Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Hii civil war ya Syria ilianza kwa maandamano ya amani baadae yakageuka vita tunavyoshuhudia sasa hivi. Haya maandamano yalikuwa yanafanywa na raia wa Syria waliokuwa wanadai demokrasia zaidi kwasababu kwa kipindi kirefu Syria imetawalia kwa "iron fist" mkono wa chuma. Assad ni dikteta......uhuru wa kujieleza, kuchagua, kupata nafasi za kiuchumi na mambo mengine yalikuwa mambo magumu kwelikweli kwa mtu wa kawaida huko Syria.....sasa hizi kero zote na rais Assad kuzipuuza basi wananchi wakaingia mtaani.

Pia inafaa ujue haya maandamano yalipata "influence" baada ya maandamano yaliyokuwa yanatokea nchi za kiarabu Tunisia, Egypt na Libya (Arab spring)......hapa wananchi wa Syria wakasema aaah kwanini nasisi tusimng'oe dikteta wetu?.....mambo yakaanza.

Upande wa pili unapaswa ufahamu kuna nchi ni maaduni wa Syria na wanatumia kila njia kuangusha utawala wa Assad. Maadui hawa wanamuona Assad kama mtu anayezuia maslahi yao hapo middle east. Adui namba moja wa Assad ni United States of America, wengine ni Saudi Arabia, Qutar, Grace, UK na nchi nyingine za Europe. Marekani yeye anataka kummaliza Assad ili awe na njia pengine kumfikia Iran na kumuangusha......hapa Syria ni kikwazo ndiyo maana US anatumia kila aina ya propaganda ikiwemo kusaidia vikundi vya waandamani ambao sasa hivi anawapa silala nzito nzito kukabiliana na Assad regime.

Jambo lingine unatakiwa ufahamu ni kuhusu Rassia......Rassia yeye anafahamu US anataka kukamata eneo lote la middle east na kwasababu Russia anamtegemea Syria kama mshirika wake hapo middle east basi lazima amlinde kwasababu Russia naye anamaslahi Syria.

Hii ngoma ni kuhusu influence middle east, kuhusu ku-control biashara ya mafuta, kuhusu kueneza American democracy.
I wish ungekua ticha, wanafunzi wako wangefaulu sana, maelezo yamejikamilisha sana.

Alafu vipi kuhusu hawa IS ( Islamic State) wenyewe wanaungwa mkono na nani kati ya russia au US?
 
Naam rais wangu leo sina hata salamu. Nakuja mbiombio kukutaarifu kuwa sasa Vladimir Putin ameonyesha dalili zote za kuivuruga dunia. Putin amefanya majaribio ya silaha za nyuklia kwa mara ya kwanza baada ya mamiongo na mamiongo. Putin na Obama sasa wanatoleana macho tena makali.

Rais wangu, wakati Putin akiitikisa dunia mwenzake China ameanza kuchukua tahadhari maana vita itakuwa kati ya mashariki (Urusi, China Korea, Iran) na magharibi (Marekani, France, England na NATO wote kwa ujumla) Hapa ndipo tunashuhudia "Kupatwa kwa uchumi wa dunia" tunajiandaaje? Tuatumikaje? Pengine huu ndiyo mtihani wako mzito na unapaswa kusimama nao. Sio tena mambo ya hapa na pale! Vita hivi ndivyo hueneza tuchokochoko twa hapa na pale kama ule wa ziwa Nyasa, watu kama kina Kagame hutumia mwanya huu kukwapua kutoka mataifa mengine. Miradi mikubwa mikubwa husimama kwa muda. Tujipange kwelikweli tusijesema tumeshtukizwa tena! Kagame anajipanga Kinyatta anajipanga hata yule wa Maravi kingdom anajipanga! Hima na sisi tujipange.

Putin ameshawaita nyumbani familia zote za mabalozi wake duniani! Kiashiria cha kuivuruga dunia inaonekana ni dhahiri machoni!

Rais wangu utasimama wapi? China na Urusi au Marekani na NATO au utakuwa NAM kama enzi zile?
 
