Nyani Ngabu,Susuviri,YNIM,Koba,Game Theory,
..Hiyo ya Chris Olberman ni 10 minutes of a negative campaign ad against Hillary. Ndiyo maana watu wanasema media inamuonea Hillary.
..For the sake of fairness, mbona huyu Olberman hakumuandama Obama kuhusu endorsement ya Farrakhan? Je, Barack alikataa endorsement ya Farakhan mara moja? Hii issue ilizimwa ikawa brought up during the debate in Texas.
..Huyo Olberman alikuwa wapi asimshutumu Chris Mathews aliyesema Hillary amefika hapo alipo kwasababu "her husband messed-up?" Kwanini asiishutumu MSNBS kwa kuwa na anchor ambaye ni sexist? Why didnt he call out for Chris Mathews resignation?
..Kuendelea kumuandama Mzee Clinton kuhusu comments he made in South Carolina ni makosa. Kwanza, comment zenyewe zimekuwa distorted. Pili, tukio hilo lilifafanuliwa na Black American Congressman aliyekuwepo--they were not racist remarks. Tatu, Hillary aliomba radhi kwa comments hizo ktk mkutano wa Black American uliokuwa-moderated na Tarvis Smiley.
..Mzee Clinton anajulikana na jinsi gani alikuwa msaada kwa Black Americans. Sasa leo hii ametokea Obama ndiyo tuanze kumrushia matope kwamba ni racist? Hivi hii inaleta picha gani lakini?
..Hili suala la race sasa limevamiwa na watu weupe[Olberman,Chris Mathews,Dick Morris..] ktk kuumizana wao kwa wao. Ninaona juhudi za makusudi kabisa za media kujaribu kuwa-paint Hillary na Bill kama ma-racist.
..Nafikiri suluhisho la kauli kama za Ms.Ferraro ni kutozipa nafasi ktk vyombo vya habari.
..Ndugu yetu Obama naye anakosea kujitumbukiza mzima-mzima ktk suala hili. Sioni sababu ya Obama ku-comment kuhusu kauli za wapambe wa Hillary.
..Olberman angetumia muda wake vizuri kuzungumzia health care, education programs,immigration...mambo yanayowatatiza Wamarekani ktk maisha yao ya kila siku.
NB:
..Kampeni zilipoanza iliazimiwa kwamba RACE na GENDER should not be an issue. Lakini sasa naona zimekuwa issues kwa msaada wa wana habari kama Olberman.
..Mimi naamini Obama ana uwezo wa kushinda kampeni hii kwa message yake ya HOPE and CHANGE. Hawa kina Olberman na Chris Mathews wanajipendekeza tu ili waonekane wao nao walishiriki kumuangusha Hillary, na siyo hoja na kipaji alichonacho Barack Obama.