Urusi watengeneza Satan 2

Urusi watengeneza Satan 2

Nakunga mkono kwa hilo Shickland vita vya sakafuni kumbuka pia walienda Somalia miaka ya 90s waliuawa over 80% na wasomali walisalimu amri mpaka Leo mmarekani hamini jinzi gani mkenya alivyo mpiga msomali na kuweka kambi huko huko somali
Sio kweli kabisaa, mimi nabisha,

Kama ni kweli weka source yako hapa nione otherwise ni propaganda tu,

Ila ni kweli kwa somalia walikutana na changamoto nzito na walipoteza vijana wengi
 
Kuwajulisah wenzako u r in trouble i jus a matter of pressing a button, Ni kama stress call za ndege na meli,

Bear in mind waliomkamata ni low techs,

Bado hapo hujaniambia kuhusu high tech, At least aliesema kuhusu satan-2 amesema kuhusu high tech
Mateka anapress button ipi, umeshaona mateka wa vita wanavyokuwa, unajua kuwa mateka wa Isis wanakuwa striped off their original combat dressing?
 
Mateka anapress button ipi, umeshaona mateka wa vita wanavyokuwa, unajua kuwa mateka wa Isis wanakuwa striped off their original combat dressing?
ilikuaje rescue attempt haikufanyika,

Naomba jina lake huyo mjeshi, I need to know more about him
But thts will never be high technology

Kumbuka hakuna mjeshi anaeende battlefield alaf hajui kutoa signal kuwa yupo hatarini,
 
Inawezekana, Ila
Best army ni combination ya navy, Airforce na land forces,
Kwa best army kura yangu ningempa USA,
PIA IWAPO utafuatilia technology nyingi za kijeshi russia yupo nyuma ya USA, Yaani USA wanainvest pesa kubwa sana kutafiti na kugundua vitu vipya, Jiulize kina f15 eagle walitoka mwaka gani, Alaf russia alitoa 4th generation mwaka gani, nani alianzisha stealth technology,(kumbuka f117 night hawk), Fuatilia kuhusu NIMITZ CLASS CARRIERS, , yan ni mbo mengi,

My take: ni ugunduz mzuri, Najua halitatumika, Limewekwa mkwara tu. Ila ni hatua kubwa kwao(japo haina manufaa kwetu)
Ila je ipo vipi mbele ya anti-ballistic systems, Kumbumba us antiballistics system inadetect tangu pale ballistic inapokua launched.

US army still ni strongest n the best
naomba unielezee kuhusu hyo ant balistic syterm
 
Great observation however, ni vyema kukumbuka kuwa Military Research and advancement hutegemea pia na sera ya nchi husika. Kwa USA ambao sera yao ni kuvamia nchi nyingine (tazama idadi ya vita walizopigana nje ya nchi yao) it is in their best interest kuwa na hizo Stealth tech, aircraft carriers an so forth. Unlike nchi nyingine kama Russia ambao hawana sera hiyo hawana sababu ya kuwa nazo or invest more on developing them. Kitu kingine, ni gharama za kutafiti, kujenga na kuendesha vifaa hivyo. Everytime you send a Nimitz out inabidi iwe na escort ya Destroyers za kutosha for its protection. That means, every time you create on carrier you need to create or at least to have those destroyers.

800px-US_Navy_031130-N-3653A-002_USS_George_Washington_%28CVN_73%29_Carrier_Strike_Group_formation_sails_in_the_Atlantic_Ocean.jpg

Issue nyingine ni mambo ya usalama, in case aircraft carrier moja imezamishwa na enemy, it means you've lost 5,000+ crew members and more than 60 aircraft. So if you combine all that, unaona kama huzihitaji hakuna sababu ya kuwa nazo.

Jambo la mwisho la kuwaza ni kuwa USA is major defense contractor, wanauza sana silaha mbalimbali kwa mataifa mengine, hivyo every promo invention you see, look at it as advertisement.

Now back to topic, sina ujuzi or qualification ya kusema jeshi lipi ni zuri or imara, but I understand each country in strength zake na weakness zake za kutosha tu. Media show us the good side, but even kwenye US army kuna madudu hadi unashangaa. Check the video below by John Oliver, akizungumzia US nuclear facilities. This is British born, working in USA so hakuna propaganda za RT wala Press TV.

Russia ipo kama Tanzania tu, we don't invest much in fighter jets because we don't need them. Planes are not effective air defense tool, missiles are.
 
RUssia kweli amedevelop icbm nyingi sana, Vp kuhusu anti-icbm

Mi kwa uelewa wangu mdogo, Aliye salama ni yule mwenyewe defense capability kubwa na sio attack capability,

Ila kuwa nazo zote mbili ni the best, I hope huyu ni usa
Ant Intercontinental Ballistic Messile za mrusi ni hatari, halafu kwa mujibu wa maelezo ya mitandaoni ni kwamba ICBM za mrusi haziko detactive kwenye rada. Kama unafuatilia habari za kimataifa utakumbuka kuna mazungumzo yalifanyika miaka michache iliyopita kuhusu kuanzisha mfumo wa kujilinda na makombora yanayoruka kutoka bara moja hadi lingine(ICBM)kwa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi(NATO) dhidi ya nchi korofi kama NK na Iran, makamanda wakasema kwamba bila urusi mkataba huo hautakuwa na maana kwa sababu urusi ndio yenye silaha hizo zinazoruka kutoka bara moja hadi lingine.
 
