US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kama issue ni Experience, basi Donald Rumsfeld au Dick Cheney wangekuwa ni lulu ya uongozi makini ktk America.lakini kumbe ishu hapa ni Good Judgement. kama una good judgement unaweza kuwa kiongozi mzuri. je Mama ana good Judgement?.
 
Naona siku zinavyozidi kwenda ndio hii stori inavyozidi kupoteza nguvu ...watu wanajiuliza kwa nini watu hawazungumzii issue nzito ambazo zinawakabili wamarekani leo ? Nahisi muda unavyozidi kwenda na ukali wa maisha unavyozidi kuongezeka hili jambo litafifia ..Dollar inazidi kuporomoka watu wamekazania pastor pastor ...

Hee bwana inaonekana hawa wazungu hujawajua. Mie baada ya kukao nao muda mchache nimegundua kwao haya mambo madogo ndio mambo kwao; nakwambia hii issue itajadiliwa, itazaa articles na articles. Wenzetu bwana hawana funika kombe mwanaharamu apite kama sisi. Tena acha kabisa, huwa lazima waone mwisho wake, na mwisho wake ni mtu kuondoka. Nimeona hata hapa UK juzi wamembea bango spika kisa mke wake alienda shopping na gari ya ofisi. Mzee ogopa kama unampenda Obama, hii ni issue itakayoendelea hadi Rais amechaguliwa na kama atakuwa ni yeye itaendelea hadi anamaliza urais wake.

Ni sisi ambao leo tutajadili Richmond, tunafunika, kesho BoT tunafunika, sio hawa wenzetu and that is one of the things that differentiate them from us: they pay attention to details however trivial and small the issue may appear? Lakini ni vizuri kujiridhisha kama ni mpenzi wa Obama kwamba sio issue, it helps pyschologically but doesn't change the truth that your beloved candidate baffled on this issue and he is in for it!
 
Hivi nani alihamisha hii Topic huku mafichoni? niliitafuta siku kibao baadaye ndio nikaipata, hebu irudisheni ilipokuwa kule mwanzoni,hivi mnapata nini kwa kufanya vitu kama hivi ambavyo ni vya kuudhi tuu na kupunguza traffic kwenye hii thread yetu? kama mna sababu ya maana semeni ila msituambie eti haihusiani na siasa za kule,irudisheni kule ili tusiendelee kuudhiana bila sababu maana hamna chochote mnacho gain kwa kuiweka huku zaidi ya malalamiko tuu na kuwatia watu hasira.
 
Pastor pastor wakati subprime & credit cruch zinamaliza portfolio za watu na kuwafanya wengine homeless,babu asivyo na akili nzuri anafikiri surge itampa WH ndio maana yupo Baghdad sasa na propaganda zake,at the same time anatupa story za tax cut zilizoleta chaos,only insane people ndio wanaamini Republican watashinda november!
 
jamani mnaongea sana humu nashauri mchukue commercial break kido kisha mtaendelea baadae

1205779220.jpg
 
Hee bwana inaonekana hawa wazungu hujawajua. Mie baada ya kukao nao muda mchache nimegundua kwao haya mambo madogo ndio mambo kwao; nakwambia hii issue itajadiliwa, itazaa articles na articles. Wenzetu bwana hawana funika kombe mwanaharamu apite kama sisi. Tena acha kabisa, huwa lazima waone mwisho wake, na mwisho wake ni mtu kuondoka. Nimeona hata hapa UK juzi wamembea bango spika kisa mke wake alienda shopping na gari ya ofisi. Mzee ogopa kama unampenda Obama, hii ni issue itakayoendelea hadi Rais amechaguliwa na kama atakuwa ni yeye itaendelea hadi anamaliza urais wake.

Ni sisi ambao leo tutajadili Richmond, tunafunika, kesho BoT tunafunika, sio hawa wenzetu and that is one of the things that differentiate them from us: they pay attention to details however trivial and small the issue may appear? Lakini ni vizuri kujiridhisha kama ni mpenzi wa Obama kwamba sio issue, it helps pyschologically but doesn't change the truth that your beloved candidate baffled on this issue and he is in for it!

