Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Watutsi wamejipanga sana hata hapa Tanzania wapo na baada ya Kagame kuchukua nchi wengine waliacha kazi na kwenda kwao kuajiriwa serikalini ila bado wapo wengi tu.
Watutsi wanapenda sana madaraka makubwa. Wao kazi wanazopenda ni urais, uwaziri, ukuu wa majeshi na kadhalika. Wanatafuta kazi hizo nchi yoyote wakipata wanafanya. Watutsi hawana uzalendo wa nchi yoyote ila kwa mbari yao tu.
 
Ndio maana mnajaribu kuji-attach na Kenya???? Rwanda is just a spoon, Tanzania will not destabilise Rwanda but Rwanda will destabilized itself. Subiri akina Kayumba Nyamwasa na FDLR

Utasubiri sana. Don't hold your breath.
 
waafrika tulienda kusaidia waafrika wenzetu msumbiji kupambana na mkoloni. Tofauti na tutsi extremists wanao-infiltrate nchi za wenzao ili kuzipindua!
kuhusu hilo tusi lako naamini ma-mod wapo na wanaona. Hivi ndugu, hushangai Rwanda ina wakimbizi congo DRC, malawi, msumbiji, zambia, uganda, tanzania, afrika kusini, ulaya.... Mna tatizo gani nyinyi?
kama si watoto wenu basi ni wewe unayeuza unga...
 
sijakuelewa, come again.
 
http://www.raiamwema.co.tz/mauaji-ya-kimbari-ya-rwanda-nani-wa-kujifunza:Bwana Jean Marie, sijui unakubali kuwa wa Tutsi ni wa Nyarwanda kama wewe, sijui pia kama unakubali kwamba wana haki ya kuishi kwa amani kama wewe unavyo hitaji:Analysis yako juu ya mauaji haiwezi kusaidia kitu manake mauaji yalifanyika mchana kutwa, watu wanajua wauaji ni nani na waliouawa ni nani:mauaji yaliandariwa kabla, mafunzo yalitolewa na bunduki ziligaiwa Interahamwe mchana kutwa evidences ziko hata videos zipo:aliyekuwa Prime minister kipindi hicho kakubali mbere ya mahakama ya ICTR kuwa waliandaa mauaji, wewe ni nani kukataa?What is the meaning of Genocide?Yes, nakubali kuna baadhi ya wahutu walikufa kwenye mapigano na wengine wakauawa wakilipiziwa kisasi;I dont support any killing lakini ngoja tuchukue mfano huu (Wewe ukiwa mwanajeshi, i don`t care on which side, harafu unapata taarifa kwenu wameshambuliwa ukifika unakuta Mama yako,Dada yako wamebakwa kisha wakakatwa shingo, ukakuta wadogo zako wote wameuawa na Baba yako kauawa vilevile, harafu nyumba yenu imechomwa moto;Surprisingly unakuta watu waliouwa familia yako wapo hapo hapo wanasherehekea wakila mifugo yenu;hivi kama ni wewe, na una silaha mkononi utafanya nini??)Hapa ndipo tunaongerea revenge killings, hakuna askali wa RPA aliyetumwa kuua na ndio maana wale walio uwa watu, wengi tu waliadhibiwa, hata wengine walikuwa public executed!makosa kama hayo tunayaita war crimes which are quite different from Genocide:Kungekuwa na amri ya kuua wahutu, sidhani kama kuna aamabaye angebaki, manake tayari majeshi yenu yalikuwa tayari yameshindwa, mlikuwa defenceless;Hivi wahutu ambao hawakukimbia, nawapo wengi tuu, utasema walikuwa wanalindwa nanani?kama sio askali wa RPF:If i were you ningetoa pongezi kwa Kagame manake isingekuwa yeye, i swear mungeisha, lakini the man was very strong on that hakupenda watu kulipiza kisasi😛olitics is good, critics are also good unaweza kutofautiana na Kagame thats normal to the free world, lakini what you are trying to do is spreading hatred ideology kwa kuendekeza ukabila, talking about minority and majority:Hivi nikuulize mbona Tanzania kuna ma kabila zaidi ya 128 kama sikosei, kipindi cha uchaguzi usha sikia wakiangalia huyu anatokea kabila gani?Ingekuwa hivyo kabila kubwa tanzania ndio lingekuwa linatoa ma Raisi tu, lakini wao huangalia sera, just lakini anywhere...Barack Obama asingechaguliwa kwenye nchi yenye wazungu wengi kwa taarifa yako, your ideology is backward:rwanda imesonga mbere, wananchi wanaelewana,na propaganda za watu kama wewe hazina impact yoyote kwa maendereo ya nchi:Kila mara Tutsi,Tutsi ... well am not like you sitaki kuongerea wa Hutu, manake many of them are my friends and i know it is wrong to Generalize, kunaweza kuwa na Wahutu wabaya, just kama vile inavyowezekana kuwa na Wa tutsi wabaya and the opposite is true;Hivi ulikuwa na intention gani hasa kuanzisha hii topic?Nimeona umepata support ya watu ambao bado wanatumia the same slogans used during the Genocide ..MENDE inyenzi (ohh call them the way you want aliko baragutsinze!!!kandi uwagutsinze ntaho yagiye):Mimi nakushauri kuwa moderate chuki yako haitakusaidia lolote,harafu denying a Genocide is an international crime so i would advise you to step back:
 
1. Huyu jean marie ni nani au unamuadress jean marie runiga? LOL. Natumaini unanilenga mimi jMali. kama ni hivyo tuendelee. kama sivyo potezea.

2. Mi sio mnyarwanda, mimi mtanzania pure. tatizo la hawa wenzetu ukipingana nao huwa wanakosa hoja wanaishia kukupachika uhutu na uinterahamwe, kama vile ukikosoa CDM hata uwe constructive vipi utaambiwa we gamba fasta, ingawa huyo anayejiita CDM hana hata kadi! Sijui kama unajua kuwa Salma kikwete naye ni mhutu, kwa sababu tu ya yale maneno ya kikwete.

3. Inaelekea huna ufahamu sana na historia ya Rwanda. unaongelea revenge killings kwa upande wa RPA kivipi? RPA ni jeshi la watutsi waliotokea Uganda, hawakuwa na connection yoyote na watutsi waliokuwa Rwanda. Hawa ni kizazi cha watutsi wafalme waliokimbia miaka ya 50'. Hivyo si kweli kwamba waliua in revenge of ndugu zao waliouliwa na jeshi la Rwanda wakati huo. RPA ndio walikuwa wavamizi. Wahutu ndio waliokuwa wanajihami. Hata leo hii watutsi wa rwanda wanaongea kifaransa, wakati wale wa kuja wanaongea kiingereza. Kinachowaunganisha ni kabila tu na si vinginevyo. Kwa hiyo msingi wa hoja wako ni kinyume chake kabisa, kama kuna habari ya revenge ni wahutu ndio waliotakiwa kurevenge si watutsi! RPA waliua wanyarwanda (>80% wahutu) toka mwaka 90 hadi 94! Mpaka serikali ikaomba poo kupitia mazungumzo ya Arusha. Wewe unaanza kuhesabu mauaji ya siku 100 tu ya genocide tena ambayo yana utata wa nani alimuua nani, hii sio sawa hata kidogo.

