Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

Kweli ni hasara, kwanini ametumia muda mrefu? Lakini Kuna maswali Je idadi ya askali waiiokufa inaakisi uzito wa Vita. Kweli nihao au pungufu au zaidi ,vip adui yake NATO. YEYE amepata faida gani? Tuangalia Kwa jicho la tatu hivi ni vita vya kuchoshana sio kutafuta ushindi wa haraka.Wangetaka haraka wangetumia nyuklia. Pia ilikuepusaha maafa ya askali wengi SASA hivi Urusi anapigana Kwa uangalifu kuliko pale mwanzoni sababu ameshajua kuwa anapigana na NATO na washirika wao. HIVI NI VITA VYA KISASA ZAIDI KUWAHI KUPIGANWA. UNAHITAJI KUMSOMA ADUII WAKATI UNAENDELEA KUPIGANA
Ni kweli vita inapiganwa kwa tahadhari za kulinda Raia wasife kwa wingi na Urusi anazidi kujichimbia amepenyeza nguvu kubwa kwenye jeshi la Ukraine anawachunguza mda si mrefu ataishangaza Nato pindi akiteka Bandari kuu ya Ukraine
 
Usikimbie au kuteleza kiaina bila kutujibu maswali haya tafadhari.

1. Nakubaliana na wewe kuwa nchi hizi mbili zina rasilimali zinazoisaidia Dunia pamoja na ardhi nzuri yenye rutuba inayoweza kuirisha Dunia.

2. Umesema kuwa Putin yuko kwenye point of No return kwamba hawezi kukubali ashindwe vita. Kwa nini amemtumia China ili ashawishi Ukraine wakae mezani na Russia wayamalize? Kwa nini asingekataa kama alivyokataa Ukraine habari za kukaa kwenye majadiliano?

3. Je, Russia ndo ana silaha Nzito kuliko USA, German na washirika wao mpaka useme kuwa Russia atatumia mpaka silaha ya mwisho mpaka ashinde vita.

4. Je, ni kitu gani sasa kinachomfanya Russia asimalize vita hii kwa kumchakaza Ukraine na kuichukua nchi?. Kumbuka mwanzo Russia aliitangazia Dunia kuwa ni special military operation ya masaa 72 tu akiamini kuwa angeiteka ukraine kwa siku 3 tu.

5. Umesema mashambulizi ya Russia kwa siku 7 yametikisa mifumo ya anga ya Ukraine. Je, mashambulizi yake ya siku 12 mfululizo kwa kutumia makombora mazito yameharibu/kuteketeza mfumo wa ulinzi wa anga upi wa Ukraine? Na Je, USA & German hawana mifumo ya anga mingine imara zaidi ya IRIS-T na Patriot?

6. Je, Russia ana mfumo gani mwingine imara wa Ulinzi wa anga zaidi ya S-400 series?
Marekani huchemsha sehemu nyingi hata kama ana kila kitu Somalia Vietnam alifeli na sasa Ukraine atafeli zaidi kwanza Bunge la USA hawataki kuingilia vita ya Ukraine kwa msaada wanaogopa Urusi kuja kutumia nyukilia ikaleta balaa Duniani
 
2. Kama anaweza kupigana kwa miezi 15 na kufanikiwa kuchukua eneo la SQM 53.9 ambao ni wastani wa SQM 3.6 kwa mwezi. Itamchukua muda gani kuichukua Ukraine yote kwa eneo ambalo hajalichukua zaidi ya SQM 482,960 ?
Urusi hana sabau wala nia ya "kuichukua Ukraine yote", kwa hiyo hapa ndipo uchambuzi wako unapoonyesha udhaifu wake na katika mambo mengine uliyoyataja kwenye mada yako.

Sitayaghusa hayo mengine na kuyapa ufafanuzi kwa sasa hivi.
 
Ukweli ni Urusi yupo Ukraine kwa miezi kibao sasa na Uongo ni Ukraine kudai atawapiga Urusi licha ya kupata misaada mingi tokea NATO
Kelele nyingi za mwanzo toka kwenye vinchi vya NATO zimeanza kufifia, muda si muda wataanza kumhimiza kibaraka wao aingie kwenye mazungumzo na Urusi.
 
Usikimbie au kuteleza kiaina bila kutujibu maswali haya tafadhari.

1. Hebu tueleze ni kwa namna gani Russia anajihakikishia usalama kwa kuchukua Bakhmut na Soledar?

2. Umekataa kuwa Russia/Wagner hawajapoteza wanajeshi zaidi ya 30,000 kwa Bakhmut na Soledar. Wamepoteza wanajeshi wangapi?

3. Kwa kuwa Russia katumia Mercenaries unataka kutuaminisha hao mercenaries siyo sehemu ya Russia kama unavyodai?

4. Hao Red Army wamekufa wangapi Bakhmut na Soledar?

Hebu tujibu hayo maswali tafadhari
Hata kama angekufa askari mmoja ni hasara.

Unapoingia vitani huendi kufanya mzaha, hasa vita unayojua ni kwa uhai wa nchi yako, tofauti kabisa na kwenda kutalii kule kwa akina Taliban.

Unachokosa kuelewa, hivi vita ni ya kufa na kupona kwa Urusi, kwa hiyo gharama yoyote ile inamlazimu aibebe.
 
Tangu Urusi aivamie Ukraine Feb 2022 ni miezi 15 sasa, kuna mengi tumeona na kusikia kwa kila upande katika uwanja wa vita.

Kuna maeneo matano (5) ambayo Urusi na Ukraine wameyafanya kuwa ni ngome za mapigano. Miji hii ni Bakhmut, Soledar, Avdiivka, Kreminna na Vuhledar.

Katika miji hii miwili tu ndo imekuwa maarufu zaidi ambayo ni Bakhmut na Soledar. Hii ni kwa sababu ina umuhimu wake katika medani za kivita. Miji hii ni millitary strategic positions.

Urusi iliwekeza nguvu kubwa sana Bakhmut na Soledar, kwa maana ya millitary equipments na personnel. Waliwekeza nguvu kubwa kwa sababu waliamini kuwa wakiiteka Soledar na Bakhmut basi itakuwa rahisi kwao kusonga mbele kwenye miji mingine muhimu kama Slovyansk, Kramatorsk, Sivers'k, na Kostyantynivka. Bakhmut ndio Center (Military Hub) ya kuifikia miji hii sababu ni makutano ya njia kuu kutoka Horlivka, Luhans'ke, Popasna na Lysychans'k.

Urusi Kuichukua Bakhmut na Soledar kajihakikishia kuwa supply logistic (kwa barabara na Reli) itakuwa imara kwenda frontline.

Ni kweli Bakhmut na Soledar ziko mikononi mwa Urusi kwa 100% hilo halina ubishi, akibisha mtu basi ujue tangu akiwa tumboni alikuwa mbishi. Lakini ukweli ni kwamba Hasara ni kubwa kuliko Faida aliyopata.

Nakiri kuwa pande zote mbili zimepoteza resources kubwa (military equipment and personel). Lakini zaidi Urusi imepoteza wanajeshi wake wengi zaidi ya 30,000 waliokufa achilia mbali majeruhi kwa eneo dogo lenye jumla ya SQM 53.9. Bakhmut ina SQM 41.6 na Soledar 12.3. Bado nasisitiza Hasara aliyopata Urusi ni kubwa kuliko Faida aliyopata.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza. Mimi nitauliza maswali machache na mengine mtaongezea;

1. Nguvu kubwa na rasilimali aliyowekeza Urusi kwa miezi 15 kwa Bakhmut na Soledar zenye eneo la jumla ya SQM 53.9 zimempa hasara au faida?

2. Kama anaweza kupigana kwa miezi 15 na kufanikiwa kuchukua eneo la SQM 53.9 ambao ni wastani wa SQM 3.6 kwa mwezi. Itamchukua muda gani kuichukua Ukraine yote kwa eneo ambalo hajalichukua zaidi ya SQM 482,960 ?

