Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Putin kwa kufanya muungano na nchi za Kiislamu, na New World Order mawakala wao wakaanza kupata wazimu na huzuni. Kwa kweli, tawala za Kizayuni ndio cos za vita vyote ktk mashariki ya kati na ni mabigwa wa kubwa wa fitna, kama vile Politico zilitangaza Mei mwisho kwamba nchi za Mashariki ya kati pamoja na viongozi wao kuwa sasa wanaongea na Putin na sio Obama or American kama walivyokuwa waki talajia Hivyo na siyo kabisa ishara nzuri kwa NWO (New world order) na mawakala zao wakati wote. Waka anza kushambulia kwa kuzalisha uongo na uzushi. Kwa kweli, uongo na uzushi ni ndio njia mbili na silaha yao kubwa, na vyombo vyote vya habari wao ndoo wana vidhibiti zaidi na vyombo vya habari katika Amerika na ni mali zao wao kwa ufanisi zaid wana uwezo wa kugeuka watu katika ajabu . NWO na mawakala wao wanataka kujenga mgawanyiko-na- kushinda mkakati ili waweze kuharibu mshikamano miongoni mwa nchi zenye heshima ambazo wanatafuta jinsi ya kuzi haribu kwa kuwa haziendani na mpango wao wa New World Order ya diabolical. roho zao zinawauma sana. kwa nini Russian iko karibu na mataifa ya Waislamu? kama maadui wao. Kwa kifupi, mawakala NWO wanataka vita ya milele. Sisi tuko k kinyume, Sisi ni tunatafuta amani ktk hii dunia na kwamba hatuitaji vita na taifa lolote lile na sio waoga Russian tuko tayari kwa lolote walitakalo Russian it's not for sale kama libya yogoslavia,Iraq and also Syria not for sale anymore Barua ya wazi kwa (Barack Obama)
 
Mkuu "Bukyanagand" huwa anauliza kuwa ' kwani Vietnam ilikuwa na hela gani hadi ikasimama dhidi ya USA???' Na kama USA ana pesa au ana nguvu , basi asimame peke yake, aizishawishi nchi zilizopo karibu na Russia kujiunga na NATO!!! Hata vitani aende peke yake...tuone kama hayo asemayo ni kweli au la. Vinginevyo ni propaganda.
Mkuu siri ya vita ya Vietnam kushinda ni mkono wa mchina kuwepo. Alipeleka majeshi kusaidia Vietnam. Na Russia anamwitaji mchina sana lakini nchi za magharibi wamekuwa wajanja wamempa mchina biashara amekuwa tajiri hataki kusikia upuuzi wa vita ili aendelee kufaidi utajiri wa dunia
 
urusi wana vifaru 27,000.je! Nato nzima ina vifaru vingapi.alafu kuna wapuuzi wanafananish russia na iraq wakati saddam hadi anakufa ajawai kutengenez sirah yoyote zaidi ya kununua kwa warusi
 
Kaka ungeomba safari ya kwenda Allepo, Syria ukajiuone mwenyewe. Unajua haya mambo ya kuambiwa ambiwa siyo mazuri....

Kazoea kuona filamu za rambo kwenye screen ndiyo zimemfanya apende mambo hayo ila vita ikija hata hiyo time ya kuandika hatakuwa nayo zaidi ya kufikiria usalama tu wa maisha yake usimlaumu sana si unajua kitu kama hakijakutokea na unasikia kwa jirani tu
 
Gaddafi hakuwekeza sana kwenye jeshi, angewekeza kwenye jeshi kama China, India, Pakistan, wasingemgusa
Unakosea sana Kufanya uchambuzi kuhusu Gaddafi,
Kosa kubwa la Gadafi hakufanya alliance na moja ya mataifa haya; Russia na China.
 
Techinolojia ipi hawana? au porojo za vijiwe vcya kahawa ndo unaleta hapa?

