Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Mkuu mimi nimekupa kawazo tuu huwezi jua wanatumia teknolojia gani kukushanya habari nyeti usikariri njia zijulikanazo! nyingine zinazaliwa upya kama matumizi ya chip mwili n.k pia macho naskia ni recorder nzuri tuu. Macho yako yakiwekewa mashina yana revel kila ulilokua unafanya pengine toka uingie hapa duniani kabisa.
Ila hii teknolojia ya macho bado sijaijua vizuri ntaifatilian halafu ntalea uzi humu.
Lakini sasa mkuu wajua some time nikijiuliza jinsi huyu Snowden alitoroka vp huko America.....??
 
Snow ndoo aliyobahatika tu ku escape wenzie waliobakia nyuma wote washakula namba ndefu tena
Mkuu kwanza hiyo siri aliivujisha akiwa ktk Taifa gani....??
Na nyuma yake wapo wangapi ktk ishu hiyo....??

Nijue Tafadhari mkuu
 
ACHENI MAMBO YENU HAYO OHOOOO,PORI LENYEWE BONGO NZIMA VIKINDU TU NA LISHAKATWA MKAA LOTE , SASA TUTAKIMBILIA WAPI?
WAKILIANZISHA HUKO HATA KAMA BOMU HATA MOJA HALITAFIKA HUKU KWETU WAHANGA WAKUBWA TUTAKUWA NI SISI
HEBU VUTA TASWIRA MAISHA BILA UMEME WA TANESCO WALA JENERETA SABABU MAFUTA HAKUNA, TUANZIE HAPO HAKUNA GARI, PILIPIKI WALA CHOMBO CHOCHOTE CHA MOTO, MWENDO WA BAISKELI NA GUTA KWA MABOSI TUU
 
Hakuna kitu kama hicho, husitegemee vita hiyo ni mikwara tu, ata North Korea ufanya hivyo, pili Russia hana uwezo kijeshi kama alivyo America, hizo kombora ata akirusha haziwezi ingia American space zote, na ata akifuta baadhi ya miji America ana uwezo wa kumkabili kwa kutumia majeshi yaliyo nje ya Marekani plus Israel, msikae mkajidanganya ata siku moja, vita ni technology, watu na uchumi imara sio huo wa Russia. Mambo yenu ya zamani mlikua ooh sadam ana scud missiles hawamuwezi yupo wapi sasa? Acheni ushabiki kutokana na milengo yenu angalieni uwezo wa nchi kiuhalisia.
Mi mwenyewe sikutegemeaga kama saddam angechakazwa ndani ya mda mfupi,,,mmarekani ni shida bana
 
Putin hamjajua anachotaka kukifanya...Putin warusi wananchi wake wanamuita vladimir vladimirovich..kwanza yeye hataki democrat wachukue nchi , anamtaka Triumph..sasa kaona upepo wa marekani unapoelekea donald anapoteza uchaguzi wazi wazi..Vladimir vladimirovich sasa hivi anaamua kuwapa presha wananchi wa marekani kwa kuvunja mkataba wa nyuklia. mazungumzo ya amani ya syria kuonyesha zana za kivita etc. na mengine mengi na vitisho vingi mtaviona tuu...
ila kwenye vita Putin hawezi kuingiza jeshi lake lipigane na marekani..financial russia haiko vizuri so far.
Hapa nimekuelewa sana mkuu
 
Issues sio hayafiki, intercontinental missiles zinafika bara lolote, issue ni ku penentrate ndani na kuleta madhara, America wana dome ya kuzuia makombora yasifikie ardhi yao thou sio lazima dome ziwe accurate 100%,Pili nchi za mwenzetu records nyingi zipo wazi ni chache inakua siri ya nchi hasa technology iliyotumika ila number ya vifaa wengi wanaweka ata man power yao, mfano nikuulize swali dogo tu Russia ana aircraft carrier ngapi na America wapi maana nisije kua nina urge na layman
Inaelekea unauelewa mdogo sana wa masuala ya kijeshi, aircraft carrier zinahusiana vipi na military strength ya nchi..tatizo movie za kimarekani zinawapumbaza na kudhani marekani ndio kila kitu.
 
Hampati taarifa za habari?huko Urusi kuna mazoezi makari sana na yanahusisha raia milioni 40. Wanapewa utayari wa kukabiliana na majanga
Mkuu mrusi anatisha tu ana silaha na jeshi lakini hana pesa ya kuendesha vita. Anamtegemea sana mchina lakini mchina sasa hivi anaangalia biashara zake hana muda na vita. Na kwa kipindi hiki mchina hawezi kuingia kwenye vita sababu biashara inamwendea vizuri amekamata dunia nzima
 
Inaelekea unauelewa mdogo sana wa masuala ya kijeshi, aircraft carrier zinahusiana vipi na military strength ya nchi..tatizo movie za kimarekani zinawapumbaza na kudhani marekani ndio kila kitu.
Kwa ubongo wako unafikiri aircraft carriers zinatengenezwa ili wapige nazo picha?
 
Inaelekea unauelewa mdogo sana wa masuala ya kijeshi, aircraft carrier zinahusiana vipi na military strength ya nchi..tatizo movie za kimarekani zinawapumbaza na kudhani marekani ndio kila kitu.
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.
 
Wakubwa wa kipigana twendeni shamba tukalime mana watakuja huku na njaa namuunga mkono G.Sam
 
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
[emoji635]
[emoji635]
 
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.

HANA WATU, TECHNOLOGY NA UCHUMI?? Ohio mkuu, WALE SIO TIMU DIMOND WAJITANGAZE MAREKANI WAGUSE WAJIONEE CHECHE
 
Mkuu mrusi anatisha tu ana silaha na jeshi lakini hana pesa ya kuendesha vita. Anamtegemea sana mchina lakini mchina sasa hivi anaangalia biashara zake hana muda na vita. Na kwa kipindi hiki mchina hawezi kuingia kwenye vita sababu biashara inamwendea vizuri amekamata dunia nzima
na wachina walivyosambaa kila kona ya dunia kila nchi kama hapa tz wapo adi kitaa kuna wengine wanaongea kichaga kabisa... mtaani wanajimix sana hata urusi nimeishi moscow 8 yrs kuna wachina kila kona wanasoma wana mabiashara na hawana noma na mtu .....
huko usa im sure wapo kibao...
 
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.
Kama ulikua hujui, Russia wamewe

Technology???we Urusi huijui vizuri.
 
Russia ina aircraft carrie moja tu na sababu zipo wazi. kijiografia Russia haina bahari kubwa kama US na hii ndio sababu pekee inayomnyima mrusi kuwa na Aircraft carrie nyingi. lakini amewekeza kwenye zana nyingi very modernized na nzito sana za baharini kama vile Corvettes ambapo Mrusi anazo 81 na Mmarekana hana hata 1.
Mkuu,kwani.mrusi naye ana drones??
 
Back
Top Bottom