3. Kama imemchukua miezi 15 kuichukua Bakhmut na Soledar tu kwa direction ya Donetsk ni kweli ataweza kuichukua miji ya Slovyansk, Kramatorsk, Sivers'k, na Kostyantynivka, ukizingatia kuwa kila siku Ukraine wanazidi kuimarisha frontline na anga lao?

4. Urusi ataweza kuishikilia Bakhmut na Soledar kwa miezi 3 ijayo.? Au utakuwa ni ushindi wa muda kama ilivyokuwa Kwa Kherson city, Kharkiv na maeneo mengine?

5. Kwa kuwa Prigozhin amesema tarehe 25/05/2023 atawaachia Russian Regular troops ili wakapate mapumzika na mafunzo zaidi. Je, Russia regular troops watamudu peke yao kuushikilia mji wa Bakhmut bila Wagner?
Yaani tz vituko haviishi, yaani Urusi afanye jambo pasi kujua umhimu wa jambo
 
Unajua hesabu kweli? Nadhani ulimaanisha SQKM maana sqm ni urefu in meters times upana in meters. Mji kuwa sqm 54 ni sawa na kiwanja 12 meters urefu na upana 4.5 meters! Hapo hata nyumba haienei
 
Usikimbie au kuteleza kiaina bila kutujibu maswali haya tafadhari.

1. Nakubaliana na wewe kuwa nchi hizi mbili zina rasilimali zinazoisaidia Dunia pamoja na ardhi nzuri yenye rutuba inayoweza kuirisha Dunia.

2. Umesema kuwa Putin yuko kwenye point of No return kwamba hawezi kukubali ashindwe vita. Kwa nini amemtumia China ili ashawishi Ukraine wakae mezani na Russia wayamalize? Kwa nini asingekataa kama alivyokataa Ukraine habari za kukaa kwenye majadiliano?

3. Je, Russia ndo ana silaha Nzito kuliko USA, German na washirika wao mpaka useme kuwa Russia atatumia mpaka silaha ya mwisho mpaka ashinde vita.

4. Je, ni kitu gani sasa kinachomfanya Russia asimalize vita hii kwa kumchakaza Ukraine na kuichukua nchi?. Kumbuka mwanzo Russia aliitangazia Dunia kuwa ni special military operation ya masaa 72 tu akiamini kuwa angeiteka ukraine kwa siku 3 tu.

5. Umesema mashambulizi ya Russia kwa siku 7 yametikisa mifumo ya anga ya Ukraine. Je, mashambulizi yake ya siku 12 mfululizo kwa kutumia makombora mazito yameharibu/kuteketeza mfumo wa ulinzi wa anga upi wa Ukraine? Na Je, USA & German hawana mifumo ya anga mingine imara zaidi ya IRIS-T na Patriot?

6. Je, Russia ana mfumo gani mwingine imara wa Ulinzi wa anga zaidi ya S-400 series?
Maswali yako na sum. 1. Tangu siku ya kwanza Urusi anapigana na NATO siyo Ukraine. Tafuta bajeti ya fedha, vifurushi vya silaha na logistics kutoka Marekani na washirika wengine wa NATO. Vifaru chapa Leopard nk. Rejea nyaraka zilizovuja za Pentagon.

Pili, mfumo wa patriot wa US umetikiswa vibaya mno last week. Wanakiri umetikiswa ila haujaharibiwa. Mzungu akisema hivi unaelewa...😀😀😀. Kuhusu Urusi na China yuko wazi amani itahusu majimbo manne iliyokamata kuwa Urusi si vinginevyo.