Kwa taarifa yako kwenye maswala ya kijeshi Urusi yuko mbali sana ya USA.
1. Top ten ya Helcopta za kivita utakutana na za Urusi kama 4
2. Vifaru yeye ndo anaongoza,
3. Mifumo ya kujilinda S-300 NA S-4000 na S-500
4. Ndege wanatoana Droo
5. Bomber Russia yuko vizuri sana
6. Nyambizi Russia yuko vizuri sana,

Sehemu pekee ambayo USA ana mpita Urusi ni kwenye Meli za kivita basi hakuna sehemu nyinginea ambayo amemzidi Russia
Ndege kamzidi Russia, drones, meli, bomber(stealth), hzo air defences tumeona zikiharibiwa kwenye kila vital na ht 2007 Israel aliingia Syria km kwake akalipua nuclear reactor bila ht hzo rada za kirusi kumwona tena akitumia F16 na F15 ambaz sio stealth
 
urusi wana vifaru 27,000.je! Nato nzima ina vifaru vingapi.alafu kuna wapuuzi wanafananish russia na iraq wakati saddam hadi anakufa ajawai kutengenez sirah yoyote zaidi ya kununua kwa warusi
Russia ana vifaru 15000+,China 9000+ na USA 8500+ Na si kweli kwamba Nato yote ikiungana haifikii idadi ya vifaru vya Russia+China
 
Putin kwa kufanya muungano na nchi za Kiislamu, na New World Order mawakala wao wakaanza kupata wazimu na huzuni. Kwa kweli, tawala za Kizayuni ndio cos za vita vyote ktk mashariki ya kati na ni mabigwa wa kubwa wa fitna, kama vile Politico zilitangaza Mei mwisho kwamba nchi za Mashariki ya kati pamoja na viongozi wao kuwa sasa wanaongea na Putin na sio Obama or American kama walivyokuwa waki talajia Hivyo na siyo kabisa ishara nzuri kwa NWO (New world order) na mawakala zao wakati wote. Waka anza kushambulia kwa kuzalisha uongo na uzushi. Kwa kweli, uongo na uzushi ni ndio njia mbili na silaha yao kubwa, na vyombo vyote vya habari wao ndoo wana vidhibiti zaidi na vyombo vya habari katika Amerika na ni mali zao wao kwa ufanisi zaid wana uwezo wa kugeuka watu katika ajabu . NWO na mawakala wao wanataka kujenga mgawanyiko-na- kushinda mkakati ili waweze kuharibu mshikamano miongoni mwa nchi zenye heshima ambazo wanatafuta jinsi ya kuzi haribu kwa kuwa haziendani na mpango wao wa New World Order ya diabolical. roho zao zinawauma sana. kwa nini Russian iko karibu na mataifa ya Waislamu? kama maadui wao. Kwa kifupi, mawakala NWO wanataka vita ya milele. Sisi tuko k kinyume, Sisi ni tunatafuta amani ktk hii dunia na kwamba hatuitaji vita na taifa lolote lile na sio waoga Russian tuko tayari kwa lolote walitakalo Russian it's not for sale kama libya yogoslavia,Iraq and also Syria not for sale anymore Barua ya wazi kwa (Barack Obama)
Umejitahidi kuhusu mkuu, lakini kuna kitu wanasahahu, Sera ya ubepari inachofanya kwa sasa ni kujitengenezea hegemony kidunia kwa kutumiaUgaidi kama nyenzo ya kufanikisha azma yao ya kujipatia utajiri kwa kiwango kikubwa na kuzorotesha mataifa ya kwa arabu kwa msingi ya utofauti wa madhehebu.
Marekeani amefanikiwa hilo. Kwa kiasi kikubwa. Lakini anakutana na kizingiti Syria na Iran ambao walikataa ombi la Saudia alipowataka waache kumsapoti Iran.
Syria iliingia makubaliano na Russia mwaka Mara baada ya Uhuru na sehemu ya makubaliano yao yanasema hivi
" Syria inakubali kuwa mshirika mkuu wa Urusi kwa hali yoyote ile iwavyo, Urusi itatoa ushirikiano Mkubwa kwa Usalama wa mambo ya Syria kwa hali na Mali, ikiwamo kudhibiti hali ya mambo yanpoharibika. Makubaliano hayo yalipitishwa mwaka http://www.academia.edu/3492823/His...ent_State_of_the_Russian-Syrian_Relations1946, Historical Background and the Present State of the Russian-Syrian Relations
baada ya Uhuru wa Syria.
Kwa hivyo kinachofanywa na Marekani Syria ni uchokonozi wa makusudi kwa Urusi aliyemua kunyamaza kimya kwa muda mrefu baada ya kisha kwa Cold war, lakini Urusi chini ya Putin iliyokwiva na kujipanga kwa miongo kadhaa haiwezi kunyamaza ukorofi ule unaofanywa na us kupitia makundi ya Free Syrian Army na Is
Ndio maana Putin alituma kikosi hatari zaidi Ulimwenguni kijulikanacho kama *Spertsnaz* the most feared task force in the World, inaaminika askari hao wanao uwezo wa kuvumilia maumivu kwa muda mrefu sana. Kazi yao kubwa ni kuua nafikiri mnakumbuka hotuba ya Putin aliyoitoa alipowatuma hawa askari kule Syria.
Kikubwa hapa, mataifa ya Arabu tayari yameanza kuelewa rafiki mwema ni yupi kati ya Urusi na America, na ndio maana hata Turkey waliomba radhi kwa Urusi dhidi ya shambulizi la ndege iliyokuwa na marubani wawili wa Kirusi mwisho ni mwaka mwaka Jana.
Hata ukiisoma hotuba ya Assad, aliyoitoa wiki hii, amenena uzuri sana kuhusu kinachofanyika Syria na ushindi utakavyokuwa upande wao. Anasema Urusi ni rafiki mwema, asiyehitaji kutoa msaada kwa masharti. Dunia inapigana na propaganda ya ugaidi uliohalalishwa na kutengrnezwa na Us kwa maslahi yake binafsi.
.......nitarejea......kumbukeni kufuatilia hayabmambo kupitia RT
 