3. Samahani sikubishii lakini naomba ushahidi wa hao RPA unaodai walikuwa executed kwa war crimes.

4. Mimi kama mtanzania siwezi kuwa mkabila hata nikijitahidi vipi. Narudia tena kukuomba ukatafute historia huru ya Rwanda uone tatizo liko wapi. Minority na majority tunayozungumzia hapa si kama ya huku Tanzania. Sisi tulikuwa na wakoloni wazungu, hivyo majority tulikuwa sisi (waafrika), minorities walikuwa wazungu. Rwanda ilikuwa na mkoloni mzungu + Mtutsi. Hivyo 'the people' walikuwa ni wahutu+watwa wakipambana na mtutsi na mzungu. Ndio maana yakatokea mapinduzi ya 1958/59 kupindua ufalme wa kitutsi. labda ili tuelewane kama watanzania tuchukulie mfano wa zanzibar ambapo majority (wakina karume etc) walipindua usultani wa minorities, na kisha sultani na raia zake wakakimbilia uhamishoni uingereza, oman n.k Hivi wewe ungekubali kizazi kile cha sultani (baada ya miaka 30+) kiunde jeshi toka sijui dubai halafu kishambulie zanzibar kwa miaka minne, kitungue ndege ya karume, kipindue nchi, kiunde serikali nyingine ya minority etc...? Hivyo ndivyo exactly ilivyotokea Rwanda, substitute sultani na kagame.
Kwa kawaida hakuna chuki kati ya mhutu na mtutsi as long as kwa maneno ya Thabo Mbeki katika mgogoro huu huu: "majority are represented and minority are protected". Ndio maana hakukuwa na genocide wala nini miaka yote hiyo toka mapinduzi mpaka pale kagame alipoanza chuki zake mwaka 90.

Na ukiangalia vile vile hakukuwa na chuki dhidi ya watutsi wenyeji wa DRC, walikuwa wanaishi kwa amani kabisa mpaka Mobutu aliwapa uraia miaka ya 70' , mpaka pale kagame alipoanza kuleta vikundi kama M23. Sijui kama unajua M23 walishaanza kuimba 'genocide' against tutsi in DRC, wakati wao ndio walikuwa wanateka miji mizima mizima kama Goma, huku wakitangaza kutaka kwenda kuchukua Kinshasa! walichokuwa wanataka kufanya M23 ndio hicho hicho ambacho Kagame alifanikiwa kufanya Rwanda mwaka 94. Infact makamanda wote wakuu wa 'waasi' wa kitutsi DRC kama Laurent Nkundabatware, Bosco ntaganda, sultani makenga etc, walikuwa askari wa Kagame mwaka 94! Kwa vile unaonyesha kutojua historia naomba utafute vyanzo huru katika CV za hawa mabwana ili uthibitishe kwa uhakika kabisa, usidhani napiga porojo hapa.
Ndio maana nikaanzisha hii thread kuonyesha kuwa technically wanaweza kufanya hivi kwa nchi zote za EA, na kutimiza ile conspiracy ya 'Bahima empire'. Mind you simaanishi watutsi wote, namaanisha watutsi extremists tu.

5. Siwachukii watutsi wala wahutu, nachukia udhalimu. Lengo la kuanzisha thread hii ni kuonyesha udhalimu wa kundi la watu ambao ni extremests, sio kabila zima. Huwezi kusema thread inayoonyesha magaidi ambao ni waislamu ina chuki dhidi ya uislamu.

6. kwa mara nyingine SOMA HISTORIA. Neno inyenzi (mende) ni jina ambalo akina kagame walijipachika wenyewe tena wakilitumia kujitapa. Hii ilikuwa wakati ule walipokuwa wakifanya mashambulizi Rwanda miaka ya 90, walikuwa wanajiita mende kwa sababu walikuwa wanavamia usiku na asubuhi/mchana hawaonekani. Jina hili walilieneza wenyewe kupitia radio yao waliotengeneza mipakani kwa ajili ya kurusha matangazo yao ya propaganda za kutishia wanavijiji wa Rwanda Ndio maana wahutu waliwaita hivyo. Tafadhali kama huamini jaribu angalau ku-google tu ili upate ukweli toka vyanzo vingine ujithibitishie mwenyewe kuwa hizi si porojo.

