Urembo Corner

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Haya wadada.....leo tuanze kupeana maujuzi katika urembo.......
Tuanze na kufundishana namna ya kugundua vitu original.....ili mwisho wa siku mtu usije kuonekana kituko bure kwa kutumia products fake......
Ni jinsi gani nitagundua.....
Powder fake....
Lipstick fake....
Perfume fake....
Weaving fake......
etc
Tuanzie hapo.......

NB: Naomba uzi huu tuutumie katika kutatua matatizo yetu yote ya urembo.......

Nawapenda sana.......(wadada tu)......
 
naomba nianze na Mac foundation/powder......kuna za sh 5000 na sh 70000.....muonekano ni huo huo......ni jinsi gani nitagundua original ni ipi na fake ni ipi.......?
 
Preta

Hofu yako ni kuonekana kituko kwa kuonekana unatumia product fake tu?!

Kama hofu ndo hiyo, watu watajuaje kama umejipulizia manukato fake?
 
Preta

Hofu yako ni kuonekana kituko kwa kuonekana unatumia product fake tu?!

Kama hofu ndo hiyo, watu watajuaje kama umejipulizia manukato fake?

zaidi ya kuonekana kituko.....pia kuna madhara katika ngozi ya mtumiaji......tupe maujuzi yako ticha Gaijin......

Last edited by a moderator:
zaidi ya kuonekana kituko.....pia kuna madhara katika ngozi ya mtumiaji......tupe maujuzi yako ticha Gaijin......

Anhaa....nitarudi baada ya masaa kadhaa kuja kuchangia mawazo
 
Last edited by a moderator:
bora preta ulivyoanzisha huu uzi!! maana wengine hadi wanazomewa mabarabarani jnsi vtu fake vnavyowaharibu!!
 
Ni 'fake weave' na siyo 'weaving fake' ingawa sielewi ni jinsi gani weave linaweza kuwa fake kwa sababu weave kimsingi ni nywele feki.

mweee....asante kwa kunisahihisha.......
kuna maweave ya human hair.....sasa hapo ndio huwa kunakudangwanywa.......
 
Preta mie nikipata kitrip cha nje huwa nanunua huko, sometime mtu akienda naagiza, kwangu ndo njia pekee ya kupata bidhaa halisi, sasa kama huko wananipa famba sijui........
 
Last edited by a moderator:
mdada, au? Naona umechangia thread ya wadada.

Vyovyote vile unavyoamua kuniona ni sawa tu kwani hunijui, sikujui, na hutakuja kunijua wala sitakuja kukujua na wala unavyonidhania sitakuja kuwa.

Na nilichochangia humu hakiashirii jinsia yangu kwa namna yoyote ile (hiyo ni kama una akili za kung'amua walau vitu rahisi tu.)

Nilichochangia awali kabisa ilikuwa ni kumsahihisha Preta na yeye aliona alipokosea na akashukuru.
 
Preta mie nikipata kitrip cha nje huwa nanunua huko, sometime mtu akienda naagiza, kwangu ndo njia pekee ya kupata bidhaa halisi, sasa kama huko wananipa famba sijui........

hiyo ndio dawa.......huku mwanakwetu poda ya sh 70000 unaikuta kwa sh 5000.......hapo ndipo tunapochanganyikiwa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom