Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,447
Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii.

Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi kama kuna kitu kinakosekana na kukuathiri kisaikolojia ?

Kwa baadhi ya watu, kukosa internet au smartphone kunaweza kuwafanya wajisikie bored au hata kukosa kitu cha kufanya.
 
20260306_225029.jpg
 
Unapaswa ku re-direct your focus yako pindi inapotokea hivyo.

Ndiyo maana inashauriwa pale home kwako kiwe na vijishughuli vya hapa na pale vya kusogezea muda.
 
Internet ikikosekana basi naanza kuukwea mnazi kwa kono Moja na siku yangu inakwenda tu vyema.

Sijui wenzangu kwa upande wenu.
 
Mi internet ikikoseka jua kabisa wapangaji watapiga sana kelel maana nimewafungia submeter hvo ni lazima niwe na access ya internet ili niweze ku convert unit
 
Unapaswa ku re-direct your focus yako pindi inapotokea hivyo.

Ndiyo maana inashauriwa pale home kwako kiwe na vijishughuli vya hapa na pale vya kusogezea muda.
Mtu anaweza kuwa na shughuli nyingi lakini bado akawa mraibu wa internet.

Hata watu walioko makazini wanafanya kazi zao, lakini kila baada ya muda wanaingia internet kuangalia mitandao ya kijamii, video au vitu vingine. Hii inaonyesha kuwa kuwa na shughuli peke yake hakuondoi uraibu wa internet.
 
Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii.

Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi kama kuna kitu kinakosekana na kukuathiri kisaikolojia ?

Kwa baadhi ya watu, kukosa internet au smartphone kunaweza kuwafanya wajisikie bored au hata kukosa kitu cha kufanya.
Kila Jambo linawezekana Tu,tunasema lipe Muda mfano kipindi cha Uchaguzi mtandao ulikuwa haupo Watu waliishi sasa Hali Ile ingekuwa ya MDA mrefu mbadala WA matumizi ya internet ungepatikana tu
 
Back
Top Bottom