Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Unasahau URUSI haikuwa direct involved....waambie Israel waende Leo....
Hivi hujasikia waasi wanavyofekwa huko Alepo,?
Hujaona mafanikio ya vikosi vya Asad huko Syria? America mwenyewe ameanza kuingiwa woga
Israel aende kwani ameona maslahi yake yanatishiwa.... Waambie warushe ht roketi liangukie israel half waone cha mtema kuni...na km hyo haitoshi rejea Operation mole Cricket uone hzo air defences za kirusi zilivyochakazwa na Israel tena ndani ya masaa mawili
 
Turkey 3600+,Israel 4000+, hpo bdo nchi nyngne za NATO

Kuna members wa NATO 8 wapo neutral na kuna members wapo upande wa Peace Treaty kama Romania n.k.

Sio NATO wote watapigana vita kutetea Marekani
 
Nimetolea mfano wa washirika wa US ndo maana nikaweka Russia+China na ndo maana nikasema hpo bdo nchi nyngne za Nato
washirika hata sie tungejumuisha basi pamoja na kazakhstan na belarus pia kuna north korea awa wote ni washirika wa karibu sana
 
Israel aende kwani ameona maslahi yake yanatishiwa.... Waambie warushe ht roketi liangukie israel half waone cha mtema kuni...na km hyo haitoshi rejea Operation mole Cricket uone hzo air defences za kirusi zilivyochakazwa na Israel tena ndani ya masaa mawili

Russia messile moja inachukua coverage ya 20,000 KM zone ya destruction Kilotons 20,000 za plutonium sawa na 1000 x hiroshima. Na hakuna defensive system yake. You think Israel anaweza kuhimili Intercontinental Missiles? One missile is enough for Israel.

Siongei kwa kutetea bali fahamu kuwa Russia ya sasa sio wa kuchezea. Ndio Super Power Nation. Search that.
 
Missile ya Us iko hoi huko Syria, Syrian Army inakaribia kuikomboa kama sio ukombozi Kamili mpaka sasa.
Is, wako hoi. Allies wake wanakimbilia negotiations baada kuna wanashindwa.
Missile gani tena za US ziko hoi huko Syria?
 
Nakumbuka nilipokuwa mdogo kuna watu walikuwa wanasema Israeli ndio taifa teule la Mungu na ndio powerful nation.

Stereotypes za zamani za Zionism.
 
Huu ndio ushabiki uchwara hivi umefanya utafiti lini na ukagundua kwamba Russia hana uwezo kijeshi zaidi ya USA?
Ulifanya utafiti lini na wapi ukagundua kuwa makombora ya urusi hayawezi kufika marekani ?
Ww sijui vingunguti halafu unajifanya unayajua mambo ya ndani ya usalama Wa nchi ya urusi na marekani wakat ya hapa Tz tu huyajui.. Kweli haya ni maajabu ya watanzania
Acha uongo wewe....wewe ndo unajua mambo ya urusi na Marekani?....hebu kale makande yako ukalale wenyewe hawana hata presha presha unapata wewe unayekaa mbande Kweli!?!?!?

Sent from mTalk
 
Russia messile moja inachukua coverage ya 20,000 KM zone ya destruction Kilotons 20,000 za plutonium. Na hakuna defensive system yake. You think Israel anaweza kuhimili Intercontinental Missiles? One missile is enough for Israel.

Siongei kwa kutetea bali fahamu kuwa Russia ya sasa sio wa kuchezea. Ndio Super Power Nation. Search that.
Kwa hyo unataka kunambia huyo Russia nd mwenye hzo ICBM peke yake.... Kuna kitu kinaitwa Trident kinabeba Warheads 8 na submarine moja(mf.Virginia class submarine) ina beba missile 24(24*8)sasa nambie km kuna system itakayoweza kupangua hzo warheads 190+ kwa wkt mmoja....
 
Russia messile moja inachukua coverage ya 20,000 KM zone ya destruction Kilotons 20,000 za plutonium sawa na 1000 x hiroshima. Na hakuna defensive system yake. You think Israel anaweza kuhimili Intercontinental Missiles? One missile is enough for Israel.

Siongei kwa kutetea bali fahamu kuwa Russia ya sasa sio wa kuchezea. Ndio Super Power Nation. Search that.
Na pia ukumbuke kwamba wkt wa nuclear war huyo mrusi atapokea ICBM toka kila kona yan atakua yupo circled 360° from.Israel, Uk, France, USA, Germany, etc
 
Kwa hyo unataka kunambia huyo Russia nd mwenye hzo ICBM peke yake.... Kuna kitu kinaitwa Trident kinabeba Warheads 8 na submarine moja(mf.Virginia class submarine) ina beba missile 24(24*8)sasa nambie km kuna system itakayoweza kupangua hzo warheads 190+ kwa wkt mmoja....

Unazungunzia missile ambayo haipo top 2 intercontinental missiles. Katafute Top 10 Intercontinental missiles utaelewa my point. Dangerous Missile technology ya kwanza anayo nani na ipo wapi na uwezo wake.
 
Na pia ukumbuke kwamba wkt wa nuclear war huyo mrusi atapokea ICBM toka kila kona yan atakua yupo circled 360° from.Israel, Uk, France, USA, Germany, etc

The problem you think its so easy like that. Ingekuwa hivyo unafikiri wangemchelewesha mpaka sasa? Umeshawahi kuona Uncle SAM na His Cheerleaders wamemchelewesha mtu? Please waza deep sio utetezi.

PS: its not 360 check Geography. He is not surrounded hata 180 degree na NATO Check your Map
 
The problem you think its so easy like that. Ingekuwa hivyo unafikiri wangemchelewesha mpaka sasa? Umeshawahi kuona Uncle SAM na His Cheerleaders wamemchelewesha mtu? Please waza deep sio utetezi.
Kwa hyo wew kwa akili yako unadhan Nuclear war ni km mieleka?!
 
Unazungunzia missile ambayo haipo top 2 intercontinental missiles. Katafute Top 10 Intercontinental missiles utaelewa my point. Dangerous Missile technology ya kwanza anayo nani na ipo wapi na uwezo wake.
Kumbe unaangalia namba, ndo maana unaambiwa hv usijisivu una mbio msifu na anae kukimbiza
 
Kumbe unaangalia namba, ndo maana unaambiwa hv usijisivu una mbio msifu na anae kukimbiza

Mimi na wewe hatuwezi kujua statistics za military top technology hivyo tunaweza kutafuta tafiti za karibuni zilizofanywa na experts wanaohusika then kuangalia in detail.

Tukisema tuongee bila tafiti tutakuwa tunaongea kama mijadala ya vijiweni. Kwanza experts wanasemaje then tuangalie whats the point.
 
we angalia hii defence ya mrusi
1.buk missile-zipo 500
2.pantsir-zipo 72
3.s300-zipo 900
4.Tunguska-zipo 300
5.kub-zipo 400
6.s400- zipo 200
7.tor- zipo 200
8.strela-zipo 350
9.Osa-zipo 250
10.pantsir s1-zipo 150
haya tunaomba za nato +marekani
 
Attachments

  • 1476514279124.jpg
    1476514279124.jpg
    129.9 KB · Views: 50
  • 1476514387308.jpg
    1476514387308.jpg
    79.8 KB · Views: 45
  • 1476514544785.jpg
    1476514544785.jpg
    113.5 KB · Views: 48
  • 1476514608675.jpg
    1476514608675.jpg
    60.4 KB · Views: 44
  • 1476514726247.jpg
    1476514726247.jpg
    10.9 KB · Views: 43
  • 1476514845847.jpg
    1476514845847.jpg
    62.7 KB · Views: 44
  • 1476514924601.jpg
    1476514924601.jpg
    62.5 KB · Views: 51
  • 1476515015607.jpg
    1476515015607.jpg
    70.2 KB · Views: 47
  • 1476515123131.jpg
    1476515123131.jpg
    60.5 KB · Views: 44
  • 1476515279698.jpg
    1476515279698.jpg
    64.5 KB · Views: 45
Back
Top Bottom