Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Ha ha ha ha, ushapiga bajeti ya urembo kwa mwezi ni Tshs. 11, 250/=
I will marry you!!
I will marry you!!
Lazima nikurudishie ujana wako na bikra yako wallah. Unaikumbukia enzi zako?Ha ha ha ha, ushapiga bajeti ya urembo kwa mwezi ni Tshs. 11, 250/=
Lazima nikurudishie ujana wako na bikra yako wallah. Unaikumbukia enzi zako?
Picha yangu umeitoa wapi???
Duh, itoe haraka.
Waswahili wanasema "Mzuri hajipambi" wakimaanisha kuwa kama wewe mzuri huna haja ya kujipamba. Naamini Preta na wadau wengine humu jamvini ni wazuri sana, sasa hivi vitu vya kujipambia vya kazi gani?
Ili upunguze uwezekano wa kutumia vitu fake, ni muhimu kupunguza idadi ya vitu unavyotumia kwenye urembo.
Kucha bandia, nywele bandia, kope bandia, "macho" bandia, vyote vinaweza kuepukwa kwa kuanzia.