Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

1476476596891.png
 
Tafuta champagne mapema cheko haliko mbali...
 

Attachments

  • 1476476615821.png
    1476476615821.png
    79.3 KB · Views: 39
The Syrian army and the National Defense Forces (NDF) re-launched attempts to seize the Al-Sha’er Gas Fields from ISIS in Homs province. The government forces stormed ISIS positions southwest of the gas fields and reached its gates. Clashes are ongoing in the area.

The pro-government forces have achieved another notable success in northern Aleppo. The army and Liwa al-Quds took control of Talat Bureij, Majbal Al-Zatin, Tal Owayjah, and Tal Al-Asfar. Controlling of these hilltops allows, the government forces are able to easily defend the previous gains in northern Aleppo, overlook areas in the northern part of Haydariyah Neighborhood and prepare a push to set control of the Ba’edin Roundabout. In southern Aleppo, the army and Hezbollah captured the strategic Sheikh Sa’eed hill in the Sheikh Sa’eed Neighborhood.

In Western Ghouta, the army and the NDF seized the Air Battalion Base, located southeast of Der Khabiyah. Now, the government troops are deployed at the western and southern flanks of Deir Khabiyeh controlled by Jabhat Fateh Al-Sham (formerly Al-Nusra Front) and Ahrar Al-Sham.

Yesterday, the army’s Tiger Forces and the NDF took control and defended from terrorist counter-attacks the town of Ma’an in northern Hama. Today, the Tiger Forces and the NDF are advancing west of the nearby village of Kubbariyah in an attempt to reach Suran, located at the highway between Hama and Aleppo. If Suran is re-taken, the militant controlled town of Ma’rades will become next target of the advance.

Next Saturday in Switzerland, Rusisa, the United States and local powers are set to discuss the military and political situation in Syria in order to find the so-called “peaceful solution” of the conflict. Most likely, the Russian-Syrian-Iranian alliance will not be ready to make some concessions to the “American partners”.
 

Attachments

  • 1476477687735.png
    1476477687735.png
    46.2 KB · Views: 45
Mkuu mimi nimekupa kawazo tuu huwezi jua wanatumia teknolojia gani kukushanya habari nyeti usikariri njia zijulikanazo! nyingine zinazaliwa upya kama matumizi ya chip mwili n.k pia macho naskia ni recorder nzuri tuu. Macho yako yakiwekewa mashina yana revel kila ulilokua unafanya pengine toka uingie hapa duniani kabisa.
Ila hii teknolojia ya macho bado sijaijua vizuri ntaifatilian halafu ntalea uzi humu.
Hahaha....mpaka wewe unaijua hiyo technology, wenzako washaijua muda mrefu! Maana as long as technology is regarded, mambo mengi tunayasikia toka kwa hao jamaa...kwa hiyo wanajua hata hayo na zaidi ya hayo.
 
Mkuu mrusi anatisha tu ana silaha na jeshi lakini hana pesa ya kuendesha vita. Anamtegemea sana mchina lakini mchina sasa hivi anaangalia biashara zake hana muda na vita. Na kwa kipindi hiki mchina hawezi kuingia kwenye vita sababu biashara inamwendea vizuri amekamata dunia nzima
Mkuu "Bukyanagand" huwa anauliza kuwa ' kwani Vietnam ilikuwa na hela gani hadi ikasimama dhidi ya USA???' Na kama USA ana pesa au ana nguvu , basi asimame peke yake, aizishawishi nchi zilizopo karibu na Russia kujiunga na NATO!!! Hata vitani aende peke yake...tuone kama hayo asemayo ni kweli au la. Vinginevyo ni propaganda.
 
Mkuu "Bukyanagand" huwa anauliza kuwa ' kwani Vietnam ilikuwa na hela gani hadi ikasimama dhidi ya USA???' Na kama USA ana pesa au ana nguvu , basi asimame peke yake, aizishawishi nchi zilizopo karibu na Russia kujiunga na NATO!!! Hata vitani aende peke yake...tuone kama hayo asemayo ni kweli au la. Vinginevyo ni propaganda.
Blah blah tuu hao U.S. na mashoga zake NATO
Wanaujuwa sana mtitii wa Russian
 
Sidhani kama kutakuwa na vita hiyo. Atakayeanzisha atakuwa amekurupuka sana kwani hata akishinda hata yeye atakuwa amepoteza watu na mali, na hawezi kuwa na imani kwamba atashinda.

Tukumbuke Urusi, Marekani na mataifa mengine mengi yanamiliki silaha za kinyuklia. Hakuna anayeweza kudiriki kuanzisha vita maana anajua akianzisha dunia inakuwa uwanja wa fujo na umwagaji damu na lazima watu wake na wenyewe waathirike.

Vita ya kwanza ya dunia na ya pili ilikuwa vita ya bunduki za kawaida. Hakukuwa na silaha za kinyuklia. Ilipofika karibia mwishoni mwa vita ya pili Mmarekani akajihakikishia mabomu ya kiatomiki (atomic bombs) ambayo ndiyo yaliyotumia kushambulia Nagasaki na Hiroshima huko Japan. Miaka kama mitano baadaye na Mrusi akajipatia silaha ya kinyuklia. Hiyo ndo ikasababisha waogopane na kusiwe na wa kuanzisha vita. Vita ilikuwa baridi (Cold war) wakawa wanarushiana maneno ya sumu tu bila hata mmoja wao kuwa na uthubutu wa kuanzisha vita ya bunduki, makombora, mabomu....mpaka mwaka 1991 URSS ilipokuja kusambaratika.

Leo mabomu yaliyotumika ya kiatomiki yameshapitwa na wakati yapo mabomu ya kinitriki (nitric bombs) na mengine ambayo ni makali kuliko yale ya kiatomiki. Ukiwa hapa unarusha mji unaoutaka duniani kwani hata wamarekani walipoishambulia NAGASAKI na Hiroshima walirusha wakiwa wamekaa kwao. Mbaya zaidi siyo mmarekani na Mrusi tu ambao wanamiliki silaha za kinyuklia kwani kuna jumla ya mataifa 14 duniani ambayo yana silaha za nyuklia yakiwemo matano ambayo yana nguvu ya turufu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambayo ni pamoja na Marekani, Ufaransa, Uingereza, Urusi na Uchina. Ukiacha haya basi yapo mengine kama Ubeljiji, Ujerumani, Uturuki, Uholanzi na mengineyo mengi.

Kwa maana hiyo hakuna awezaye kuanzisha vita kwani anajua akianzisha hashindi. Ikitokea fulani aanzishe basi atakuwa hana akili timamu kwenye kichwa chake. Ataiangamiza dunia nzima. Nahisi kilichowafanya Wamarekani na warusi wasirushiane mabomu hayo ya kinyuklia yanatoa misingi fulani fulani ya kusema kwamba vita ya tatu ya dunia haitatokea. Ikitokea itakuwa imeanzishwa na mtu aliyekunywa viroba au maji ya mtaro na si msomi au kiongozi yeyote anayependa wananchi wake.
Mmmmhh...duuuh German wana silaha za nuclear? Na uturuki? Sijawahi kujua hii...mbona ni kama sijawahi kuipata hii??? Naomba data zaidi tafadhali
 
Putin alisema sisi kazi yetu ni kupambana na wale ambao wanatishia amani na utulivu ktk hii dunia ,Democracy isitumike kupambana wale wanaokataa kuwa vijakazi kwa mapenzi yao kwa utaratibu uwongo wa kisiasa. katika udhihirisho wake wote lakini machafuko na uharibifu. sisi tutapambana na wale ambao wanataka kuua, kuua na kuua kwa kutumia jina la democracy ;Wajue kwamba wao sisi sio wajinga kuwa tutawaliwa milele Wajue kwamba sisi or Russian it's not for sales, lazima watambuwe kuwa
now that ultimate reason, which Hegel says has a divine will triumph in the end
 
Hawana issues mkuu,kazi yao ku promote ushoga tuu,wizi uwongo kwenda mbele,silaha yao kubwa democracy ati,pigs bustards
Russia ina chukua hatua za pamoja na wanachama wengine wa mazungumzo iternational kutatua tatizo Ndani Ya Syria kwa njia ya amani ina maana kwa maslahi ya kimataifa ya dunia nzima,ila wanashangazwa mnoo na partners wao U.S. na NATOs kuwa hawako ready kabisa for peaceful,instead ni unafiki fitna uwongo kwenda
wakati dunia nzima inatambuwa mgogoro wa Syria on naked eyes,
 
Narudia tena, vita ni man power (watu), stable economy (uchumi imara), technology (teknolojia) ambavyo Russia hana vyote lakini mmarekani anavyo, hivyo acha ushabiki nenda kwenye ukweli, uchumi wa Russia ni kama majimbo machache ya Marekani, California, New York ukiyaunganisha. Hapa tatizo ni watu wengi wanaongea kishabiki huku hawajawahi vuka ata border.
Mapenz mabaya sana ,n u blv Russia hana technology kumshinda mmarekani?duuu haya
 
Back
Top Bottom