Bro rudi tena kachimbue kwa undani.. Warusi ni hatar Mkuu.. America ni wazur wa propaganda tu.. Lazima urusi ndo kwenyew...
Kwa propaganda zile za Hillary Clinton nashawishika kuamini maneno yako
 
Sawa. Ila niambie uzur wao, Mi nimetoa vimifano vidogo, Mbona We umekulimbilia kusema ni wazuri bila hata mfano BTW najua vitu vini kijesi ni classffied, Basi at least to hata hivyo vya wikipedia ambavyo sio classffied
Huwez amini but ndo ivo... Technolojia ya ndani ya Urusi.. Ni kubwa Kuliko marekani.. Lakini najua utaamini marekani ni bora.. USA are good in psychological attack.. Wanatangaza Bajet kubwa.. Wanapromote filamu za kijeshi za kimarekani wakidisplay huge technology.. So obvious lazima watu waingie kwenye hyo trap.. Nakuamin American is the best Army.
Lakini tafta wanajeshi hata wa hapa tz.. Wanaojua halafu uulize nani mkali kati Ya mrusi na marekani kijeshi na kitechnolojia..
 
Mkuu kumbuka sio kila kitu kinakuwa wazi kijeshi,

YAani kuna vitu ni clasffied kwa usalama wa nchi, Na kuna vitu ni unclassfied

So hapa tuongele unclassiffied tu, MAana tukisema kuhusu siri bazo ni classfied tunadanganyana tu,

Tuongelee vinavoonekaana na akina sie wa thord world a.k.a wadandiaji,

**thibitisha kuwa russia wapo juu ya USA Kijeshi, Tumia hiz hiz source zetu za kila siku.... **
 
Sawa. Ila niambie uzur wao, Mi nimetoa vimifano vidogo, Mbona We umekulimbilia kusema ni wazuri bila hata mfano BTW najua vitu vini kijesi ni classffied, Basi at least to hata hivyo vya wikipedia ambavyo sio classffied
Na zaid Americans wanapenda sifa na ujiko.. They do everything it takes waonekane the best.. Na kuna fact nyingi tu za kihstoria zmepotoshwa kufavor America don't trust everything as it is especially from USA.
 
Mkuu kumbuka sio kila kitu kinakuwa wazi kijeshi,

YAani kuna vitu ni clasffied kwa usalama wa nchi, Na kuna vitu ni unclassfied

So hapa tuongele unclassiffied tu, MAana tukisema kuhusu siri bazo ni classfied tunadanganyana tu,

Tuongelee vinavoonekaana na akina sie wa thord world a.k.a wadandiaji,

**thibitisha kuwa russia wapo juu ya USA Kijeshi, Tumia hiz hiz source zetu za kila siku.... **
Ok ni draw fact zangu kutoka kwa watanzania wenzetu.. Ambao wanazijua hizi nchi vizur.. Kama ukikumbuka kuanzia kpind Cha cold war during 19..Urusi tulikuwa na uhusiano nao mzur tu.. Ko Kuna wanajeshi wetu wengi waliopata mafunzo ya ndani ya kiusalama ndani ya jeshi la Urusi.. Na pia ndo hao hao baada ya tz kutoumana na na upande wowote walinusa pia upande wa pili.. Ko nlipata uchambuzi mkubwa toka kwa jamaa hao.. Kias kwamba Kama ulivyosema kuna vitu vingine u can't write them here..
Watu hao ndo walinchambulia kwa kina na mifano..
Confident naamin Russian army is the best Army in relation to American.

Tafuta wataalum wa nyuklia dunian.. Ukiwapata Angalia the list ni wangapi wanaotoka nje ya Urusi.
 
Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia
Kuzijadiri ndio sisi hapa tutazinunua? Hao wakuu wako wa Giningi tukijadiri masuala ya nchi yao wanatushitaki kwa uchochezi. Bora nini?

Mi nadhani tuendelea kujadiri nchi za wanaume wa haja akina Putin. Live Long my friend Putin.
Tusifie na kujadiri wanaume wakati Giningi wakikomoana kisiasa na kusomeshana tarakimu.

NB; Welcome Trump colonize Us!
 
Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Mwenzako Russia aki-endorse kopo lake la nyuklia hiyo navy na anga na ardhi utavitumia wapi na atakuwa kashaifanya nchi majivu pamoja na hiyo mibomu yenu(us)
Kumbuka Russia ni Mobile missile hahitaji kuja kwako yeye yupo ofisini anapiga azam mango huku akibonyeza kitufe kudondoshea kwako. Utajuta!
Sorry sijui juice ya Russia
 
Hivi kwanini asilipue tu bongo ili tupotee tu maana hatuna muelekeo kabisa
Mimi nina muelekeo labda walipue familia yako, mda huu nipo ofisini (Serikalini) jioni nitakua na wahudumu wangu wa Saloon zangu na Mgahawa wanipe Taarifa huku nikipata bia mbili tatu, jana nimelipa ada zote za wadogo wangu wawili waliokosa Mkopo UD na UDOM, Kesho naenda Kiwangwa kusimamia chanjo ya kuku shambani kwangu nikitoka huko narudi home nikae na familia yangu, jioni naelekea sehemu nimesikia patakua na Bendi. Kesho kutwa Jpili tukitoka ibada na familia tunaelekea Beach tukapigwe upepo mpaka jioni, then Jumatatu ratiba ya kazi inaendelea.... baada ya kusema hivi naomba tusilipuliwe mimi nafurahia maisha
 
Na zaid Americans wanapenda sifa na ujiko.. They do everything it takes waonekane the best.. Na kuna fact nyingi tu za kihstoria zmepotoshwa kufavor America don't trust everything as it is especially from USA.
Zipi hizo? Mbona hamzitaji, Mnaishia kusema zipo mana sio kweli mara hiki mara kile, Si mseme tu na sie wengien tuelimike
KUmbuka vita sio mabomu tu, kUmbuka kuna vita ya kisaikolojia so america sio wajinga kuanza kuwashikia watu akili.
 
Sawa mkuu America is the best...
 
Back
Top Bottom