Mwisho, mimi ni muumini mkubwa wa amani na usalama duniani. Tuombe amani amani amani na usalama duniani. Vita hii imeharibu uchumi wa dunia na maisha ya wakulima wengi wa Afrika. 🙏🙏🙏
 
5. Putin amechezewa changa la macho why kiufupi wanamtaka mkuu wa wagnér na ili kumpata nikumpa tonge la nyama na kwa kuwa nimroho atalifakamia ila kichwa chake ndio hali yao while anafakamia nyama. Nyie tulieni Putin atalia kama ubwa alie acha yatima na mama yake while ana nyonya. Hii vita inapigwa kwa akili kubwa sana kiasi Kuna siri siwezi kuziandika hapa ila tulieni Mrusi atalia kiasi Dunia itasikia. Siku za Putin ni fupi sana kuliko kesho na anajuwa muda wake upo ukingoni. Huwezi pigana vita huna chakula huna pesa.
Ukraine hawana kitu bank nyingi Urus alichukua pesa walizozikuta
 
Ni kweli vita inapiganwa kwa tahadhari za kulinda Raia wasife kwa wingi na Urusi anazidi kujichimbia amepenyeza nguvu kubwa kwenye jeshi la Ukraine anawachunguza mda si mrefu ataishangaza Nato pindi akiteka Bandari kuu ya Ukraine
How???
 
Marekani huchemsha sehemu nyingi hata kama ana kila kitu Somalia Vietnam alifeli na sasa Ukraine atafeli zaidi kwanza Bunge la USA hawataki kuingilia vita ya Ukraine kwa msaada wanaogopa Urusi kuja kutumia nyukilia ikaleta balaa Duniani
Hapo ndo umejibu tulichouliza au una stimu zako. Off the point.
 
Ukweli Urusi ndiyo anaenda vizuri kwani Ukraine licha ya misaada yote kashindwa kuyafukuza majeshi ya Urusi tokea ndani ya Ukraine na hata Ukraine wameshindwa kutuma ndege za kivita Moscow?vita ni piga nikupige sasa mbona Ukraine haendi kupiga Urusi ?kashindwa vipi kufika Urusi?
Inaelekea hata hujui kinachoendelea ila na wewe unataka uonekane unajua kumbe unajiaibisha mbele za watu.
 
Urusi itachezeshwa shere kwenye huu uvamizi mpaka ichanganyikiwe.
 
Maswali yako na sum. 1. Tangu siku ya kwanza Urusi anapigana na NATO siyo Ukraine. Tafuta bajeti ya fedha, vifurushi vya silaha na logistics kutoka Marekani na washirika wengine wa NATO. Vifaru chapa Leopard nk. Rejea nyaraka zilizovuja za Pentagon.

Pili, mfumo wa patriot wa US umetikiswa vibaya mno last week. Wanakiri umetikiswa ila haujaharibiwa. Mzungu akisema hivi unaelewa...😀😀😀. Kuhusu Urusi na China yuko wazi amani itahusu majimbo manne iliyokamata kuwa Urusi si vinginevyo.

Mwisho, mimi ni muumini mkubwa wa amani na usalama duniani. Tuombe amani amani amani na usalama duniani. Vita hii imeharibu uchumi wa dunia na maisha ya wakulima wengi wa Afrika. 🙏🙏🙏
Wabongo mna shida sana.
Unaulizwa maswali unashindwa kuyajibu na badala yake unapiga blablaa ambazo ni tofauti na ulichoulizwa. Si bora ungeuchuna tu ungeepuka aibu ya kukosa hoja.
 
1. Lengo la SMO lilitakiwa kukamilika kwa muda gani?

2. Je, nani tumwamini kati yako na Putin? Maana Putin tarehe 9/05/2023 aliitangazia Dunia kuwa "This is a real/True war" na wewe unatuambia ni SMO.

3. Kwa hiyo wewe una amini kuwa Russia kuivamia Ukraine ni kujihakikishia usalama. Je, anajihakikishia usalama kutoka kwa nani?
1. Nina lengo la kuwaMfanyabiashara tajiri, ila usije kesho tu ukasema 'Mbona hadi leo hujawa tajiri kumbe hata hilo sio lengo lako kweli, utakuwa na malengo mengine wewe'.
2. Nikijibu kama ulivyoulizwa ntasema labda SMO imepelekea hiyo vita unayosema. Kama ambavyo ukinikuta nimekuwa mwanasiasa baada ya kuwa mfanyabiashara tajiri usishangae.
3. Hahahahaah, Ndiyo...... maadui zake.
 
Back
Top Bottom