Ndege kamzidi Russia, drones, meli, bomber(stealth), hzo air defences tumeona zikiharibiwa kwenye kila vital na ht 2007 Israel aliingia Syria km kwake akalipua nuclear reactor bila ht hzo rada za kirusi kumwona tena akitumia F16 na F15 ambaz sio stealth
Unasahau URUSI haikuwa direct involved....waambie Israel waende Leo....
Hivi hujasikia waasi wanavyofekwa huko Alepo,?
Hujaona mafanikio ya vikosi vya Asad huko Syria? America mwenyewe ameanza kuingiwa woga
 
The Syrian army and the National Defense Forces (NDF) re-launched attempts to seize the Al-Sha’er Gas Fields from ISIS in Homs province. The government forces stormed ISIS positions southwest of the gas fields and reached its gates. Clashes are ongoing in the area.

The pro-government forces have achieved another notable success in northern Aleppo. The army and Liwa al-Quds took control of Talat Bureij, Majbal Al-Zatin, Tal Owayjah, and Tal Al-Asfar. Controlling of these hilltops allows, the government forces are able to easily defend the previous gains in northern Aleppo, overlook areas in the northern part of Haydariyah Neighborhood and prepare a push to set control of the Ba’edin Roundabout. In southern Aleppo, the army and Hezbollah captured the strategic Sheikh Sa’eed hill in the Sheikh Sa’eed Neighborhood.

In Western Ghouta, the army and the NDF seized the Air Battalion Base, located southeast of Der Khabiyah. Now, the government troops are deployed at the western and southern flanks of Deir Khabiyeh controlled by Jabhat Fateh Al-Sham (formerly Al-Nusra Front) and Ahrar Al-Sham.

Yesterday, the army’s Tiger Forces and the NDF took control and defended from terrorist counter-attacks the town of Ma’an in northern Hama. Today, the Tiger Forces and the NDF are advancing west of the nearby village of Kubbariyah in an attempt to reach Suran, located at the highway between Hama and Aleppo. If Suran is re-taken, the militant controlled town of Ma’rades will become next target of the advance.

Next Saturday in Switzerland, Rusisa, the United States and local powers are set to discuss the military and political situation in Syria in order to find the so-called “peaceful solution” of the conflict. Most likely, the Russian-Syrian-Iranian alliance will not be ready to make some concessions to the “American partners”.
Missile ya Us iko hoi huko Syria, Syrian Army inakaribia kuikomboa kama sio ukombozi Kamili mpaka sasa.
Is, wako hoi. Allies wake wanakimbilia negotiations baada kuna wanashindwa.
 
Back
Top Bottom