Urusi watengeneza Satan 2

Urusi watengeneza Satan 2

Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,

My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.

US army still ni strongest n the best
Mkuu vipi? mbona maneno meeengi yanakutoka kuitetea USA? mtoa mada ametoa taarifa ya uzinduzi kwa Russia. na amemnukuu raisi wa Russia tu basi. hajauliza nchi gani ipo vizuri kijeshi wala hajatoa kauli yake kuitangaza Russia kuwa ipo vizuri. Wewe huko povu linakutoka na USA yako. duuuuuuh.!!!??!
 
Tuliza mshono huo alaf soma kitu uelewe
Mimi nilitoa maoni yangu kubisha maneno aliyonukuliwa rais ea russia akisema,

Punguza shobo kijana, Kwan we russia yako
 
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016, hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu, lina uzito wa tani zaidi ya 100, linabeba mabomu 10-15 ya atomic, kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.

Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi; "we have the best army in world"

View attachment 432290View attachment 432291
Source please?
 
Wazungu watu wa ajabu sana. Sisi tuna shida lukuki, mfano hatuna viwanda. Wao wanatengeneza silaha badala ya kutusaidia.
 
Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Sasa uanafikiri Urusi hawezi kucoordinate mambo madogo kama haya?, kila nchi ina measure na strategy zake kivita, usidanganyike na movie mkuu, U.S.A Navy wanapoteza sana kwny combats zao, rejea op. red wing in Afghanistan and tell us wot happened there.....
 
Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Yani hata mabinti wa kimarekani huwa hawapendi kuolewa na navy soldiers cos wanajua life span za hawa jamaa ni magumashi
 
USA kwa vita vya anga ni hatari, kwa vita vya sakafuni hakuna kitu, jiulize kilicho mshinda USA mwaka 1990 kumuondoa sadam hussein Iraq ni nini?

USA hamna kitu, tukija Russia katika vita bado hamjamtambua toka kumalizika kwa vita vya 2 vya dunia, kwa sasa Russian amekunjua mikono yake Syria na cremia, tuanze kumsoma wapi anaweza ku handle.

La tatu katika ugunduzi wa hizi defence, haijalishi nani mwanzo kuvumbua, hapa nani kwa sasa ana kifaa cha kileoo chenye nguvu na kasi kubwa?

Angalia mfano Iran walipo ikamata drone ya USA, nini kilitokea? katoa kitu kuliko cha USA ambacho hata kwenye rada hukioni, na amejaribu anga fulani kurusha
Hii ni kweli kabisa mhe. kuwekeza pesa kubwa sio ndio umemaliza kila kitu, manchester united wamemsajili POGBA kwa dau lililovunja rekodi lkn hakuna anachofanya kwny ligi, sasa rejea kwa klopp katumia pesa ndogo tu kusajili lkn ni tishio kwa mabilionea, hii dunia ni kuchezeana akili tu ndio dili co nguvu za pesa.
 
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016, hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu, lina uzito wa tani zaidi ya 100, linabeba mabomu 10-15 ya atomic, kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.

Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi; "we have the best army in world"

View attachment 432290View attachment 432291
Umemaliza?

Sent from mTalk
 
Kipi kipya kilichofanyika syria, kutoa air support ya kushambulia vikundi vya wapiganaji wasio hata na air defense??
Naomba unijuze hizo tech?
Pia niambie kipi kipya kilichofanyika syria.
Kama ni rahisi kihivyo, Mbona Marekani alishindwa Somalia?
 
Mkuu vipi? mbona maneno meeengi yanakutoka kuitetea USA? mtoa mada ametoa taarifa ya uzinduzi kwa Russia. na amemnukuu raisi wa Russia tu basi. hajauliza nchi gani ipo vizuri kijeshi wala hajatoa kauli yake kuitangaza Russia kuwa ipo vizuri. Wewe huko povu linakutoka na USA yako. duuuuuuh.!!!??!
Imekuuma?
 
