Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,921
- 3,249
we kweli sio mzima.israel na Egypt toka lini zikawa kwenye umoja wa Nato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we kweli sio mzima.israel na Egypt toka lini zikawa kwenye umoja wa Nato
Hv unajua kwamba Mara mwisho USA kutengeneza land based ICBM ni 1970's wkt Russia kila mwaka anatoa version mpya mpk bajeti ya mwaka Jana ndo wametenga fedha kwa ajili ya kutengeneza missile mpya to replace Minuteman ambayo ni ya 1970's lkn mpk Leo ipo kwenye chatiHapana siwazi hivyo.
Wewe kacheck missiles za hatari zinashikiliwa na nani then njoo tujadili zaidi.
Russia ni nyooko kaka hawezekani kabisa wanalijuwa hiloo hao basi kelele kibaowe angalia hii defence ya mrusi
1.buk missile-zipo 500
2.pantsir-zipo 72
3.s300-zipo 900
4.Tunguska-zipo 300
5.kub-zipo 400
6.s400- zipo 200
7.tor- zipo 200
8.strela-zipo 350
9.Osa-zipo 250
10.pantsir s1-zipo 150
haya tunaomba za nato +marekani
Hzo BUK,Pantsir,Tor na ile s200 zilikuwepo Syria kitambo na F15 na F16 zikawa zinaingia mpk sebuleni zinapewa frequency hewa wanasema wameHit target kumbe wenzao washaondoka saa nyiiiingiwe angalia hii defence ya mrusi
1.buk missile-zipo 500
2.pantsir-zipo 72
3.s300-zipo 900
4.Tunguska-zipo 300
5.kub-zipo 400
6.s400- zipo 200
7.tor- zipo 200
8.strela-zipo 350
9.Osa-zipo 250
10.pantsir s1-zipo 150
haya tunaomba za nato +marekani
Hv unajua kwamba Mara mwisho USA kutengeneza land based ICBM ni 1970's wkt Russia kila mwaka anatoa version mpya mpk bajeti ya mwaka Jana ndo wametenga fedha kwa ajili ya kutengeneza missile mpya to replace Minuteman ambayo ni ya 1970's lkn mpk Leo ipo kwenye chati
Hlf tofautisha kati ya launcher na radar maaana Radar moja ya S400 inaweza ikaunganishwa na laucher ht 50 kwa hyo ukiDestroy radar moja hzo laucher zinakua hazina kazi maaana huwez kushoot kitu ambacho hukioniwe angalia hii defence ya mrusi
1.buk missile-zipo 500
2.pantsir-zipo 72
3.s300-zipo 900
4.Tunguska-zipo 300
5.kub-zipo 400
6.s400- zipo 200
7.tor- zipo 200
8.strela-zipo 350
9.Osa-zipo 250
10.pantsir s1-zipo 150
haya tunaomba za nato +marekani
kwani iyo patriot ya marekani si tuliona ilivyokuwa inapata tabu na makombora ya scub.hakuna missile isiyozidiwa na pia hakuna ndege isiyozidiwa.ujanja ni kuwaiyana tuHzo BUK,Pantsir,Tor na ile s200 zilikuwepo Syria kitambo na F15 na F16 zikawa zinaingia mpk sebuleni zinapewa frequency hewa wanasema wameHit target kumbe wenzao washaondoka saa nyiiiingi
Kuna mnyama amepewa jina na Pentagon akaitwa SATAN. Marekani mwenyewe ndio kaipa hilo jina.
Hii ni list ya Top 5 Ballistic Intercontinental Missiles
Embu nambie ni silaha gan ya mrusi ilimshinda mmarekani ktk battlefield kuanzia Iraq,n.k.... Kuanzia Airdefences, ndege, vifaru, nkKutoa updates ni muhimu kwasababu Technology is not static. Ndio maana India, China, Korea na nchi nyingi zinanunua millitary technology kwa Russia kwa sababu he provides updated technologies na zipo kwenye sehemu ya mkataba. Ni kama unanunua OS na kupewa updates kila mara as part of technology.
Technology is not static.
China alishazinguana sana na hao Amerika kwenye biashara, akageukia bara la Afrika na kwinginekoMkuu siri ya vita ya Vietnam kushinda ni mkono wa mchina kuwepo. Alipeleka majeshi kusaidia Vietnam. Na Russia anamwitaji mchina sana lakini nchi za magharibi wamekuwa wajanja wamempa mchina biashara amekuwa tajiri hataki kusikia upuuzi wa vita ili aendelee kufaidi utajiri wa dunia
Hlf tofautisha kati ya launcher na radar maaana Radar moja ya S400 inaweza ikaunganishwa na laucher ht 50 kwa hyo ukiDestroy radar moja hzo laucher zinakua hazina kazi maaana huwez kushoot kitu ambacho hukioni
Ndo maana tangu siku ile nikawa nakwambia kwamba ht hyo s400 inaweza kua destroyedkwani iyo patriot ya marekani si tuliona ilivyokuwa inapata tabu na makombora ya scub.hakuna missile isiyozidiwa na pia hakuna ndege isiyozidiwa.ujanja ni kuwaiyana tu
Embu nambie ni silaha gan ya mrusi ilimshinda mmarekani ktk battlefield kuanzia Iraq,n.k.... Kuanzia Airdefences, ndege, vifaru, nk
Propaganda za west zinadai Urusi hana pesa. Anawezaje kufinance gharama za Nuclear weapons?HAIWEZI KUWA VITA YA DUNIA Labda east na west tuuu. africa tutakuwa shwali america ya kusini pia. VITA PESA BABA URUSI HANA PESA
Ndo maana tangu siku ile nikawa nakwambia kwamba ht hyo s400 inaweza kua destroyed