US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nyani Ngabu said:
Mimi napinga hii mada kuhamishwa. Kwa nini mmeihamisha wakati ni ya siasa?
Jukwaa la Siasa Tanzania.
 
hiyo battle ya kuhamishwa kwa hii mada haina mpango, hata ikipelekwa kwenye udaku ni sawa tu kwani bottomline sie tupo hapa tuna badilishana mawazo bila bughuza kwa mtu yeyote.

nimeamua kuangalia H & C,kuona ni chepi kipya huyo "legendary journalist the greatest Sean Hannity" ana nini kipya, zaidi ya same ol' biased rhetoric!!.
 
Jukwaa la Siasa Tanzania.

what's the difference!?? siasa ni siasa no matter ni za wapi!!.....basi kama ni hivyo ipelekeni kwenye kutoka ughaibuni badala ya hoja nzito, kwani ningetegemea hoja nzito nazo ziwe ni za Tanzania tu!.
 
hiyo battle ya kuhamishwa kwa hii mada haina mpango, hata ikipelekwa kwenye udaku ni sawa tu kwani bottomline sie tupo hapa tuna badilishana mawazo bila bughuza kwa mtu yeyote.

nimeamua kuangalia H & C,kuona ni chepi kipya huyo "legendary journalist the greatest Sean Hannity" ana nini kipya, zaidi ya same ol' biased rhetoric!!.

Hannity anashusha vitu si mchezo. Kaka karibu na wewe utakuwa hannitized...lol. But seriously, this is not a good look for Obama especially when he has been questioning Mama's judgement.
 
YournameisMINE,

Nakubalina na wewe Hannity hana kitu , yuko too shallow amekuwa kama kasuku anarudia maswali yale yale tu..
 
.....yah, he will have a huge dent but hii kitu itapita!!
ebu angalia huyo Major Garret anavyouliza maswali kitoto, man, hii kweli ni "fix newz."
 
YournameisMINE,

Nakubalina na wewe Hannity hana kitu , yuko too shallow amekuwa kama kasuku anarudia maswali yale yale tu..

yeah, you got it right! I wouldn't do a better job of characterizing him than that...mkuu,thank you so much for that good look!!.
 
Bwahahahahahahaaaaa....Obama aka Osama ana mengi ya kujibu. He doesn't sound believable at all. Eti hakujua...hakujua my ass!!! What a lame excuse. He better fess up to it and face the consequences...
 
Sasa mbona Obama hajakubali kuhojiwa naye kama yuko mtupu...?

hivi wewe unaweza ku-reason kitu chochote na sean?? Major Garret(ex-CNN), Sheperd Smith na Bill Hammer(ex-CNN) ndio kwa mawazo yangu maripota makini pekee wa Fix News.......yes, I said so na hii sio off the record!!.
 
Obama kadanganya wazi wazi
Atasemaje hakujua mchungaji wake aliyokuwa akiyahubiri huku siku ya kutangaza kwake kugombea akamwamwomba sionekane naye jukwaani kwa sababu huwa anasema mambo ya uchochezi? Huu ni uwongo na atalipa kwa uongo wake
 
..........amen!!
 
Jukwaa la Siasa Tanzania.

Tatizo sio hilo bali unaonekana wazi uko bored na huna la kufanya

Hii thread ilikuwa kwenye siasa for how long? Why now?

au basi saa zingine huwa unatafuta ubaya na watu tu
 
Bwahahahahahahaaaaa....Obama aka Osama ana mengi ya kujibu. He doesn't sound believable at all. Eti hakujua...hakujua my ass!!! What a lame excuse. He better fess up to it and face the consequences...

race+card.bmp
 
Obama kadanganya wazi wazi
Atasemaje hakujua mchungaji wake aliyokuwa akiyahubiri huku siku ya kutangaza kwake kugombea akamwamwomba sionekane naye jukwaani kwa sababu huwa anasema mambo ya uchochezi? Huu ni uwongo na atalipa kwa uongo wake

Obamanotthisshit.jpg
 
Credibility credibility credibility....hana credibility kabisa!! Huwezi ukawa muumini kwa miaka yote hiyo bila kujua misimamo ya mchungaji wako!! Kajitia kitanzi mwenyewe.

mie naona kachomoka, ka-denounce and reject, sasa tatizo ni nini tena?? ukiangalia interviews na Anderson Cooper au ile ya Keith Olberman unapata wigo mkubwa wa kuelewa kwamba jamaa yupo credible na ni haki yake kupewa the benefit of the doubt. Since when watu wanakuwa guilty by association!!??. c'mon man, saa nyingine jaribu kuwa open minded bwana.....usiwe na mawazo ya ki-military namna hiyo, unakwenda beyond GOTCHA!!.
 
kwa sababu zipi hii mada imehamishwa???

Mods.....please explain!!
 
Tatizo sio hilo bali unaonekana wazi uko bored na huna la kufanya

Hii thread ilikuwa kwenye siasa for how long? Why now?

au basi saa zingine huwa unatafuta ubaya na watu tu

hapo sasa, hii kitu ipo hapa toka late december of last year kama sikosei, all of a sudden yamekuwa haya!!! lakini thread hii imepigwa sana majungu, kuna baadhi ya watu walishapendekeza ifungwe........talking abt double stds!!! kaaaazi ipo.
 
Back
Top Bottom