Huyo Snowden Urusi ataipeleleza vp ikiwa mtu maisha yake yapo Hotelini tena chini ya ulinzi mkali wa KBG.....??
Hivi ni kwanini Russia ilikubali kumpokea snowden wakati alikua mfanyakazi wa C.I.A? Kama aliweza kuwageuka marekani hawezi akafanya hivo hivo kwa russia??
 
Karibia nachoka hizi mbwembwe mbona wanazingua afu hawapigani
mmarekani si anajivutavuta kiaina,nasikia kaamua kuhamishia magaidi wa ISIS waliokuwa mosul,iraq kuwapeleka Allepo wakapambane na putin,

mmarekani hapendi kufa yule,ila leo obama na kamati yake ndo wanaamua kama wanapigana vita na russia ama la
 
Hizo system zao walishazipeleka kumpa Assad miaka ya nyuma ili ajilinde dhidi ya Israel, lakini myahudi alizifanya scrapper within a week! Tafuta data kwanza jamaa
Sio zamani, walilipua ghala sio hiyo system mkuu ilikuwa haijafungwa ugopa chumvi
 
mmarekani si anajivutavuta kiaina,nasikia kaamua kuhamishia magaidi wa ISIS waliokuwa mosul,iraq kuwapeleka Allepo wakapambane na putin,

mmarekani hapendi kufa yule,ila leo obama na kamati yake ndo wanaamua kama wanapigana vita na russia ama la
Nini kinaendelea huko mkuu,kuna kikao cha Obama na kamati ya vita nini maana kwa mara ya kwanza nimemuona Mr. G Sam kaleta comment hapa ya kuogofya sana.
 
Huko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.
Kuna siku wazungu walimtishia MFALME wa Rhodesia mzee Mugabe usisafiri kuja Ulaya akawaambia "kwani mimi ni mzungu wa Ulaya?! Mimi ninakaa Rhodesia"
 
Na mkataba ule wa Nyuklia ndio umeshavunjwa sasa, huku yule Kiduku wa North Korea akijipongeza kwa kikombe cha kahawa ile yale majaribio yake ya kumjambisha Mmarekani akiyaendeleza
Unazungumzia mikataba leo hii?! Umesahau kwamba dunia kwa sasa imesheni vidikteta uchwara vipo above the law hajali mkataba wala katiba wala sheria vipo dunia nzima.
 
Kwenye vitabu vya dini kuna maandiko yanasema kuna taifa moja kubwa litakua majivu kwa siku moja sasa najiuliza ni taifa gani? Sipati jibu la uhakika
 
Hivi ni kwanini Russia ilikubali kumpokea snowden wakati alikua mfanyakazi wa C.I.A? Kama aliweza kuwageuka marekani hawezi akafanya hivo hivo kwa russia??
Yule katoka kwenye kitengo cha NSA,
Na kama kapewa hifadhi huko Urusi Atawageukia kwa lipi hao Russia ikiwa mtu mwenyewe maisha yake yapo Hotelini tena chini ya ulinzi mkali wa KBG ....???
 
Kuna siku wazungu walimtishia MFALME wa Rhodesia mzee Mugabe usisafiri kuja Ulaya akawaambia "kwani mimi ni mzungu wa Ulaya?! Mimi ninakaa Rhodesia"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hapa Africa kabaki mmoja tuu,
 
Labda ana chombo kiachochukua mawasiliano russia nzima kiko mwilini mwake au sehemu ya kificho sana
Hakuna kitu hicho Mkuu,

Russia wapo makini sana,
Na kama unajua maana ya KBG ndio utelewa kazi yake....!!

Lakini hiyo kitu Sahau tuu
 
Hakuna kitu hicho Mkuu,

Russia wapo makini sana,
Na kama unajua maana ya KBG ndio utelewa kazi yake....!!

Lakini hiyo kitu Sahau tuu
Mkuu mimi nimekupa kawazo tuu huwezi jua wanatumia teknolojia gani kukushanya habari nyeti usikariri njia zijulikanazo! nyingine zinazaliwa upya kama matumizi ya chip mwili n.k pia macho naskia ni recorder nzuri tuu. Macho yako yakiwekewa mashina yana revel kila ulilokua unafanya pengine toka uingie hapa duniani kabisa.
Ila hii teknolojia ya macho bado sijaijua vizuri ntaifatilian halafu ntalea uzi humu.
 
Back
Top Bottom