Nimejoin katikati ya mada. But you guys mmjiuliza why Obama alisema haoni kama Tramp anastahili kupewa code nu
mber ya nuclear ? It is he knows the capability. So let is not think cheap
 
Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia

Kujadili CT SCAN na MRI ni uchochezi wa wazi kabisa na utakua unamkwaza mtukufu kwa kiwango kikubwa jaribu kuangalia waandishi na wanainchi tulivyojikita na ishu ya mama mjengo kulazwa pale Muhimbili kwetu ndio maendeleo na faraja hata kama ndugu amelazwa chini pale hosp ila kwa kua mama yupo pale basi tumepiga hatua.
 
Hua najiuliza hivi! Kama USA mwaka 1960 hivi (sukumbuki vzuri) waliipiga Japan Kwa Bomu la atomic.
Na wakat huo technology ilikua si kama hivi Leo.

Je Leo hii USA si atakua ni balaa
Enzi za fatman na thinman. Sipimii sasa hivi,
 
Ant Intercontinental Ballistic Messile za mrusi ni hatari, halafu kwa mujibu wa maelezo ya mitandaoni ni kwamba ICBM za mrusi haziko detactive kwenye rada. Kama unafuatilia habari za kimataifa utakumbuka kuna mazungumzo yalifanyika miaka michache iliyopita kuhusu kuanzisha mfumo wa kujilinda na makombora yanayoruka kutoka bara moja hadi lingine(ICBM)kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi(NATO) dhidi ya nchi korofi kama NK na Iran, makamanda wakasema kwamba bila urusi mkataba huo hautakuwa na maana kwa sababu urusi ndio yenye silaha hizo zinazoruka kutoka bara moja hadi lingine.
U have a made apoint, Ila kumbuka zipo njia nyingi sana za kutrack hayo madubwana, Also kumbuka hayawez kuwa complete stealth,

Ila kiuhalisia umeandika point kubwa sana,
Kifupo hata ballistic missile zina uwezo wa kujilinda kwa kurusha decoys na chaffs/flares

Big point
 
Kuzijadiri ndio sisi hapa tutazinunua? Hao wakuu wako wa Giningi tukijadiri masuala ya nchi yao wanatushitaki kwa uchochezi. Bora nini?

Mi nadhani tuendelea kujadiri nchi za wanaume wa haja akina Putin. Live Long my friend Putin.
Tusifie na kujadiri wanaume wakati Giningi wakikomoana kisiasa na kusomeshana tarakimu.

NB; Welcome Trump colonize Us!
Bravoooo, SIna milion 7 afadhali niendelee kuwajadili hawa hawa wazungu aisee
 
Mkuu kama kuwa na fedha ndio kushinda vita basi USA asingepata aibu iliyomkuta Vieinum na Somalia. Kama ndio hivyo basi kwanini asumbuliwe na North Korea? Si angweza kumuundia zengwe kama Iraq ya Sadam Hussein akawavamia na kumaliza kero?
 
Sasa uanafikiri Urusi hawezi kucoordinate mambo madogo kama haya?, kila nchi ina measure na strategy zake kivita, usidanganyike na movie mkuu, U.S.A Navy wanapoteza sana kwny combats zao, rejea op. red wing in Afghanistan and tell us wot happened there.....
Anaweza, Pia kumbuka hakuna nchi isio na uwezo wa kuunganisha haya matawi yake

My point: fananisha us air force na russia airforce
Russian navy na us navy
Us land force na russia land forces

Alaf nipe majibu nitakueleza maana yangu
 
U have a made apoint, Ila kumbuka zipo njia nyingi sana za kutrack hayo madubwana, Also kumbuka hayawez kuwa complete stealth,

Ila kiuhalisia umeandika point kubwa sana,
Kifupo hata ballistic missile zina uwezo wa kujilinda kwa kurusha decoys na chaffs/flares

Big point
Mkuu kama mambo yangekuwa marahisi kiasi hicho alishindwa nini kuivamia Quba ya Fidel Castro? Si alikuwa na antiballistic hizo ambazo mnasema bora kuliko za Russia ambao walikuwa wanampa backup Quba?
 
Back
Top Bottom