Walienda majasusi wa urusi 7 marekani kufanya kazi za upelelezi , walipofika wakawa wanapewa hotel za kukaa na host wao ila akashtukiwa mmoja na wapelelezi wa C.I.A , na utaratibu wa upelelezi wa urusi, ukitumwa kukamilisha upelelezi sehem na ukashindwa na ukakamatwa uko. Ukirejea nchini unamalizwa, sasa alivyo kamatwa huyo mmoja akaabanwa na kutaja mwingine, na mwingina akamtaja mwingine mpaka wote saba wakajulikana wakahojiwa wakakili walitumwa, sasa wakawawashikiria na kila ukifika mda wa kureport walichotumwa wanaandaliwa report ya kubuni na wamarekani wanawapa wanatuma,
Usiniulize nimehusikaje Katika Ilo, naishia hapo