US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Lakini wazee Marekani inaelekea pabaya , Yaani nchi hiko kwenye recession , Dollar inashuka thamani kama Peso ...Media zote zinazungumzia Obama's pastor .

Kwanza walisema jamaa ni muislamu sasa jamaa ni mkristo...Hivi kweli inamke sense kwa Obama kuwachukia wazungu wakati mzazi pekee aliyemlea ni mzungu .
 
mie naona kachomoka, ka-denounce and reject, sasa tatizo ni nini tena?? ukiangalia interviews na Anderson Cooper au ile ya Keith Olberman unapata wigo mkubwa wa kuelewa kwamba jamaa yupo credible na ni haki yake kupewa the benefit of the doubt. Since when watu wanakuwa guilty by association!!??. c'mon man, saa nyingine jaribu kuwa open minded bwana.....usiwe na mawazo ya ki-military namna hiyo, unakwenda beyond GOTCHA!!.

Mkusanyiko wa waumini ni jumuia.Ni vigumu kuamini hakujua mchungaji wake anasemaga nini. Utakuwa gullible kuamini tu bila kuuliza.
 
Mkusanyiko wa waumini ni jumuia.Ni vigumu kuamini hakujua mchungaji wake anasemaga nini. Utakuwa gullible kuamini tu bila kuuliza.

kuna haki ya kuhoji, I mean no doubt abt that....lakini lazima pia uweke upenyo wa mawazo mbadala. cha kusikitisha wewe umesha-conclude na kufunga ukurasa kwamba Obama ndivyo alivyo......wrong!!
 
kuna haki ya kuhoji, I mean ni doubt abt that....lakini lazima pia uweke upenyo wa mawazo mbadala. cha kusikitisha wewe umesha-conclude na kufunga ukurasa kwamba Obama ndivyo alivyo......wrong!!

Hebu imagine pastor wa Billary angekuwa anahubiri hivyo...chukua hayo maneno ya pastor wa Obama na jinsi alivyowa-characterize kina Clinton halafu uyaweke kama pastor wa Billary ndio anahubiri....Al Sharpton angeandamana ktk majimbo yote hamsini akiwapinga na nyinyi humu mngekuwa up in arms kuwaita ni wabaguzi.
 
watoe wapi pastor wakati watu wenyewe hawapo spiritual!!?? kumbuka Monica, Bill alichukua Uncle Jesse kwa guidance......je si ni huyo huyo Jesse aliye/anaebash Jews??......kaka, haya mambo ni magumu sana, huwezi na hutakiwi kuyaangalia ktk black and white kwani kuna greys zipo scattered everywhere....

kama kwa mtaji huu ndio watu wanataka kushinda uchaguzi, basi hii democracy ni kweli ipo matatani!!!.
 
.......sin zimezidi Atlanta ndio maana mmepigwa na Tornado!!! kwikwikwikwikwikwi. Pole sana Nyani, je uuzima?
 
.......sin zimezidi Atlanta ndio maana mmepigwa na Tornado!!! kwikwikwikwikwikwi. Pole sana Nyani, je uuzima?

Loh! nimesalimika hapa mwenzio...kweli Mungu mkubwa...nilikuwa niende kuangalia game lakini nikaghairi...alhamdulilahi......

Hahahahaaaa...Pat Robertson atasema tumezidi madhambi ndio maana tumepigwa na tornado
 
Nyani,
poleni na storm hapo Atlanta. Tunaomba ipite mbali na afya na usalama wenu vibaki salama. Baada ya kusema hayo, kwa kweli leo nimemwangalia Sean Hannity nikatamani niingie kwenye tube ya TV nimchukue nimkunje halafu nimwangalie anavyolalamika wakati akipumua pumzi zake za mwisho. Kama kuna mtu atapata muda asome posting yangu ya mwisho..nilisema Pundits ndio wanao drive hii kitu. Ndiyo simtetei Obama kwa association yake na huyu preacher, lakini Hannity ameulizwa swali kwa wale mliangalia Hannity & Colmes akashindwa kujibu. Kuna mtu amemuuliza: Ina maana kila mtoto aliyepitia kwenye hilo kanisa la Rev. Wright ha qualify kuwa U.S. president..jamaa akawa puzzled, akaanza blah blah.
What I mean by this ni kwamba sasa hivi the right wing are playing us. In the end its us vs. them wakiweza kutu divide sasa hivi wataweza kutushinda kwa urahisi sana come November. I don't care if Barack or Hillary wins the nomination for the Dems lakini lets not give them a pass. They are not talking about McCain..Heck McCain's spiritual associates have made similar provocative remarks....why aren't they condeming that?
 