Kitila ,
Hali ya maisha ya Marekani ni mbaya kusema ukweli na watu siku zinavyozidi kwenda mbele ndio wanavyozidi kupata hasira na serikali ya GOP. Ni kweli wenzetu wanaweka vitu moyoni lakini reality imeanza kuingia mafuta ni $ 3.15 hapa Texas sasa hivi , Wamarekani wengi wanakimbia nyumba zao , makampuni mbalimbali yana laid off wafanyakazi wake, Wamarekani hawawezi kwenda vacation overseas kutokana na thamani ya Dollar...Kwa hiyo kusema ukweli hiyo issue ingekuwa strong kama uchumi ungekuwa unafanya vizuri. Na wataalamu wanasema hali itaendelea kuwa mbaya, kwa hiyo ni lazima tujue ya kuwa siasa ni dynamic kwa hiyo issue kubwa baada ya mwezi itakuwa nyingine kabisa.
 
Hivi ni lini vile mafuta yalikuwa $.99 a gallon..? Nnai vile alikuwa raisi?
 
Hivi ni lini vile mafuta yalikuwa $.99 a gallon..? Nnai vile alikuwa raisi?

Nyani ,

Sikumbuki ila ninachoweza kusema sababu moja kubwa inayofanya bei ya mafuta iongezeke ni weaker dollar ! Economics 101 , thamani ya hela inaposhuka bei ya bidhaa zinazokuwa imported zinaongezeka wakati kampuni za nchi husika zinaouza bidhaa nje zinafaidika.
 
Kuna hii article nimeiona leo kiasi fulani nimeona mtu mwenye mtazamo tofauti kuhusu hii issue ya Obama, nadhani ni vizuri kuangalia upande mwingine wa shilingi pia.

Frank Schaeffer

Buzz up!

Obama's Minister Committed "Treason" But When My Father Said the Same Thing He Was a Republican Hero

When Senator Obama's preacher thundered about racism and injustice Obama suffered smear-by-association. But when my late father -- Religious Right leader Francis Schaeffer -- denounced America and even called for the violent overthrow of the US government, he was invited to lunch with presidents Ford, Reagan and Bush, Sr.

Every Sunday thousands of right wing white preachers (following in my father's footsteps) rail against America's sins from tens of thousands of pulpits. They tell us that America is complicit in the "murder of the unborn," has become "Sodom" by coddling gays, and that our public schools are sinful places full of evolutionists and sex educators hell-bent on corrupting children. They say, as my dad often did, that we are, "under the judgment of God." They call America evil and warn of immanent destruction. By comparison Obama's minister's shouted "controversial" comments were mild. All he said was that God should damn America for our racism and violence and that no one had ever used the N-word about Hillary Clinton.

Dad and I were amongst the founders of the Religious right. In the 1970s and 1980s, while Dad and I crisscrossed America denouncing our nation's sins instead of getting in trouble we became darlings of the Republican Party. (This was while I was my father's sidekick before I dropped out of the evangelical movement altogether.) We were rewarded for our "stand" by people such as Congressman Jack Kemp, the Fords, Reagan and the Bush family. The top Republican leadership depended on preachers and agitators like us to energize their rank and file. No one called us un-American.

Email
Print
Comments
Consider a few passages from my father's immensely influential America-bashing book A Christian Manifesto. It sailed under the radar of the major media who, back when it was published in 1980, were not paying particular attention to best-selling religious books. Nevertheless it sold more than a million copies.

Here's Dad writing in his chapter on civil disobedience:

If there is a legitimate reason for the use of force [against the US government]... then at a certain point force is justifiable.

And this:

In the United States the materialistic, humanistic world view is being taught exclusively in most state schools... There is an obvious parallel between this and the situation in Russia [the USSR]. And we really must not be blind to the fact that indeed in the public schools in the United States all religious influence is as forcibly forbidden as in the Soviet Union....

