Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,256
- 13,367
Hawa ndio vijana Wa Tz kila mtu anakuja na hoja yake kujifanya wanazijua sana USA NA RUSSIA kuliko hata viongozi Wa nchi hizo..
Mtu anakomaa kubishana wakat yuko rorya na mbagala kisa tu kaingia Google na kusoma paragraph moja tayar anajifanya kulichambua jeshi lote la urusi na USA
.. Hivi mmewahi kujiuliza kwann ubishani wenu Wa kijeshi juu ya nchi hizi mbili haufiki mwisho??
Jibu ni kwamba mnabishania msichokijua.. Hapo mnabishania maandishi na sio vitendo..
Ww unayeizungumizia hyo Satan-2 ni lini hyo Satan ilirushwa kutoka urusi mpaka nchi nyingne na ikaja na matokeo uliyoandika hapo??