Nyie moderators, nafikiri huwa mkikaa bila kugombana na watu hamjisikii vizuri. Sasa hivi zimefika thread 200.. ndio mnagundua kwamba hii mada haifai kwenye jukwaa la siasa za Tanzania? Ingekuwa ni kipindi cha TV, hamjui kwamba hiki kipindi ni moto sana kukichezea? Ushauri ni kuwaomba mrudishe kule asap na mkiri politely kwamba mlikosea kuihamisha!
 
Mimi napinga hii mada kuhamishwa. Kwa nini mmeihamisha wakati ni ya siasa?

kwa sababu zipi hii mada imehamishwa???

Mods.....please explain!!

Exactly...hii mimodereta sijui ina akili gani tu...saa ingine inakera sana

hapo sasa, hii kitu ipo hapa toka late december of last year kama sikosei, all of a sudden yamekuwa haya!!! lakini thread hii imepigwa sana majungu, kuna baadhi ya watu walishapendekeza ifungwe........talking abt double stds!!! kaaaazi ipo.

Nyie moderators, nafikiri huwa mkikaa bila kugombana na watu hamjisikii vizuri. Sasa hivi zimefika thread 200.. ndio mnagundua kwamba hii mada haifai kwenye jukwaa la siasa za Tanzania? Ingekuwa ni kipindi cha TV, hamjui kwamba hiki kipindi ni moto sana kukichezea? Ushauri ni kuwaomba mrudishe kule asap na mkiri politely kwamba mlikosea kuihamisha!

Hii Thread haina hata chembe ya Jukwaa la siasa Tanzania, labda muombe lifunguliwe Jukwaa la siasa USA kama vile Jukwaa la siasa Kenya. Kweli ipo tangu Jan 04 lakini makosa yakifanyika huwa yanarekebishwa huwezi kusema kwa sababu makosa yalifanyika basi yaendelee kuwepo.
 
Eee bwana madamu mmeamua hivyo, ngoja tuendelee kumkoma nyani gladi hukuhuku japokuwa binafsi sijaridhika kabisa.

Ok, wakuu, naona Obama amesham-denounce yule pastor wake. At this level he is now, it seems like politics have become more important and saint to him than his religion. But is it too late? And will his pastor and church forgive him for betraying the church's stance about American foreign policy?

Read on..

[media]http://news.yahoo.com/s/ap/20080315/ap_on_el_pr/obama_pastor[/media]
 
I hope they move forward I hope they don't bring this to another candidate...I mean McCain. I hope they go about the real issues and not the surrogates and their relationships with candidates...hii siasa inazidi kuwa dirty by the minute.
 
Denounce and Reject he he new phrase in town sasa..Dah!! NN pole na Tornado.

Nimefungua jukwaa la siasa wacha nianze kuscroll juu na chini nikajua hatimaye wameifuta hii thread kama wengine walivyoomba, lakini bado tunawaona wanachangia once in a while...uku kwenye hoja nzito nako hamuitendei haki lakini popote ilipo tutaifata tuu.. Ole ukuona picha za wabongo wakimpokea Bush na mabango ya Obama 08?

Hivi Obama alishauriana na Pastor wake kabla ya kudenounce his comments-just curious-?
 
Ndio hapo sasa hata mimi najiuliza. Ni vigumu sana kumkana mchungaji wako wa miaka mingi aliyekufungisha ndoa na kukubatizia watoto. Inawezekana kabisa hadharani anamkana na kuyakataa maneno yake lakini kwenye faragha wako poa. Halafu hii ya yeye kudai eti hakujua...kachemsha. Watu hawatamwamini hata kidogo.