Then this:

There does come a time when force, even physical force, is appropriate... A true Christian in Hitler's Germany and in the occupied countries should have defied the false and counterfeit state. This brings us to a current issue that is crucial for the future of the church in the United States, the issue of abortion... It is time we consciously realize that when any office commands what is contrary to God's law it abrogates it's authority. And our loyalty to the God who gave this law then requires that we make the appropriate response in that situation...

Was any conservative political leader associated with Dad running for cover? Far from it. Dad was a frequent guest of the Kemps, had lunch with the Fords, stayed in the White House as their guest, he met with Reagan, helped Dr. C. Everett Koop become Surgeon General. (I went on the 700 Club several times to generate support for Koop).

Dad became a hero to the evangelical community and a leading political instigator. When Dad died in 1984 everyone from Reagan to Kemp to Billy Graham lamented his passing publicly as the loss of a great American. Not one Republican leader was ever asked to denounce my dad or distanced himself from Dad's statements.

Take Dad's words and put them in the mouth of Obama's preacher (or in the mouth of any black American preacher) and people would be accusing that preacher of treason. Yet when we of the white Religious Right denounced America white conservative Americans and top political leaders, called our words "godly" and "prophetic" and a "call to repentance."

We Republican agitators of the mid 1970s to the late 1980s were genuinely anti-American in the same spirit that later Jerry Falwell and Pat Robertson (both followers of my father) were anti-American when they said God had removed his blessing from America on 9/11, because America accepted gays. Falwell and Robertson recanted but we never did.

My dad's books denouncing America and comparing the USA to Hitler are still best sellers in the "respectable" evangelical community and he's still hailed as a prophet by many Republican leaders. When Mike Huckabee was recently asked by Katie Couric to name one book he'd take with him to a desert island, besides the Bible, he named Dad's Whatever Happened to the Human Race? a book where Dad also compared America to Hitler's Germany.

The hypocrisy of the right denouncing Obama, because of his minister's words, is staggering. They are the same people who argue for the right to "bear arms" as "insurance" to limit government power. They are the same people that (in the early 1980s roared and cheered when I called down damnation on America as "fallen away from God" at their national meetings where I was keynote speaker, including the annual meeting of the ultraconservative Southern Baptist convention, and the religious broadcasters that I addressed.

Today we have a marriage of convenience between the right wing fundamentalists who hate Obama, and the "progressive" Clintons who are playing the race card through their own smear machine. As Jane Smiley writes in the Huffington Post "[The Clinton's] are, indeed, now part of the 'vast right wing conspiracy.' (http://www.huffingtonpost.com/jane-smiley/im-already-against-the-n_b_90628.html )

Both the far right Republicans and the stop-at-nothing Clintons are using the "scandal" of Obama's preacher to undermine the first black American candidate with a serious shot at the presidency. Funny thing is, the racist Clinton/Far Right smear machine proves that Obama's minister had a valid point. There is plenty to yell about these days.

Source : http://www.huffingtonpost.com/frank-schaeffer/obamas-minister-committe_b_91774.html
 
Hivi ni lini vile mafuta yalikuwa $.99 a gallon..? Nnai vile alikuwa raisi?

......goodness, hatuongelei 'ancient' times za bei ya gallon .99!! tuna ongelea wakati huu tuliopo na pres ni Bush, kuna sehemu in Cali nasikia gas imeenda juu mpaka $ 5.05 per gallon! binafsi I'm luck naishi sehemu ambapo public transits zipo well established.......naendesha gari siku za baridi kali, otherwise ni treni au/na "TZ 11." Economy ipo in serious trouble, kiasi kwamba its a shame and waste of time kuongelea Dr. Wright badala ya really issues! isitoshe godwishes, kesho Obama atakuwa na major speech( of course, he's good onto that...LOL) juu ya mambo ya race na comments za Dr. Wright....hopeful, this B.S will be put @ rest, @least for now.

