Urembo Corner

Urembo Corner

Preta na mimi naomba niulize hizo veet za kunyolea niniliyu huwa mnatambuaje feki na orijino?
 
cacico hako kaugonjwa ka kula kucha nilikuwa nako enzi za primary bt nlikuwa nachukia naweka mkakati wa kuacha na kweli nliacha saiv kucha zangu nzurije afu huwa sizipaki rangi wee utantamanije?
yaani siku ukiniona utakufaje mbavu?? za mkono wa kushoto zipo zipo! ila za mkono wa kulia ni balaa nimekula nimemaliza, kiruwa nahitaji maombi!
 
bi dada jaribu kuvaa nail bot,
huwa inazuia kwa asilimia 75 kuweza kula kucha zako.
Me nilijaribu ila sasa nimezoea.
 
nazipenda zilivyo ili zinipe nafasi kujisafisha ipasavyo! lol, za mkono wa kushoto zipo sizili, ila za kulia cjui ka naweza kuacha!
 
Pole sana.
Nilidhani labda unatafuta njia ya kuzuia kutafuna kucha.
Njia hii ni bomba sana.
Ila kuna wakati mwingine inabidi tujikubali vile tulivyo.
Sante.
 
Nyie kinamama wa humu ndani mbona hamnijibu lakini,nimekuulizeni hivi niniliyu zenu mkizi prune mnajuaje kama veet ni fekiau orijino?
 
Hatu-prune wenyewe ndo mana hatujui feki wala originale.
 
yaani siku ukiniona utakufaje mbavu?? za mkono wa kushoto zipo zipo! ila za mkono wa kulia ni balaa nimekula nimemaliza, kiruwa nahitaji maombi!

ukiweka nia utaweza mpnz, jarbu kujipa kinyaa ndo utawza kuacha kuzila. just imagine umekutana na mtu mkasalimiana kwa kupeana mkono mtu huyo kumbe hapo nyuma alikuwa kachokonoa pua,sikio na hata kajikuna kunako afu we ndo unaweka hyo mikono mdomon.ama we mwnywe labda ulikuwa unahesabu hela kumbe mtu ndo kazitoa huko chupin lolest!
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/
 
Nyie kinamama wa humu ndani mbona hamnijibu lakini,nimekuulizeni hivi niniliyu zenu mkizi prune mnajuaje kama veet ni fekiau orijino?

me huwa naprune kwa kutumia mkasi, mana ngoz yangu haiendani na veet. kuna cku nlijaribu kutumia ikaniunguza weee nliweka mikono juu km kuku anapunga upepo,ushawahi kumuona kuku anapunga upepo Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
nazipenda zilivyo ili zinipe nafasi kujisafisha ipasavyo! lol, za mkono wa kushoto zipo sizili, ila za kulia cjui ka naweza kuacha!

mweee.... cacico twende taratibu kidogo hapa.......wewe unatumia mkono wa kulia kujiswafi.....?
 
Last edited by a moderator:
Preta na mimi naomba niulize hizo veet za kunyolea niniliyu huwa mnatambuaje feki na orijino?

hivi kweli eeh......duh.....hii nzuri......
nani atatueleza.......?
 
dah urembo una raha yake ukijipatia.

Ubaya mie huwa sijali sana fake au orijino, mradi nimelipuka na nikaridhika.

Weaving si mtumiaji saaana ila siku nikitumia halizidi Tsh elfu kumi, sioni kama kuna orijino weave maana nywele orijino ni ulizozaliwa nazo.

Mafuta/lotion napaka chochote mradi isiwe kali, kuanzia baby care ya tshs mia mbili na kuendelea.

Sipaki enjo fesi sijui foundation, ila powder napaka kuanzia vestline, kiku, ponds etc.

Mdomo napaka nao chochote, ila warning lazima kiendane na lips vingine vinafanya lips zinakuwa kama za mvuta sigara (crunchy)
 
za asili hata kama ndefu kiasi hazina shida ila za kubandika ndio tatizo.

nazipenda zilivyo ili zinipe nafasi kujisafisha ipasavyo! lol, za mkono wa kushoto zipo sizili, ila za kulia cjui ka naweza kuacha!
 
ticha....hapa nazungumzia vile vitu ambavyo ni vya kawaida sana ambavyo kila msichana anayejipenda anatumia......binafsi zaidi ya weave....sibandiki chochote.....ila mapouda, perfume nk hivyo natupia.....

Preta nywele natural ndo mpango mzima. Unachana zako kwa mafuta ya nazi yalopikwa na herbs basi imetosha. Pink lotion sijui Blue lotion "kinyaa" tu :eek2:
 
dah urembo una raha yake ukijipatia.

Ubaya mie huwa sijali sana fake au orijino, mradi nimelipuka na nikaridhika.

Weaving si mtumiaji saaana ila siku nikitumia halizidi Tsh elfu kumi, sioni kama kuna orijino weave maana nywele orijino ni ulizozaliwa nazo.

Mafuta/lotion napaka chochote mradi isiwe kali, kuanzia baby care ya tshs mia mbili na kuendelea.

Sipaki enjo fesi sijui foundation, ila powder napaka kuanzia vestline, kiku, ponds etc.

Mdomo napaka nao chochote, ila warning lazima kiendane na lips vingine vinafanya lips zinakuwa kama za mvuta sigara (crunchy)
I will marry you!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom