Jaluo into another usual liar politician, zipo tepu ambako anasema hakuwepo kwenye hotuba chafu za preacher wake, na majuzi amesema mwenyewe kuwa aliwahi kuwepo kwenye hizo hotuba, na mpaka quotes za kitabu chake kimoja zilitolewa kwenye one of the sermons za preacher wake, is it a big deal yes polls ndivyo zinavyosema,
My take, aongeze kutoa ma-speech kila wakati hata isipobidi maana ndio the only great offense aliyonayo, ni kuuuchonga tu na alilie debate nyingi na Makeni.
Go Jaluo!