Urusi ni nchi tajiri sana msidanganywe na propaganda

Hii vita ya ukraine imetufunulia mengi,
Tuliyokua hatuyajui miaka nenda rudi
 
Sawa. Nawe leta data za kuaminika basi. Au maneno yako yanatosha?
Ninachomasnisha ni kwamba mara nyingi vyombo vya magharibi vimekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia sababu wao ndo hujifanya kuamua vipimo vya maendeleo ya Dunia, Sasa linapo kuja swala la urusi Huwa Wana chemka. Ila simaanishi warusi Wana maisha mazuri Sana Lila wako vizuri kuliko nchi nyingi za ulaya na Asia, Nyumba za kuishi zipo huwezi Kuta homeless pia matibabu ni uhakika . Nchi za magharibi mfuko wako ndo unaoamua aina ya matibabu
 
Dogo kwenye kujenga hoja za kisomi unatakiwa kuweka supporting data. Kama hauna potezea.
 
Back
Top Bottom