minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Ni kweli vita inapiganwa kwa tahadhari za kulinda Raia wasife kwa wingi na Urusi anazidi kujichimbia amepenyeza nguvu kubwa kwenye jeshi la Ukraine anawachunguza mda si mrefu ataishangaza Nato pindi akiteka Bandari kuu ya UkraineKweli ni hasara, kwanini ametumia muda mrefu? Lakini Kuna maswali Je idadi ya askali waiiokufa inaakisi uzito wa Vita. Kweli nihao au pungufu au zaidi ,vip adui yake NATO. YEYE amepata faida gani? Tuangalia Kwa jicho la tatu hivi ni vita vya kuchoshana sio kutafuta ushindi wa haraka.Wangetaka haraka wangetumia nyuklia. Pia ilikuepusaha maafa ya askali wengi SASA hivi Urusi anapigana Kwa uangalifu kuliko pale mwanzoni sababu ameshajua kuwa anapigana na NATO na washirika wao. HIVI NI VITA VYA KISASA ZAIDI KUWAHI KUPIGANWA. UNAHITAJI KUMSOMA ADUII WAKATI UNAENDELEA KUPIGANA