Urusi watengeneza Satan 2

Urusi watengeneza Satan 2

Mkuu kama mambo yangekuwa marahisi kiasi hicho alishindwa nini kuivamia Quba ya Fidel Castro? Si alikuwa na antiballistic hizo ambazo mnasema bora kuliko za Russia ambao walikuwa wanampa backup Quba?
Kumbuka geography ni kitu kikubwa sana katika vita
 
Kwa hivyo sasa tunakubalina ili kushinda vita sio kutumia fedha nyingi tu bali kuna factors nyingi sana japo ukiwa na fedha unakuwa umerahisisha factor moja kati ya nyingi. Kama vifaa pekee ndio kushinda vita basi Idd Amini angeshinda vita vya Kagera dhidi ya TZ kwa vile Ghadafi alikuja kumpa msaada wa askari na vifaa bora kuliko vya TPDF.
 
Kumbuka geography ni kitu kikubwa sana katika vita
Na hiyo Jiografia ndio ilimsumbua sana Marekani kule Vietnam pamoja na roho ngumu ya wavietnam. Ilifika hatua wamarekani wakashindwa kushusha askari ardhini wakaanza kumwaga mabomu na sumu wakiwa angani baada ya kugalagazwa ardhini. Haya mambo hayasemwi kwa vile ni aibu ya mtu mzima USA, walifanya unyama sana na wakashindwa vita halisi. Wakaanza propaganda za kwenye media na Hoolywood ili kuficha aibu na madhambi ya uhalifu wa kibinadamu baada ya kushindwa vita. They are bunch of cowards who can't dare to fight their enemies at their backyard like Israel. Nor can they fight without a help from NATO allies. Look at Iraq or Afghanstan, did they manage to fight their enemy alone?
 
Kuhusu USA kushindwa vita ya VIETNAM nakubali kabisaa, Pia kuhusu matumiz ya silaha hizo za simu pia Nakubali kabisaa bila chenga, Also propaganda za kwenye media sibishi kabisaa.

Hilo la mwisho ndio nitabisha, Kumbuka wao kuwa nato kuna mikataba ambayo inaongoza huo umoja wao, Ikiwapo hilo la kusaidiana katika vita, Sa we ulitaka ikitoke vita awaambie wenzake wakae kimya wasihusike ilhal makubaliano yao hayapo hivyo..?

Bear in mind afghanistan was a war on terror( global war on terror) thats y nchi nyingi zilishiriki,
Iraq ilikua tofaut kidogo ila hapo suala na nato kuingilia ugomvi wa rafiki zao halikwepeki
 
Kumbuka geography ni kitu kikubwa sana katika vita
Mkuu Russia anaweza kupigana vita peke yake mfano kule Afghanstan alipigana sana na Taliban kwa miaka mingi bila ya Russia kusaidiwa lakini hao Taliban walisaidiwa na Marekani kupigana na Russia. Sasa maajabu washirika wamesalitiana wamekuwa maadui. Naona Marekani anarudia kosa kama hili kule Syria kwa kuwasaidia waasi dhidi ya Serikali ya Assad na mshirika wake Russia. Tutaona mwisho wa hili sijui nini. By the way mimi shabiki wa Israel Defence Force (IDF) hawa jamaa wanapigania vita nyumbani kwao na nyumbani kwa adui na wanashinda.
 
Nakubaliana nawe kuhusu sababu za msaada wa NATO kule Afghan. Tatizo linakuja kule IRAQ kulikuwa na ughaidi na silaha za sumu kweli kabla ya wao kuivamia Iraq? Sasa kwanini waliomba kusaidiwa vita ile ya Iraq hii ya pili ya Bush mtoto?
 
