US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nilikuwa nasimsikiliza Sean Hannity amesema Obama atafanya interview na Fox News leo ...
 
Hii ni Obama all the way, Mama itabidi arudi Washington aendeleze deals zake za Special Interest Groups.
 
So even if the Clintons try as hard as they can (and they will) to steal his election, their chances of doing so are getting increasingly remote.

Now I can see, you are really determined. It seems you are not prepared to concede defeat even if your man is justly knocked out, you will cry foul. I can see we are closely imitating the African style of politics-must win, if defeated, the election was rigged.

Again, when superdelegates lean toward Obama, it is fine, but when they show inclination towards Hillary, they're playing against people's will, we will not vote for Hillary in November. If you think the popular vote is very important and because Obama is leading in this case, why can't you start a petition to ask the DNC to change the rules so that a nominee can be declared on the basis of a popular vote instead of attaining the 2,025 delegates. It is interesting kwa kweli!
 
Nilikuwa nasimsikiliza Sean Hannity amesema Obama atafanya interview na Fox News leo ...

Atakuwa kwenye Hannity and Colmes au Bill O?

YourNameIsMine: si unaona mwenyewe...siko peke yangu tunaomfuatilia Hannity aka the Legend in the making
 
Ajasema ila sidhani kama haitakuwa katika hivyo vipindi viwili ulivovitaja . nahisi yule jamaa wa Fox sunday will conduct the interview....Nahisi hii ni make or break for Obama ! Lakini nampa credit kama amekubali kufanya hii interview na Fox kwani ameamua kwenda kwenye firing squad.
 
Ajasema ila sidhani kama haitakuwa katika hivyo vipindi viwili ulivovitaja . nahisi yule jamaa wa Fox sunday will conduct the interview....Nahisi hii ni make or break for Obama ! Lakini nampa credit kama amekubali kufanya hii interview na Fox kwani ameamua kwenda kwenye firing squad.

ah ah...aende kwa Hannity....yule jamaa wa jumapili hatambana kama Hannity au Bill O...

Halafu mmeona kuna clip moja ya yule mchungaji aliyemrithi...yaani anatumia lugha ya mtaani...alimwambia Hannity...'what up Hannity'....he's just a thug halafu Obama ansema ataendelea kwenda kusali hapo....hii kitu bado ndio inaanza
 
Nyani Hannity hayuko deep ...kama yule jamaa wa fox sunday
 
Ila Nyani kitu kinachoumiza ni kuwa uchumi wa nchi huko kwenye hali mbaya wao wanazungumzia Obama's pastor
 
Ila Nyani kitu kinachoumiza ni kuwa uchumi wa nchi huko kwenye hali mbaya wao wanazungumzia Obama's pastor

Well, yeye Obama alitakiwa awe ameshaiua hii ishu siku nyingi sana. Sasa kuficha vitu kama hivi matokeo yake ndiyo haya sasa. Mbona ishu ya matumizi ya madawa aliizima mapema kabla hata ya primary..?

Watu wana haki ya kujua uhusiano uliopo na huyu mchungaji kwani Obama akishinda kuna baadhi ya watu watakuwa na free and unfettered access to the White House. Sasa Obama anataka awe kiongozi wa serikali ambayo mchungaji wake anadai ilitengeneza ukimwi kuwaua watu weusi na pia ilisababisha 9/11....kaazi kweli kweli. Hii ni legitimate concern na si swala dogo kama ambavyo wengi wanapenda liwe.
 
Nyani nakubalina na wewe ila naona watu wa Conservative wanatumia hii nafasi kukimbia kuzungumza mambo mengine ...Mimi nina uhakika hiyo interview ya leo ita-determine future ya Obama na Campaign yake.
 
Hii issue haiendi popote,na hakuna disaster wala nini,watakao mpigia kura obama watampigia na wa mccain na clinton ni hivyo hivyo tuu,ila ujinga wa mtu mwingine ndio obama awe responsible will never happen labda angekuwa kwenye campaign yake,wote tuna pastors wanaongea vitu crazy huwezi amini lakini ndio uache kwenda church? republican will never win WH na hii Economy labda kama americans wamechanganyikiwa na weusi wamegoma kuvote..na clinton will never win WH kama akiendelea na backdoor deals zake za kulazimisha mambo na kutumia issue kama hizi za church(glad bado yupo kimya na hii),weusi they have nothing to loose watakao loose ni Democrats ambao ni hao hao wazungu na kuendelea kusuffer na Republican policy,crazy pastors wa Republican kuanzia Hagee,Pasley ni washenzi kuliko huyo Wright na wako mbele kurise millions za Republicans na hakuna kitu...Bush 2000 alienda liberty University chuo kinachojulikna kwa ubaguzi lakini what happened? makelele tuu na hakuna kilichotokea na alishinda uchaguzi,Obama afanye alichofanya lakini isimwumize sana kichwa maana watakao mpa watampa na wala hawatamnyima kwa issue ya kijinga kama hii ambayo sio yeye aliyesema na wala haamini huo upuuzi.
 
Atakuwa kwenye Hannity and Colmes au Bill O?

YourNameIsMine: si unaona mwenyewe...siko peke yangu tunaomfuatilia Hannity aka the Legend in the making


hivi nani ni legend in the making?? we nae, saa nyingine mambo yako valuvalu sana........angalia huyo shoga yako sean atakapogeuka kagunga(kupata gugumizi) ktk hiyo interview na kujishau kwake kote kutaisha. atapewa ile, "dont spill my drink boy......"
 
NN,
umeangalia Nightly News? kuna report moja Ian Williams amefile toka Jarkata, very powerful and positive kwa Obama!! unaweza kutafuta clips kwenye MSNBC......

hannity au bill o wote wachovu, labda wampeleke kwa wale 'beltway boyz,' kidogo wana-make sense na wanaweza kumtia Obama matatani.
 
Unajua kila siku Obama ana-question judgement ya Mama ku-vote ndi kwenye vita vya Iraq. Sasa yeye judgement yake ikowapi kujihusisha na mtu anayehubiri chuki?
 
Unajua kila siku Obama ana-question judgement ya Mama ku-vote ndi kwenye vita vya Iraq. Sasa yeye judgement yake ikowapi kujihusisha na mtu anayehubiri chuki?

Obama alikuwa kwa Olberman few minutes ago, kajibu huo upupu wote na kama nlivyokwambia by monday hii itakuwa si story tena!!.
 
Obama alikuwa kwa Olberman few minutes ago, kajibu huo upupu wote na kama nlivyokwambia by monday hii itakuwa si story tena!!.

You wish it will be cow-itch by Monday but you've got to admit it's not a good look for him.

Halafu wewe na huyo Olberman wako...aaaggghhhh...I can't stand him.
 
Mimi napinga hii mada kuhamishwa. Kwa nini mmeihamisha wakati ni ya siasa?
 
Back
Top Bottom