Poa, ngoja tusubiri tuone. Lakini usisahau Hillary kazoea madongo maana amepigwa tangu kampeni zianza ndiyo maana sasa amepachikwa jina la 'fighter'. Lakini sasa 'bwana mdogo' naona kidogo misukomisuko kwake ni mizito na inaonekana hakuzoea kwani amekuwa akipata kwenye mteremko, lakini wazungu wameamua kum-srutinize baada ya kugundua anaweza kushinda. Nafikiri hawana nia mbaya, wanataka kumpitisha kwenye tanuru ili akishinda awe amekomaa. Wewe unafikiri kama George Bush angekuwa hajazoea misukosuko angeweza vipi ku-survive hadi leo na madongo yote anayopigwa. Sasa huyu 'kijana' naye lazima akomae, vinginevyo, Marekani itakuja vamia Iran, atapigiwa kelele na hawa jamaa wanayojiita pundits, kesho yake atayachomoa majeshi na kusababisha kasheshe.
wewe ndio huna credibility, nimekuwa nakufuatilia postings zako hasa zile za thread ya "watanzania ndivyo tulivyo"......una tendecy ya kukandia na kukashifu watu weusi kila upatapo nafasi!!
wapi jamaa kaponda katiba ya US?? kivipi kapoteza credibility? ebu nijibu hayo maswali....
"hypothetical match up," so it is a scientific guess match up!! uuunh, its just a guess, then why bother about it? kuna primaries/caucuses za kushinda first, nomination ikipatikana, hapo sasa ndio watu wataanza ku-worry juu ya McCain, got it!!?
halafu wewe NN, si ni wewe uliekuwa unasema polls hazina mpango? sasa leo imekuwaje? au zina maana tu pale candidate wako mambo yanapomwendea vyema(supposedly)?
Mwisho, hizo polls ni kama rollercoaster....zinapanda na kushuka. McCain hayupo kwenye news @least negatively kwa kama wk ngapi sasa? sasa kipi hapo cha ajabu, kama yupo juu?......
tusubiri tuone wk 2, 3 zijazo, hizo namba zitasemaje, lakini ni 'ignorance' kuchekelea kitu kama hicho wakti candidate mmoja yupo kwenye scandal ambayo ndio kwanza ime-peak....wait for the trough, halafu njoo hapa tena na story zako.
acha ushabiki, jaribu kuwa critical thinker. tatizo lako umemwachia Rush Limbaugh na Sean Hannity wawe wanafiri kwa niaba yako! LOL.
Brace yourself for another bombshell...kuna tape nyingine ya pastor aitwaye somebody Meeks....hii ni breaking kutoka kwa my superhero Sean Hannity...so stay tuned for Hannity and Comes tonight....very interesting stuff
.....duh! we kweli sikuwezi, yaani unachekelea kabisa hii polarization inayoendelea?? kwahiyo uchaguzi huu utakuwa juu ya pastors na maneno yao na sio issues tena!!? no wonder $$ inaporomoka na uchumi unaenda south.......kaazi kwelikweli!!.
Mliambiwa na hamkutaka kusikia...your boy is not tested yet and I doubt he has the fortitude to withstand the GOP onslaught while Mama taken everything they've got for decades. Now it's on and crying foul ain't gonna help. Either stay in there and return fire or get the hell out if you can't handle it....
Don't forget to watch the best political show on cable...Hannity and Colmes, 9:00PM EST.
sina haja ya kuangalia Hannity and Colmes, kwani najua huyo Rev. Meeks ni nani. James T. Meeks ni Illinois state senator na reverend mwenye congregation ya takribani watu 22,000....jamaa huwa ana rhetoric ambazo ni anti gayz na @ timez controversial! so its more of the same toka kwa kile tulichosikia toka kwa Dr. Wright. Kosa la Obama hapa labda ni kuwa alifanyakazi pamoja na Meeks kwenye Illinois Assembly na labda ile kukampeni kwenye church yake wakati anagombea US senate sit.........ambayo kimsingi si makosa kwa jinsi yeyote ile!! kubali kataa hii kitu ita fade, na pengine ndio -ve pekee waliyopata na watakayopata against him...hey homeboy, we're far away to November, usianze kuhesabu faida wakati ndio kwanza kumekucha!!
kuna article flani najua wewe utaipenda maana inaponda Obama.......ingia:
www.bilerico.com hapo tafuta article ya Rev. Irene Monroe, titled: IF OBAMA CAN THROW HIS PASTOR UNDER THE BUS, WHAT WILL HE DO TO US?. isome yote na comments za wasomaji halafu njoo tena hapa tubishane.
Poor guy anachukua fire toka kila kona, Media, Billary, Gay rights groups, McCain, Whites racists, Blacks racists, kwikwikwikwi Nyani Ngabu, The Lies(Truth) and Kitila, lazima yote hayo yachukue toll kwenye polls.....lakini, inshallah, god wishes, kwasababu malengo ya kampeni hii ni mazuri basi mambo nayo yatakuwa mazuri!! Yes We Can, Yes We Will Survive.
Heheheheee....The Audacity Of Hype!!!
that's all?? what about McCain's gaffe yesterday in Jordan that, " the Iranians are training al qaeda"?? halllllllooooowwww! yupo confused, hajui tofauti ya sunni na shia, Iraq na Iran au Iraq na al qaeda!! kazi ipo mwaka huu.........mwambie awe ana tembelea tembelea www.alz.org watampa ushauri mzuri juu ya matatizo yake, the guy is torturing is fragile body and mind...sad!.
Sasa hii thread ni ya watanzania marepublikan na mademokrat!Mimi nilidhani tutachangia kwa upeo na si kujifanya wanavyama wa marepablikan kama Nyani anavyotaka kujirepresent..ongelea true politics na sio ushabiki tu!halafu inatakiwa ufanye uchambuzi ambao sisi kama watanzania na waafrika kwa ujumla tunaweza kuidentify with..na sio kuwa nyani ngabu tuuu!
Ebanae mmeionaje speech ya leo?
again ushabiki pembeni Obama sounded kama Commander in Chief.
Msikose Hannity and Colmes...inakuja baada ya dakika mbili...