7. Denying a genocide is not an international crime. Ni crime katika baadhi ya nchi tu kama Rwanda. Vile vile angalia mtu unadeny nini exactly. Genocide ni mauaji ya kundi moja kulitekeza lingine kwa misingi ya ukabila, udini n.k. Lakini kwa case ambayo kuna civil war ambapo participants ni kabila moja kubwa vs lingine dogo, ni makosa kudai kuwa lile dogo linafanyiwa genocide. It is a war. Ndio maana vita vya wakulima na wamasai morogoro haviitwi genocide against masai. I don't deny wahutu mfano interahamwe wameua watutsi wasio na hatia, far from it. Lakini mauaji ya 94 yanatakiwa yaangaliwe katika muktadha mpana zaidi wa vita vilivyodumu miaka minne, sio tu siku 100 za kutunguliwa ndege. Mi nitakuwa tayari kukubali kuwa kulikuwa na genocide endapo genocide hiyo itakuwa included kama kipengele cha vita kubwa na si genocide yenyewe ikijitegemea kama tukio la kivyake vyake.
kwa sababu kama nilivyosema kwenye post iliyopita kuwa kama swala lilikuwa ni chuki tu, kwa nini wahutu wasingewamaliza watutsi toka walivyowapindua ufalme wao miaka ya 50? mpaka wangoje 94?
Mwisho kabisa sijui umeongea kinyarwanda? hata sijakuelewa mi sizungumzi hiyo lugha. Nasisitiza hakuna chuki hapa, ukweli tu!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu, kila mtu anahuzunika na kufa kwa watu wale mwaka 1994. Tatizo hapa ni definition ya genocide. Hakuna mtu anakataa kuwa wahutu waliua watutsi au kinyume chake, mafuvu si yapo? itakuwa upumbavu. kinachopingwa hapa ni kudai kuwa mauaji yalikuwa ya upande mmoja, hilo tu. Si kila mauaji ya kikabila na kidini ni genocide, genocide inatakiwa kuangaliwa katika muktadha wake. Ndio maana nilimueleza jamaa mmoja hapa kuwa kama ingekuwa hivyo hapa tu Tanzania tungekuwa na magenocide ya kumwaga; walyanchali na walyanchoka kule mara, wakulima na wamasai morogoro, n.k yote hayo si mapigano ambayo makabila yanauana? kenya je wakikuyu na waluo kwenye chaguzi zao, sudani kusini sasa hivi wadinka na wanani sijui? mbona haziwi genocide?

Tuache kujadili kwa hisia badala yake twende kwa facts, mfano nani alikuwa anacontrol eneo la mto kagera maiti zilikotupwa wakati wa genocide? jeshi la waasi la kagame au serikali? inawezekana vipi jeshi la serikali lipite katikati ya askari wa kagame, liue watutsi, liwamwage mtoni, halafu lirudi lilikotoka kupitia hapo hapo?
Kiongozi mkuu wa interahamwe Robert kajuga, alikuwa ni mtutsi. Utaniaminishaje propaganda kwamba kundi lote hili liliundwa specifically kwa ajili ya kuua watutsi na kwamba simply kila member wake alikuwa ni genocidaire?

Narudia tena nobody hawezi kudharau vifo vya wahanga wa 94. Lakini tatizo huyo ambaye maelezo yake yanachukuliwa kuwa ndio official account (kagame and co) yeye mwenyewe ni mtuhumiwa. Tunasahaulishwa makusudi kuwa huyu bwana alikuwa alivamia Rwanda kijeshi kwa miaka minne toka mwaka 90 akiongoza jeshi la kitutsi. Je kwa miaka minne mauaji ya huyu bwana Rwanda mbona hayakuitwa genocide? wakati ambapo aliowauwa kutokana na takwimu za idadi, over 80% ni wahutu?
kuna mambo mengi ya kujadili hapa, ndio maana hakuna mtu anayeasi kundi la kagame anakaa salama.

Mkuu ni bahati mbaya sasa hakuna wanyarwanda wenye asili ya Tanzania, kama wapo basi labda hawana usahwishi wowote.