....naona FL kutakuwa hakuna revote, bad news to HRC!! what is the next step?? hiyo scalf anayovaa hillary toka juzi yenye "shamrocks" inaboa, aivue basi angalau ifuliwe....au ndio hizo signals kwa voters wa PA especially whites kwamba she is Irish and damn enthusastic about St. Patricks day?? how low she will go inorder to win these primaries??!!....aaagh.

Keith Olbermann yupo ON, anakandamiza ki-MSNBC........kuna mtu yeyote aliangalia swear in ya Gov. Dave Paterson leo mchana!!?? it was one for history book!!
 
Admission.....kwikwikwiiiiii

Newsmax wanasema Obama alikuwepo ktk moja ya zile sermons kanisani.....kwa hiyo kadanganya

haya imekuwa confirmed kwamba hiyo july 22, Obama alikuwa zake southbeach kana kawa, 'SPEECH' na hakuudhuria narudia tena hakuudhuria church siku hiyo!! Newsmax, wameomba radhi kwa makosa ya ripoti yao......bwahahahahahahahaha, ushabiki umekuzidi kiasi kwamba unalishwa sumu ukidhani ni candy!! shame on you Nyani Ngabu....umekuwa worst person of the day hapa JF!!.
 
......goodness, hatuongelei 'ancient' times za bei ya gallon .99!! tuna ongelea wakati huu tuliopo na pres ni Bush, kuna sehemu in Cali nasikia gas imeenda juu mpaka $ 5.05 per gallon! binafsi I'm luck naishi sehemu ambapo public transits zipo well established.......naendesha gari siku za baridi kali, otherwise ni treni au/na "TZ 11." Economy ipo in serious trouble, kiasi kwamba its a shame and waste of time kuongelea Dr. Wright badala ya really issues! isitoshe godwishes, kesho Obama atakuwa na major speech( of course, he's good onto that...LOL) juu ya mambo ya race na comments za Dr. Wright....hopeful, this B.S will be put @ rest, @least for now.

....naona FL kutakuwa hakuna revote, bad news to HRC!! what is the next step?? hiyo scalf anayovaa hillary toka juzi yenye "shamrocks" inaboa, aivue basi angalau ifuliwe....au ndio hizo signals kwa voters wa PA especially whites kwamba she is Irish and damn enthusastic about St. Patricks day?? how low she will go inorder to win these primaries??!!....aaagh.

Keith Olbermann yupo ON, anakandamiza ki-MSNBC........kuna mtu yeyote aliangalia swear in ya Gov. Dave Paterson leo mchana!!?? it was one for history book!!

Umeishiwa hoja sasa unaongelea scarf aliyovaa Mama...what does that have to do with anyhting?

Story ya Wright haiwezi kuisha kesho. Kadri anavyozidi kuizungumza ndio inavyozidi kushamiri. Makundi ya 527 tayari yako kazini ku-compile The Jeremiah Wright Greatest Hits; The Best of Jeremiah Wright...coming to a TV near you this October.
 
Halafu toa source ya NewsMax kuomba radhi...usije ukawa unaongea tu hapa.

Halafu dekshia hii hii stori...

Poll shows Rev. Jeremiah Wright hurting Barack Obama
Who knows how long the Rev. Jeremiah Wright brouhaha will play out, but revelations of Barack Obama's pastor's objectionable sermons have apparently eroded public perceptions of Obama, according to a fresh analysis by the Rasmussen Report tracking poll.

With the Wright episode playing out over the past few days, the poll found Obama's favorable rating nationally had dropped five points to 47% since Thursday, and his unfavorable rating had risen from 44% to 50%. Among white voters, the unfavorable numbers jumped to 54%. The poll also found John McCain leading both Obama and Hillary Clinton in head-to-head national matchups, whereas a week ago they they were essentially tied.

Of course, the Democrats have to pick between Obama and Clinton before the head-to-head matters, which is as unresolved as ever. This is beginning to feel a little bit like Florida 2000, when the nation suddenly learned the meaning of arcane terms like "hanging chad." This time around, we're becoming experts on Democratic superdelegates, while trying shake off images of well-fed Democrats in tights and capes.

