Urusi: Kremlin wametoa picha za Rais Putin akiwa mapumzikoni Siberia baada ya minong’ono juu ya afya ya Rais huyo kuwa mingi

Mpinzani wake wa kisiasa alimfunga jela na huko alimchoma sindano yenye maambukizi ya HIV. Ni jini tu anaweza kutenda hayo.
duuu hatari Sana huyo mpinzani wake naye akili za kujiongeza Hana,yaani Kwa akili za kibinadamu kabisa unaamua kushindana na jitu ambalo historia ya maisha yake imejaa utata na contradiction kibao
Nyamela ambalo lipo Kama Ghost flani Hivi limeshindikana tokea ujana wake Kwa akili za Hali ya juu na interegent kuliko viwango vya kawaida!
Ila sometimes jitu Kama hili utakuta limeitoa nchi mbali Kwa juhudi zake halafu anatokea pimbi anapambana na wewe kiboya anamalizwa asubuhi tu!
 
Unamacho halisi,Mimi nilisha ongea hayo eneo flani nikaonekana ni mshirika wa anga za uajemi nikafunga mdomo
Unajua mkuu huyu jamaa historia ya maisha yake imejaa utata mtupu,yupo Kama Ghost flani Hivi imagine alikua spy wa hatari aliyeshindikana na Dunia Hivi Kwa kawaida tu huyu sio mwenzetu Aisee maana mbinu za kijasusi alizokua anatumia mpaka Leo mataifa makubwa yamewaacha mdomo wazi!
 
wewe jamaa Aisee Hivi Kuna kiongozi yeyote wa kiafrika ana akili Kama za Putin
Huyo hata wazungu wenzake wanamgwaya na kumwona Kama Vampire la Hatari sembuse mbusi ya fasi kutoka shithole!
Lazima ujione shithole sababu ndio ubongo wako ulilishwa hivyo na hao unaowaabudu.

Tofauti ya Putin na viongozi wa Afrika ni moja tu, kwamba Putin anatawala taifa la watu wabunifu ambao hawategemei chochote toka kwa wazungu basi.

Misimamo ya Putin alikuwa nayo pia Mugabe ila Mugabe alifeli sababu raia wake ni wapumbavu, hawajui kubuni chochote, ni tegemezi kwa wazungu.
 
Ila na yeye sijajua kama ana mpango wowote wa kufanya succession. Ni kama anadhani bado ana miaka buku ya kuongoza.
Hana mpango wowote ule si unaona hata PM wake ni Mishustin ambaye hana ushawishi. Wenye ushawishi wote aliwaondoa akawapa vyeo vidogo, kabaki na Shoigu asiye na mambo mengi sana kisiasa
 
Lazima ujione shithole sababu ndio ubongo wako ulilishwa hivyo na hao unaowaabudu.

Tofauti ya Putin na viongozi wa Afrika ni moja tu, kwamba Putin anatawala taifa la watu wabunifu ambao hawategemei chochote toka kwa wazungu basi.

Misimamo ya Putin alikuwa nayo pia Mugabe ila Mugabe alifeli sababu raia wake ni wapumbavu, hawajui kubuni chochote, ni tegemezi kwa wazungu.
hakuna mtu naemuabudu ila ukweli mchungu utaukataa ila hautabadilisha kitu

Halafu kumfanisha Putin na Mugabe ni sawa na kufananisha Pilau na makande Kwa kusema zote ni nafaka na hazina tofauti
Ila upikaji tu!
 
Utofauti wao ni upi?

Nmeshakuelewasha kwamba utofauti wa Putin na viongozi wa Afrika ni moja tu kwamba kule wazungu hawawezi kumfanya lolote maana anatawala taifa la watu wabunifu,
 
Utofauti wao ni upi?

Nmeshakuelewasha kwamba utofauti wa Putin na viongozi wa Afrika ni moja tu kwamba kule wazungu hawawezi kumfanya lolote maana anatawala taifa la watu wabunifu,
Sawa Mzee baba nimekupata Ndio unifokee?
😜😜😜
 
Akiondoka madarakani Russia inapata rais soft kama samia suluhu, baada ya hapo NATO watakuwa wanajipigia tu.
Sergey Shoygu siyo soft kabisa yule ni Mchina anatabia kama za Xi. Bora hata Putin Sergey hacheki na nyani

duuu hatari Sana huyo mpinzani wake naye akili za kujiongeza Hana,yaani Kwa akili za kibinadamu kabisa unaamua kushindana na jitu ambalo historia ya maisha yake imejaa utata na contradiction kibao
Nyamela ambalo lipo Kama Ghost flani Hivi limeshindikana tokea ujana wake Kwa akili za Hali ya juu na interegent kuliko viwango vya kawaida!
Ila sometimes jitu Kama hili utakuta limeitoa nchi mbali Kwa juhudi zake halafu anatokea pimbi anapambana na wewe kiboya anamalizwa asubuhi tu!
https://img.etimg.com/thumb/msid-59...e-4,imgsize-154409/5-mikhail-khodorkovsky.jpg
1632747334645.png

A Russian court has placed ex-oil tycoon Mikhail Khodorkovsky on an international wanted list over the 1990s murder of a Siberian mayor.
Mr Khodorkovsky has been living in exile in Europe since he was pardoned by President Vladimir Putin in 2013 after 10 years in jail for fraud.
He told the BBC he was considering applying for political asylum in Britain as one of several options.
Russia's once-richest man said the authorities had "gone mad".
Mr Khodorkovsky is accused of ordering several of his employees to kill both the mayor and a businessman, who survived.
Investigators allege Vladimir Petukhov, the mayor of Nefteyugansk, was killed on 26 June 1998 for demanding Mr Khodorkovsky's oil firm, Yukos, pay taxes that the company had been avoiding.
Local businessman Yevgeny Rybin was allegedly targeted because his activities "clashed with Yukos's interests", Russia's powerful Investigative Committee (SK) said in a statement (in Russian) as it announced his arrest in absentia.
Mr Rybin survived a gun attack in November 1998 and a second attack on his car in March 1999, when another man in the vehicle was killed and several people were injured.
Five people have already been tried for the attacks and the arrest warrant is unlikely to make any difference unless Mr Khodorkovsky returns to Russia, the BBC's Sarah Rainsford reports from Moscow.
 
Back
Top Bottom