mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,016
Mmemtuma kuleta vurugu mmeshindwa and I tell atakumbwa na aibu ya mwaka yeye na mabwana zake wa siri wa chama cha MABWEPANDE!!Baada ya kutangaza rasmi nia yake ya kugombea urais,, nashawishika kusema kwamba ana sifa zote na anatosha sana. Vijana bila kujali u-CCM au u-CHADEMA tumuunge kijana wmenzetu mkono ili atuongoze. Go Zitto.