Nimesikia kuna kundi la black ministers watam-denounce Obama kwa kumdenounce pastor wake...
 
hao watakao fanya hivyo watakuwa wamemsaidia sana Obama ku-neutralize hii kitu.
Dr. Wright alimwambia Obama longtime ago kuji-distance naye, lakini loyalty yake ndio imemfikisha hapa(which is a good thing). ipo wazi kuwa bado na wataendelea kuwa poa, ila rhetoric yake ndio Obama amei-denounce na Pastor Wright is OK about that!!......hao black pastors ni Clintonites ambao sasa wamepata sababu na ninaamini hawana/hawapata blessings za Dr. Wright kufanya hivyo!!

hii ishu kwisha habari yake, labda kama watakuja na tapes mpya au ushahidi wa Obama kuwepo kanisani siku pastor akitoa zile pumba zake.

NN,
nilidhani umeshikwa na "mshipa wa rehali" a.k.a NGIRI......matokeo ya kibaridi cha twister ya jana. LOL
 
Hii ishu itaisha sasa hivi wakati wa primaries lakini itaibuliwa na makundi ya 587 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Najua unaombea iishe sasa hivi na hilo ombi lako linaweza kutimilizika. Ila kaa ukijua huu sio mwisho wake na hata Obama kakiri hilo..
 
Unajua ushabiki ni kitu kibaya sana kwa sababu unafunga kabisa mifumo yote ya fahamu. Sasa jana kuna watu walisema hii sio issue kabisa wakati siku nzima leo imem-keep busy Obama. Binafsi nimeridhika sana na jinsi alivyojieleza Obama hasa kwenye MSNBC; naona huku kwenye Fox News kajiuma sana hasa pale aliposema kwa shingo upande kwamba angejitoa.

Hili na ma-black preachers kum-denounce halitakuwa na faida hata chembe kwa Obama kwa sababu mbili. Ya kwanza ni kwamba wakimkana watakuwa wamefanikiwa kuonyesha kwamba Obama kama mwamini anajaribu kutumia njia zote kupata urais ikiwemo hata kuikana dini yake ikimaanisha pia kumkana Yesu aliyemwani. Tatizo moja kubwa la dini ni kwamba maneno ya kiongozi wa dini ndio yanakuwa ni msimamo wa dini hiyo, kwa hiyo Obama hawezi kumkana huyu mchungaji bila kulikana kanisa lake na hivyo kumkana Yesu! Hili angelifanya kabla ya jana na pengine kabla kampeni hazijaanza. Pili, itakuwa vigumu kwa Obama, as a regular church goer, kuaminika mbele ya wapiga kura kwamba ndio kwanza anasikia haya maneno. Sio rahisi na haiwezi ikawa kweli. Hii ingekuwa rahisi kukubalika kwa wapiga kura uncritical kama wa kwetu, lakini sidhani kama itaingia akilini mwa wapiga kura wa America.

My conclusion: hii saga itaimarisha hoja ya Hillary kwamba maneno na vitendo wakati mwingine ni vitu viwili tofauti na kwamba Obama anayeyaongea sio anayoyaamini na pengine siyo atakayoyatenda akiwa Rais. Hapa pia lazima tutegemee baadhi ya surrogates wa Obama kukwazwa na kukwazika.
 
Mimi sijaridhika na kitu kimoja nacho ni yeye kusema eti hakujua mchungaji wake ana hubiri chuki wakati amekuwa muumini wa kanisa hilo kwa miaka ishirini. Katika miaka yote hiyo Obama kachangia hela kwenye hilo kanisa na kafanya mambo mengine mengi tu. Kanisa hilo lina waumini karibu elfu nane. Usiniambie hao waumini huwa hawaongelei mchungaji wao leo kahubiri nini. Siamini hata kidogo eti hakujua. His credibility is on the line and he just gave the Republicans the stick to beat him with should he become the nominee.
 
Nyani.
before you make your comments, I want to ask you something. Have you been to South Side Chicago? Have you been to those slums? Do you know how under privileged these people are?
If you want to know that there is two America.. I am asking you whenever you have time in your hand to visit such a place. You will understand the nature of their frustrations..
 
Back
Top Bottom