Urusi watengeneza Satan 2

Urusi watengeneza Satan 2

Ikitokea battle ndo tutajua nani mkaree kuna mambo mengine yapo chini ya kapeti kwan hata bomu la nyuklia mwaka 1960 hakuna aliejua..kuna nchi kama Germany huwezi kuzi ander estimate kwenye vita kuna mambo meeeengi sana nakumbuka japan walitumia war plane kama suicide bomber wakawa wanashuka nazo mguu wa shingo mguu wa roho kikinuka mtayaona ma biological weapons mpaka ma ebola vita ni vita mura acha kabisa
Umehit point. Niliwahi kusema kuwa kijeshi vitu vipo classfied sio kila kitu kipo hadharani,

Ndio mana hata specification za missile/fighter zinatlewaga za chini alaf real zinakua hidden, Anaejua ukweli kuhusu details zote labda ni kikosi kinachofanya operation kwa kutumia vifaa husika, mtangenezAji na maafisa waandamizi labda na raisi/waziri wa ulinzi

Ila kuwan vifaa ni issue nyingine na vita ni issue nyingine,
Kumbuka Marubani wa Iraq walikataa kurusha ndege kupambana na wa USA during operation iraqi freedom, So vifaa havikusaidia kitu

My point:kuna siri nzito sana chini ya kapeti la super powers, Hakuna alietegemea bomu la hiroshima wala nagasaki, So kuna vitu vingi hatujui,

Narudi kumpigia chapuo USA:kumbuka wwII anamchapa mtu na atomic bomb na bila yy ile vita isingeisha aisee, Shikamoo USA, sasa pimia how advanced hiyo technology itakua kwa sasa
 
Kuweka bases kwenye nchi mbalibali ni kawaida tu pia kujenga counter ICBM facilities kwenye nchi mbali mbali ni jus defensive measure,

Hakuna aliyeidharau urussi hata kidogo, Hakuna aliye under-estimate urussi hata kidogo, Binafsi najua kabisa how strong they are, ndio maana USA ana set defensive lines zake mapemaaaa

Ila in case of best/strong army and advanced technologies USA ndio Mume
amgekuwa ana strong army na technologia kama unavyosema asiingeangaika asubuhi na mchana kiasi hicho anajua fika mwenzake yuko vzr kuzidi yy ndio maana anahangaika
 
Nielewe mkuu, Kwa sasa Usa wapo kwenye mpango wa kuandaa vikosi ambavyo vitakua na uwezo wa kufika popote duniani within one hour tofauti na sasa ambayo ni 96 hours for carriers battle group na 48hours kwa majeshi mingine tofauti na carrier crew.

KUjenga bases mbali mbi duniani sio kupambana na russia ni kuwa wanahitaji kuwa na fast response kwenda eneo lolote duniani wakihitajika, Kumbuka pia zile airbases zinajengwa ni kwa fast response unit tu, COz ndege zina limited range hebu wazia kwa mfano iraq wanahitaji msaada wa haraka unadhan ndege itatoka USA, Lazima itoke kwenye nearest bases,

Sio kila base us anajenga ni kwa ajili ya kujihami na Russia
 
Marekani ni umoja wa nchi nyingi lkn urusi ni nchi moja kwa hiyo markan bado ni dhaifu tuu kwa mrusi ndiyo maana hataki taifa lolote liungane na urusi
 
Marekani ni umoja wa nchi nyingi? Zitaje,
Nina msahihisha huyo ya kwamba,
Marekani na washirika wa Ulaya almaarufu NATO. 28 + Marekani =.........??

Jibu bado halijapatikana na halitopatikana sababu bado hawajiamini..

Shikamooo Urusi.......!!!!
 
Kuchukua defensive measures au kuungana ni kutokujiamin?
 
Umehit point. Niliwahi kusema kuwa kijeshi vitu vipo classfied sio kila kitu kipo hadharani,

Ndio mana hata specification za missile/fighter zinatlewaga za chini alaf real zinakua hidden, Anaejua ukweli kuhusu details zote labda ni kikosi kinachofanya operation kwa kutumia vifaa husika, mtangenezAji na maafisa waandamizi labda na raisi/waziri wa ulinzi

Ila kuwan vifaa ni issue nyingine na vita ni issue nyingine,
Kumbuka Marubani wa Iraq walikataa kurusha ndege kupambana na wa USA during operation iraqi freedom, So vifaa havikusaidia kitu

My point:kuna siri nzito sana chini ya kapeti la super powers, Hakuna alietegemea bomu la hiroshima wala nagasaki, So kuna vitu vingi hatujui,

Narudi kumpigia chapuo USA:kumbuka wwII anamchapa mtu na atomic bomb na bila yy ile vita isingeisha aisee, Shikamoo USA, sasa pimia how advanced hiyo technology itakua kwa sasa
Kasome upya historia coz kama uliisoma basi hukuielewa.

Baada ya USSR kuimaliza Ujerumani huko Ulaya. Joseph Stalin aliamuru vikosi vyake vielekee China ili kuwaondoa Japan huko hasa katika eneo la Manchuria na Korean Peninsula.

