Susuviri you got it right,maracist wote after civil right bill ya 1964 yalihamia Republican na hatuyahitaji maana Democrats wameshinda bila wao miaka yote hiyo...kumbuka hata ronald Reagan alikuwa democrats!
Nyinyi hoja hamna. Ni rahisi sana unapoishiwa hoja kurusha shutuma za ubaguzi. Haya basi Maripablikani ni mabaguzi na mashetani ambayo miaka nenda rudi yame-dominate uraisi!!!!
Nyinyi hoja hamna. Ni rahisi sana unapoishiwa hoja kurusha shutuma za ubaguzi. Haya basi Maripablikani ni mabaguzi na mashetani ambayo miaka nenda rudi yame-dominate uraisi!!!!
nyani ngabu whats wrong with affirmative action? najua kwa akili yako uko against it!
Ooh wait nimesahau...Democrats kuna mibaguzi kibao kama Bill Clinton, Hillary, Geraldine Ferraro...and the list goes on.....lol
Yes I am against it, now what do you have to say?
mbona unaandika kwa jazba namna hiyo, kwani imekuwa ugomvi??.......
reagan alikuwa democrat, ukiachilia u-actor pia alikuwa msemaji wa General Electric, Dems walimkataa kwasababu alikuwa ni kilaza!!! najua utasema, oooooh mbona aliwin ugavana na uraisi....hiyo ni ballgame nyingine kabisa. lakini wakti wa primaries ya 75-76, alicheza u-spoiler kama huu wa HRC na kusababisha Gerard Ford ku-bleed ile mbaya...kiasi kwamba, came November '76 Ford akagalagazwa na Carter na yeye(reagan) akawa kapata opportunity ya kurudi tena in '80!!
strategies za KIFISADI hazijaanza leo, huyu HRC inaonekana ndio kama lengo lake hilo.....kama sio yeye, basi Obama lazima ashindwe ili apate kulejea tena in 2012.
Oyaa vipi wewe? Hakuna jazba hapa...
Nadhani mpaka leo Dems wanajuta kwa nini walimtosa...kwikwikwiiii... maana vipigo alivyowapa ni vipigo vya kihistoria.
The Greatest Communicator...RIP man
Mjadala umekuwa mzuri sana, naona Ferraro anajitoa.
Dear Hillary -
I am stepping down from your finance committee so I can speak for myself and you can continue to speak for yourself about what is at stake in this campaign.
The Obama campaign is attacking me to hurt you.
I won't let that happen.
Thank you for everything you have done and continue to do to make this a better world for my children and grandchildren.
You have my deep admiration and respect.
Gerry
.......tatizo kubwa la democratic party ndio hilo, ujuaji mwingi, kulindana na u-elitism kwa saaana kiasi kwamba wanaharibu mambo mengi sana. mfano kulikuwa hamna haja ya ku-complicate primaries za FL na MI, ukizingatia kwamba ni state government na sio state party waloamua hivyo. pili, kwenye hizi primaries, kwanini wasingefanya mchakato ukawa simpo tu kama GOP(winner take all, as compared na kautaratibu ka DNC), ingekuwa winner take all, leo hii tusingekuwa hapa!! haya ma-super delegates wa nini, wakati kuna pledged delegates tokana na kura za wananchi?? kama sio u-elitism huo ni nini??.....binafsi kwanza nilikuwa nimesha achana nao na kuwa independent, lakini BO akanirudisha kundini......lakini kwa jinsi mambo yalivyo watanipoteza siku si nyingi!. Wasipo solve hii kitu fairly mie na vote Ralph Nader in November, kama protest!!.
............ooooh, baloney!! so she is a victim now uunh?? absurd, mie nakwambia hawa watu wana matatizo sana yaani. kimtu chenyewe kipo kwenye palliative care(hospice flani hivi), badala ya kujifia nyumbani kimya kimya bado kimo tu, sasa kimeumbuka, true colors zipo hadharani....ni kibaguzi hiki kimama!!.
............ooooh, baloney!! so she is a victim now uunh?? absurd, mie nakwambia hawa watu wana matatizo sana yaani. kimtu chenyewe kipo kwenye palliative care(hospice flani hivi), badala ya kujifia nyumbani kimya kimya bado kimo tu, sasa kimeumbuka, true colors zipo hadharani....ni kibaguzi hiki kimama!!.
Kitakuwa kibaguzi wakati nimeambiwa Democrats hakuna wabaguzi..?
wazungu wooote wabaguzi tu 'kudadeki' zao.....nimeona zaidi ya mara moja mademu wa kizungu wives za jamaaz wa kibongo lakini wabaguzi!! ukijiweka chini yao, wata pretend kama vile hawana noma, lakini ukijitutumua tu kutaka kufikia malengo yako, lazima wakugeuke na hapo ndio utajua ubaguzi unafananaje!!
Icadon,
Jeuri ya kitaliano, 'yaani aombe radhi' kwa nigga!!? hakijaomba msamaha wala nini........lakini ni kamtu ka kukaombea dua'a, maana kapo terminally ill.