Ndio maana nimezungumzia S-400. Wewe unayozungumzia ni S-300 na unazotazama kama zipo the same.
Ndio system ambayo hakuna technology iliyopo inayoweza kuihack frequency. Check statistics sio maneno yangu. Pia bado S-500 inazalishwa viwandani. S-400 bado hakuna technology ya kuiangusha hivyo itahitaji sacrifice tu. Hata F-18 haiiwezi check details kwenye internet.
S-300 zinaangushika. Hata Israeli anaiweza kuhimili S-300 ni technology ya zamani na mpaka 1997 ilikuwa ndio inaongoza duniani katika chat. Ndio akaja kutoa S-400 na S-500 inatengenezwa hivi sasa.
Na fahamu S-400 ndio ilipelekwa wiki iliyopita. Iliyokwepo ni S-300. Usizichaganye, sio sawa katika capability.
Hakuna S-400 iliyowahi kuangusha mpaka sasa. Hazikuwa zinatoka nje ya Russia hivyo baada ya kuuza kwenda China ndipo zikaanza kutoka na hapo akaamua kuunda S-500 kwa ajili yake binafsi.
Na S-400 ndio inashika Chat hivi sasa. Na ndio maana Russia anaingiza pesa ndefu kwa sababu inanunuliwa sana. Jana India imeagiza kununua S-400.
Usiangalie ushabiki. Utajikuta unabishia data zilizopo. Check kwanza records zinasemaje kisha jadili.