Umejitahidi kuhusu mkuu, lakini kuna kitu wanasahahu, Sera ya ubepari inachofanya kwa sasa ni kujitengenezea hegemony kidunia kwa kutumiaUgaidi kama nyenzo ya kufanikisha azma yao ya kujipatia utajiri kwa kiwango kikubwa na kuzorotesha mataifa ya kwa arabu kwa msingi ya utofauti wa madhehebu.
Marekeani amefanikiwa hilo. Kwa kiasi kikubwa. Lakini anakutana na kizingiti Syria na Iran ambao walikataa ombi la Saudia alipowataka waache kumsapoti Iran.
Syria iliingia makubaliano na Russia mwaka Mara baada ya Uhuru na sehemu ya makubaliano yao yanasema hivi
" Syria inakubali kuwa mshirika mkuu wa Urusi kwa hali yoyote ile iwavyo, Urusi itatoa ushirikiano Mkubwa kwa Usalama wa mambo ya Syria kwa hali na Mali, ikiwamo kudhibiti hali ya mambo yanpoharibika. Makubaliano hayo yalipitishwa mwaka
http://www.academia.edu/3492823/His...ent_State_of_the_Russian-Syrian_Relations1946,
Historical Background and the Present State of the Russian-Syrian Relations
baada ya Uhuru wa Syria.
Kwa hivyo kinachofanywa na Marekani Syria ni uchokonozi wa makusudi kwa Urusi aliyemua kunyamaza kimya kwa muda mrefu baada ya kisha kwa Cold war, lakini Urusi chini ya Putin iliyokwiva na kujipanga kwa miongo kadhaa haiwezi kunyamaza ukorofi ule unaofanywa na us kupitia makundi ya Free Syrian Army na Is
Ndio maana Putin alituma kikosi hatari zaidi Ulimwenguni kijulikanacho kama *Spertsnaz* the most feared task force in the World, inaaminika askari hao wanao uwezo wa kuvumilia maumivu kwa muda mrefu sana. Kazi yao kubwa ni kuua nafikiri mnakumbuka hotuba ya Putin aliyoitoa alipowatuma hawa askari kule Syria.
Kikubwa hapa, mataifa ya Arabu tayari yameanza kuelewa rafiki mwema ni yupi kati ya Urusi na America, na ndio maana hata Turkey waliomba radhi kwa Urusi dhidi ya shambulizi la ndege iliyokuwa na marubani wawili wa Kirusi mwisho ni mwaka mwaka Jana.
Hata ukiisoma hotuba ya Assad, aliyoitoa wiki hii, amenena uzuri sana kuhusu kinachofanyika Syria na ushindi utakavyokuwa upande wao. Anasema Urusi ni rafiki mwema, asiyehitaji kutoa msaada kwa masharti. Dunia inapigana na propaganda ya ugaidi uliohalalishwa na kutengrnezwa na Us kwa maslahi yake binafsi.
.......nitarejea......kumbukeni kufuatilia hayabmambo kupitia RT