Anaweza, Pia kumbuka hakuna nchi isio na uwezo wa kuunganisha haya matawi yake

My point: fananisha us air force na russia airforce
Russian navy na us navy
Us land force na russia land forces

Alaf nipe majibu nitakueleza maana yangu
Sasa tunaelekea kwny vita ya messi na cr7, issue hp co jeshi lako ni kubwa kiac gan bali ni jinc gani unalitumia ipasavyo, unaweza sema US-marine ni kubwa bt ukakuta inapoteza kwny combats
 
Waangaike tu..USA itabaki kuwa superpower
Mkuu siku zao za kuwa superpower zinapungua kwa kasi. Jinsi China wanavyokuja juu kiuchumi na technology na wanavyosambaa kila nchi ikiwemo USA yenyewe wee acha tu ni swala la muda tu. Hata utawala wa Roma ulikuwa na nguvu kwa wakati wake kupita huu wa USA lakini walianguka na kupotea.
 
Nimejoin katikati ya mada. But you guys mmjiuliza why Obama alisema haoni kama Tramp anastahili kupewa code nu
mber ya nuclear ? It is he knows the capability. So let is not think cheap
tc jxt propagandas intended to discourage voters, Trump is the best of the bests.............
 
Trump jasiri wa kusema hii ni nyeusi na ile ni nyeupe sio kuanza kusema hii nyekundu nyeusi kidogo kama damu ya kunguni. Sio mnafiki.
 
Mkuu siku zao za kuwa superpower zinapungua kwa kasi. Jinsi China wanavyokuja juu kiuchumi na technology na wanavyosambaa kila nchi ikiwemo USA yenyewe wee acha tu ni swala la muda tu. Hata utawala wa Roma ulikuwa na nguvu kwa wakati wake kupita huu wa USA lakini walianguka na kupotea.
Unafikiri wao USA hawaoni hayo???......USA usiwaze kuanguka kabisa
 
Mkuu Russia anaweza kupigana vita peke yake mfano kule Afghanstan alipigana sana na Taliban kwa miaka mingi bila ya Russia kusaidiwa lakini hao Taliban walisaidiwa na Marekani kupigana na Russia. Sasa maajabu washirika wamesalitiana wamekuwa maadui. Naona Marekani anarudia kosa kama hili kule Syria kwa kuwasaidia waasi dhidi ya Serikali ya Assad na mshirika wake Russia. Tutaona mwisho wa hili sijui nini. By the way mimi shabiki wa Israel Defence Force (IDF) hawa jamaa wanapigania vita nyumbani kwao na nyumbani kwa adui na wanashinda.
Ukifuatilia masuala ya alliance kwenyw vita unaweza ukawa kichaa, Yan huyu anamsaidia huyu, kesho wamegombana, mara huyu na huyu tumpige yule kesho wamegombana, Aisee mi sitakag hata kusikiaga huo upuuzi, yan ni balaa bin mavurugano, Ndio mana vita ambayo haona umbea umbea ni palestine na israel,
Btw hongera kuwa shabiki wa IRON DOME
 
Unafikiri wao USA hawaoni hayo???......USA usiwaze kuanguka kabisa
Wanaona lakini hawana cha kufanya ili kuzuia isitokee. Hili swala la kuanguka huamuliwa na nyakati. Wakati ukifika linatokea tu upende au usipende. Na hii amini maneno yangu huamuliwa na Mungu baada ya laana kuzidi. Uonevu, ushoga kama Sodoma na Gomora, Utoaji mimba, n.k. Haya mambo Mungu hayafumbii macho. Things or events in this world happens in retrospective way. Kwa tafsiri isiyo sahihi vitu au matukio ktk dunia hii hujitokeza kwa namna ya kujirudia. Hizi fasheni za kiduku zilikuwapo zamani ziliitwa uchinjo, hizi siasa zilizofanywa na Lowassa zilifanywa miaka mingi sana kabla ya kuzaliwa kristo, hii vita ya waislam na makafiri ilitokea miaka mingi sana fuatilia the crusade na the Ottoman Empire, hizi suruali za kubana fasheni yake zilitokea miaka ya zamani, haya ni machache tu nikiyataja. Usisahau utawala wa Farao wa Misri ulikuwa na nguvu sana kabla ya Utawala wa Roma au wa Marekani. Namna unavyoona muundo wa serikali, utawala, uchaguzi, au vyama vya kisiasa, au vyombo vya sheria au ubabe wa Marekani wameiga kila kitu cha utawala wa Roma wa miaka elfu kadhaa kabla ya kuundwa kwa taifa la USA. Na kabla ya USA miaka ya kati dola la mfalme wa Uingereza lilikuwa linatawala sehemu kubwa ya dunia. Yuko wapi Alexanda The Great? Kwa hivyo kila kitu kina mwisho. Jaribu kusoma vitabu vya dini na historia. Tafuta kitabu kinaitwa Imperium utajifunza mengi kuhusu utawala wa Roma kisha linganisha na huu wa USA utaona wanaiga hadi nukta. Hawa maseneta na hii electral collage na hii kura ya popular vote vyote wameiga. Hivyo watafuata njia ya wanao waiga.
 