Expectation ya Marekani ilikuwa kuwa USSR isingefanikiwa kuishinda Japan kwani Uingereza, Ufaransa na Marekani wenyewe walishashindwa katika initial attemp hali iliyosababisha Wachina walemewa sana na Wajapan ambao walikuwa very advanced ki-teknolojia kuliko Wachina. Hali hii ilisababisha WW2 ichelewe kuisha huko Asia mashariki kwani huko Ulaya vita ilikuwa ishaisha.

Stalin alishaahidi kupeleka majeshi huko Uchina na Korea kwa sharti kuwa amalize kwanza vita vya kumng'oaHitler Ulaya. Alitimiza ahadi yake August 1945.

Ilikuwa ni vita iliyowashangaza sana Europeans na Americans kwani matokeo yake yalikuwa kinyume kabisa na matarajio yao.

Mashambulizi ya vikosi vya ardhini vya USSR huko China yalikuwa ya kasi sana na iliwachukua Warusi only 22 days kuwang'oa kabisa Wajapan kutoka China na kiasi cha eneo la Korean Peninsula.

Hali hii ilimshtua sana Marekani. Itambulike kwamba mpango wa USSR ulikuwa ni kuingia visiwa vya Japan na kumlazimisha Mfalme wa Japan ku-surrender. Tafsiri yake ni kwamba endapo USSR ingefanikiwa basi Japan ingekuwa under the influence of Communism instead of Capitalism.

Kwa kuiona hatari hii Marekani aliamua kumuwahi USSR kuingia Japan ila si kwa kutumia Conventional War maana alishashindwa approach hii bali aliamua kutumia newly developed Atomic Bombs. Kwa njia hii Marekani akaiwahi USSR kuingia Japan na hatimaye Japan ikawa under American influence hadi leo.

USSR hakuwa na ujanja kwani back then USSR alikuwa bado hajagundua Atomic Bombs. So, majeshi ya USSR hayakuingia Japan.

Baada ya Marekani kufanikiwa kuizuia USSR isiingie Japan. Ulibaki mtihani mwingine wa kuizuia USSR isiichukue Korean Peninsula yote coz walikuwa wameshachukua kama nusu ya hiyo Peninsula. Marekani ikatuma vikosi haraka Korea kusini na kwa kushirikiana na majeshi ya ukombozi ya Korea wakawa wanaelekea kuwakabili Warusi. Ndipo USSR ilipositisha ku-advance southward. Pale majeshi haya yalipokabiliana ndipo ulipochorwa mstari wa kwa kwanza wa demilitarized zone unazitenganisha North and South Korea.

Fukuto hilo lilibaki frozen kwa muda hadi mwaka 1950 vilipoibuka vita ya Korea. But this time USSR hakuingia vitani direct but alimtumia China kama Proxy kwa kumpa silaha na mafunzo. Marekani yeye aliingia vitani moja kwa moja akiwa upande wa Korea Kusini while China alikuwa upande wa North Korea. Majeshi ya China yalifanikiwa kuizuia Marekani asichukue Korean Peninsula yote na ile line of demilitarized zone ikabaki almost vilevile though initially wakati wa vita ilihama sana in favour of Americans.
 
japan ndio alikua mbishi wa game peke ake, .

Ussr ni kweli aliahid ataenda vamia japan nakubali,
Kumbuka japan walisema watapigana mpaak to the BITTER END,
Us waliwaamia japan wakubali ku-surrender ila hawa wajomba walivyo wabishi wakakaza,

Basi mshua Harry S. Truman, Aliruhusu washambuliwe kwa atomic bombs la kwanza pale hiroshima, Na akwaambia wasipokubali kushindwa mvua kama hiyo itaendelea kuwashukia, Ikiwa bado wanajifanya wabishi wakashushiwa tena mzigo mwingine pale Nagasaki, Kuona hivyo jamaa wakakubali kuolewa tu haikua na jinsi
Kipindi hayo yote yanatokea russia bado alilua kila.za wa silaha za atomic,

Baada ya japana ku surrender ikawa nio bye bye ya ww2.

Urussi ni kweli alipambama sana na alijitahid kwa nguvu sana kuikomboa europe kwa sehemu kubwa mnoo.
 
Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,

My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.

US army still ni strongest n the best
Pia usisahau na S400
fd56f7f9d15da63db0b2c2a61ddf72da.jpg
 
Hapo juzi kwenye kampeni Bi Hillary Clinton alisema kwamba akichaguliwa kuwa Rais lazima aweke No fly zone pale Syria.....

Mkuu wa majeshi wa Urusi akawaambia kwamba kama mna ndege zisizo onekana kwenye Radar basi zitie pua pale Syria muone kitakacho fuata..

Naye Mkuu wa majeshi Marekani Joseph Dunford aliionya seneta baada ya kale Kabibi Hillary Clinton kuhoji uwezekano wa kuweka No fly zone pale Syria. Akisema siwezi kuruhu upumbavu kama huo.
And then,y some members in here ctl praising dat American F-22 while it can't even fly around Syrian airspace?
 
Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,

My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.

US army still ni strongest n the best
Kujaza wanajeshi sio tija, anaweza ifunika marekani yoote kwa lisaa, marekani anatumia THAAD, huyu anatumia S400/500,hiyo saturn ina speed ambayo Ant missile za marekani haziwez zuia/iharibu @7km/s, kwa mfano lipo Dar linataka piga Tabora(itaichanganya na singida, katavi na simiyu) kwa dakika 2 tuu
 
Back
Top Bottom