The folks at MSNBC's First Read point out that although Hillary Clinton leads Barack Obama in superdelegates -- something we dissected earlier today day -- she hasn't picked up any fresh superdelegates since Super Tuesday. In fact, First Read's count shows Obama gained 47 superdelegates since then while Clinton lost seven -- including former New York Gov. Eliot Spitzer.
 
Umeishiwa hoja sasa unaongelea scarf aliyovaa Mama...what does that have to do with anyhting?

Story ya Wright haiwezi kuisha kesho. Kadri anavyozidi kuizungumza ndio inavyozidi kushamiri. Makundi ya 527 tayari yako kazini ku-compile The Jeremiah Wright Greatest Hits; The Best of Jeremiah Wright...coming to a TV near you this October.

tatizo lako hufikirii, think, think.... scarf yenye green shamrocks toka juzi in Scranton mpaka leo, ina send message flani!! ooooh well, its St. Patricks wk by the way!!

hizo number zipo kwenye rollercoaster ya aina, wk mbili zijazo baada ya speech ya kesho zitaenda juu tena! ndio mambo ya camp-pain hayo.
 
....haya it was 1998 na rais alikuwa Clinton the husband, BIG DEAL!!!

Yes it is a big deal. I could afford to ride with a full tank of gas all the time. You Obama-maniacs have very short memory and/ or are just downright thankless. The 90's were some good times.....
 
tatizo lako hufikirii, think, think.... scarf yenye green shamrocks toka juzi in Scranton mpaka leo, ina send message flani!! ooooh well, its St. Patricks wk by the way!!

hizo number zipo kwenye rollercoaster ya aina, wk mbili zijazo baada ya speech ya kesho zitaenda juu tena! ndio mambo ya camp-pain hayo.

Tatizo lako wewe umeghubikwa na mi-conspiracy theory kibao. Unanikumbusha Dick Gregory...yule kibabu. Yeye kila kitu white people...white men...white folks...goooly!! Sio kila kitu kiko coded.....
 
Tatizo lako wewe umeghubikwa na mi-conspiracy theory kibao. Unanikumbusha Dick Gregory...yule kibabu. Yeye kila kitu white people...white men...white folks...goooly!! Sio kila kitu kiko coded.....

endelea tu na naivette yako, mie ya kwangu imeenda down into tubes baada ya kung'atwa.......scarf yenye green shamrocks kwa siku tatu mfululizo ktkt ya kampeni ipo suspicious! kama hutaki sawa, lakini mie ndio naamini hivyo.

naona kibabu chako kipo 'babylon' kwa photo ops za November! strategy ya Iraq war and tough in security haina nafasi kubwa mwaka huu.....its a strategy doomed to fail. its economy stupid all over again!!.
 
endelea tu na naivette yako, mie ya kwangu imeenda down into tubes baada ya kung'watwa.......scarf yenye green shamrocks kwa siku tatu ktk ya kampeni ipo suspicious! kama hutaki sawa, lakini mie ndio naamini hivyo.
naona kibabu chako kipo 'babylon' kwa photo ops za November! strategy ya Iraq war and tough in security haina nafasi kubwa mwaka huu.....its a strategy doomed to fail. its economy stupidy all over again!!.

Kwa vile kwako wewe limeshakuwa suala la imani hakuna nitakaloweza kufanya tena kukushawishi uachane na conspiracy theories.

Reverend Wright yeye anaamini serikali ya Marekani ilitengeneza ukimwi kuwaua Waamerika weusi. Hiyo ni imani yake na hakuna mtu atakayeza kuibadilisha zaidi ya yeye. Na wewe hivyo hivyo na imani zako. Kama unaamini pombi ni chai...sawa tu. Kama unaamini dunia si duara...sawa tu. Vyovyote vile pouwa tu, au siyo babu?
 
Back
Top Bottom