Warumi walikuwa wanaenda kuvamia himaya nyingine wanaitawala kama koloni lake wanavuna utajiri wake kama wanavyofanya wamarekani sasa wanavamia nchi zingine kwa kisingizio cha demokrasia au ughaidi, au silaha za maangamizi kisha wanaanza kuvuna rasilimali za hiyo sehemu ili kupeleka utajiri kwao marekani.
 
Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,

My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.

US army still ni strongest n the best
Don't forget area 51 kuna technology gani za ajabu ajabu
 
Wanaona lakini hawana cha kufanya ili kuzuia isitokee. Hili swala la kuanguka huamuliwa na nyakati. Wakati ukifika linatokea tu upende au usipende. Na hii amini maneno yangu huamuliwa na Mungu baada ya laana kuzidi. Uonevu, ushoga kama Sodoma na Gomora, Utoaji mimba, n.k. Haya mambo Mungu hayafumbii macho. Things or events in this world happens in retrospective way. Kwa tafsiri isiyo sahihi vitu au matukio ktk dunia hii hujitokeza kwa namna ya kujirudia. Hizi fasheni za kiduku zilikuwapo zamani ziliitwa uchinjo, hizi siasa zilizofanywa na Lowassa zilifanywa miaka mingi sana kabla ya kuzaliwa kristo, hii vita ya waislam na makafiri ilitokea miaka mingi sana fuatilia the crusade na the Ottoman Empire, hizi suruali za kubana fasheni yake zilitokea miaka ya zamani, haya ni machache tu nikiyataja. Usisahau utawala wa Farao wa Misri ulikuwa na nguvu sana kabla ya Utawala wa Roma au wa Marekani. Namna unavyoona muundo wa serikali, utawala, uchaguzi, au vyama vya kisiasa, au vyombo vya sheria au ubabe wa Marekani wameiga kila kitu cha utawala wa Roma wa miaka elfu kadhaa kabla ya kuundwa kwa taifa la USA. Na kabla ya USA miaka ya kati dola la mfalme wa Uingereza lilikuwa linatawala sehemu kubwa ya dunia. Yuko wapi Alexanda The Great? Kwa hivyo kila kitu kina mwisho. Jaribu kusoma vitabu vya dini na historia. Tafuta kitabu kinaitwa Imperium utajifunza mengi kuhusu utawala wa Roma kisha linganisha na huu wa USA utaona wanaiga hadi nukta. Hawa maseneta na hii electral collage na hii kura ya popular vote vyote wameiga. Hivyo watafuata njia ya wanao waiga.
Mambo ya kuita wenzio makafiri yanakujaje sasa??..
Ukituit waKristo unapungukiwa nini...USA anabeba chapa ya mnyama 666 ..na hiyo ndo symbol ya mpingakristo haiwez kufall hadi yaliyotabiliwa yatimie....yaani baadae USA na wayahudi watakuj Kuwa maadui baada ya Jews kuwa forced waabudu beast ktk hekalu takatifu litalojengwa(chukizo)...
Hiyo ni short brief Power ya US kuja kushuka sahau...jifarijini tu
 
Back
Top Bottom