Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

if you need peace prepare for war....hawa jamaa hawawezi kuzitwanga asilani abadan, wanajua madhara ya vita,wanajua at the end of the war kila mmoja atakuwa ame bleed vya kutosha ata km mmoja atashinda.
 
Kweli kabisa
 
1476460662233.png
 
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.
Techinolojia ipi hawana? au porojo za vijiwe vcya kahawa ndo unaleta hapa?

Kwa taarifa yako kwenye maswala ya kijeshi Urusi yuko mbali sana ya USA.
1. Top ten ya Helcopta za kivita utakutana na za Urusi kama 4
2. Vifaru yeye ndo anaongoza,
3. Mifumo ya kujilinda S-300 NA S-4000 na S-500
4. Ndege wanatoana Droo
5. Bomber Russia yuko vizuri sana
6. Nyambizi Russia yuko vizuri sana,

Sehemu pekee ambayo USA ana mpita Urusi ni kwenye Meli za kivita basi hakuna sehemu nyinginea ambayo amemzidi Russia
 
Hata ndege wako juu, Sukhoi T-50 (PAK FA) 5th Generation Multi-Role Stealth Aircraft (2017)
Ni nyoookoo hiyoo
 
Yote haya wamechoka amani wanataka kubalance dunia kwa idadi kubwa ya watu
 
HAIWEZI KUWA VITA YA DUNIA Labda east na west tuuu. africa tutakuwa shwali america ya kusini pia. VITA PESA BABA URUSI HANA PESA
 
Techinolojia ipi hawana? au porojo za vijiwe vcya kahawa ndo unaleta hapa?

Kwa taarifa yako kwenye maswala ya kijeshi Urusi yuko mbali sana ya USA.
1. Top ten ya Helcopta za kivita utakutana na za Urusi kama 4
2. Vifaru yeye ndo anaongoza,
3. Mifumo ya kujilinda S-300 NA S-4000 na S-500
4. Ndege wanatoana Droo
5. Bomber Russia yuko vizuri sana
6. Nyambizi Russia yuko vizuri sana,

Sehemu pekee ambayo USA ana mpita Urusi ni kwenye Meli za kivita basi hakuna sehemu nyinginea ambayo amemzidi Russia
Ukisema uchumi waarabu wangeongoza, hizo pesa zao wanaweza kununua hata hizo nuclear za marekani
 
HAIWEZI KUWA VITA YA DUNIA Labda east na west tuuu. africa tutakuwa shwali america ya kusini pia. VITA PESA BABA URUSI HANA PESA
Wenye pesa tunawajua ambao hawana madeni kwenye benki Ya dunia Saudia, Qatar, Kuwait hao ndo wenye hela hata marekani anajipendekeza kwa mataifa haya
 
Huko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.

Sidhani kama kutakuwa na vita hiyo. Atakayeanzisha atakuwa amekurupuka sana kwani hata akishinda hata yeye atakuwa amepoteza watu na mali, na hawezi kuwa na imani kwamba atashinda.

Tukumbuke Urusi, Marekani na mataifa mengine mengi yanamiliki silaha za kinyuklia. Hakuna anayeweza kudiriki kuanzisha vita maana anajua akianzisha dunia inakuwa uwanja wa fujo na umwagaji damu na lazima watu wake na wenyewe waathirike.

Vita ya kwanza ya dunia na ya pili ilikuwa vita ya bunduki za kawaida. Hakukuwa na silaha za kinyuklia. Ilipofika karibia mwishoni mwa vita ya pili Mmarekani akajihakikishia mabomu ya kiatomiki (atomic bombs) ambayo ndiyo yaliyotumia kushambulia Nagasaki na Hiroshima huko Japan. Miaka kama mitano baadaye na Mrusi akajipatia silaha ya kinyuklia. Hiyo ndo ikasababisha waogopane na kusiwe na wa kuanzisha vita. Vita ilikuwa baridi (Cold war) wakawa wanarushiana maneno ya sumu tu bila hata mmoja wao kuwa na uthubutu wa kuanzisha vita ya bunduki, makombora, mabomu....mpaka mwaka 1991 URSS ilipokuja kusambaratika.

Leo mabomu yaliyotumika ya kiatomiki yameshapitwa na wakati yapo mabomu ya kinitriki (nitric bombs) na mengine ambayo ni makali kuliko yale ya kiatomiki. Ukiwa hapa unarusha mji unaoutaka duniani kwani hata wamarekani walipoishambulia NAGASAKI na Hiroshima walirusha wakiwa wamekaa kwao. Mbaya zaidi siyo mmarekani na Mrusi tu ambao wanamiliki silaha za kinyuklia kwani kuna jumla ya mataifa 14 duniani ambayo yana silaha za nyuklia yakiwemo matano ambayo yana nguvu ya turufu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambayo ni pamoja na Marekani, Ufaransa, Uingereza, Urusi na Uchina. Ukiacha haya basi yapo mengine kama Ubeljiji, Ujerumani, Uturuki, Uholanzi na mengineyo mengi.

Kwa maana hiyo hakuna awezaye kuanzisha vita kwani anajua akianzisha hashindi. Ikitokea fulani aanzishe basi atakuwa hana akili timamu kwenye kichwa chake. Ataiangamiza dunia nzima. Nahisi kilichowafanya Wamarekani na warusi wasirushiane mabomu hayo ya kinyuklia yanatoa misingi fulani fulani ya kusema kwamba vita ya tatu ya dunia haitatokea. Ikitokea itakuwa imeanzishwa na mtu aliyekunywa viroba au maji ya mtaro na si msomi au kiongozi yeyote anayependa wananchi wake.
 
Huko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.

NGOJA me nisubili safari ya MARS naona hapa dunian kwenu majanga
 
Techinolojia ipi hawana? au porojo za vijiwe vcya kahawa ndo unaleta hapa?

Kwa taarifa yako kwenye maswala ya kijeshi Urusi yuko mbali sana ya USA.
1. Top ten ya Helcopta za kivita utakutana na za Urusi kama 4
2. Vifaru yeye ndo anaongoza,
3. Mifumo ya kujilinda S-300 NA S-4000 na S-500
4. Ndege wanatoana Droo
5. Bomber Russia yuko vizuri sana
6. Nyambizi Russia yuko vizuri sana,

Sehemu pekee ambayo USA ana mpita Urusi ni kwenye Meli za kivita basi hakuna sehemu nyinginea ambayo amemzidi Russia
Comrade wangu eeehh kimenuka hukoo nakutupia nyepesi nyepesi soon...
 
Techinolojia ipi hawana? au porojo za vijiwe vcya kahawa ndo unaleta hapa?

Kwa taarifa yako kwenye maswala ya kijeshi Urusi yuko mbali sana ya USA.
1. Top ten ya Helcopta za kivita utakutana na za Urusi kama 4
2. Vifaru yeye ndo anaongoza,
3. Mifumo ya kujilinda S-300 NA S-4000 na S-500
4. Ndege wanatoana Droo
5. Bomber Russia yuko vizuri sana
6. Nyambizi Russia yuko vizuri sana,

Sehemu pekee ambayo USA ana mpita Urusi ni kwenye Meli za kivita basi hakuna sehemu nyinginea ambayo amemzidi Russia
 
Attachments

  • 1476476573621.png
    1476476573621.png
    15.6 KB · Views: 46
Back
Top Bottom