Unajua sasa hivi ni kama baadhi ya watu Kigali wanataka kutuaminisha kuwa wao ndio wanaojua nini kilitokea kuhusu genocide. Ajabu ni kwamba wengine hata hawakuwepo KIgali kwenyewe wakati machinjachinja yanaua watu. Badala yake ndio wanajifanya kwamba wao ni victims wakubwa wa genocide na kuitumia kama mtaji wao wa kisiasa, na njia ya kuhalisha vitendo vyao. This is unacceptable. We have to reject genocide in all terms and without any reservation, hata pale mhutu alipouawa....it is only a stupi person who will buy the so called official account of PK who was not even in Kigali when massacre was taking place. Hatuwezi kupuuza kauli za watu waliokuwepo machinjioni, eti kwa kuwa wao sio watu wa serikali. Huku ni kuwatukana ndugu zetu waliouawa na kucheza juu ya makaburi yao, na kuwapa kichwa machinjachinja. Na kibaya zaidi ni kwamba kuna hatarisha stability inayoanza kujijenga na kuifanya iwe fragile na delicate.

Again, it is not right kusema hali ya Rwanda ni sawa na Israel, au hali ya watusi ni sawa na wayahudi. Wayahudi walikuwa ni wahamiaji kutoka Middle east walioenea Ulaya na kufanya mambo ambayo watu wa Ulaya hawakutaka. Waliwafukuza kwa kuwa waulaya walikuwa na nguvu. Na waliporudi Mid East wenyeji walikuwa hawawataki, nao walichukui yale waliyokuwa wameleta kutoka Ulaya.

Watusi ni watu wa ndani ya Rwanda, wanachukiwa na interhamwe, hawachukiwi na wahutu, na mbali na interhamwe hakuna wengine wanaowachukia. Kwa hiyo ni tofauti kabisa.

Ila kinachoendelea sasa ndani ya Rwanda kwa upande fulani kinasikitisha, hii ya mtusi kuanza kumwinda mtusi ni ovyo sana. We are slowly starting to see interhamwes within watutsi, that is deeply disturbing.
 
1. Huyu jean marie ni nani au unamuadress jean marie runiga? LOL. Natumaini unanilenga mimi jMali. kama ni hivyo tuendelee. kama sivyo potezea.

2. Mi sio mnyarwanda, mimi mtanzania pure. tatizo la hawa wenzetu ukipingana nao huwa wanakosa hoja wanaishia kukupachika uhutu na uinterahamwe, kama vile ukikosoa CDM hata uwe constructive vipi utaambiwa we gamba fasta, ingawa huyo anayejiita CDM hana hata kadi! Sijui kama unajua kuwa Salma kikwete naye ni mhutu, kwa sababu tu ya yale maneno ya kikwete.

3. Inaelekea huna ufahamu sana na historia ya Rwanda. unaongelea revenge killings kwa upande wa RPA kivipi? RPA ni jeshi la watutsi waliotokea Uganda, hawakuwa na connection yoyote na watutsi waliokuwa Rwanda. Hawa ni kizazi cha watutsi wafalme waliokimbia miaka ya 50'. Hivyo si kweli kwamba waliua in revenge of ndugu zao waliouliwa na jeshi la Rwanda wakati huo. RPA ndio walikuwa wavamizi. Wahutu ndio waliokuwa wanajihami. Hata leo hii watutsi wa rwanda wanaongea kifaransa, wakati wale wa kuja wanaongea kiingereza. Kinachowaunganisha ni kabila tu na si vinginevyo. Kwa hiyo msingi wa hoja wako ni kinyume chake kabisa, kama kuna habari ya revenge ni wahutu ndio waliotakiwa kurevenge si watutsi! RPA waliua wanyarwanda (>80% wahutu) toka mwaka 90 hadi 94! Mpaka serikali ikaomba poo kupitia mazungumzo ya Arusha. Wewe unaanza kuhesabu mauaji ya siku 100 tu ya genocide tena ambayo yana utata wa nani alimuua nani, hii sio sawa hata kidogo.

3. Samahani sikubishii lakini naomba ushahidi wa hao RPA unaodai walikuwa executed kwa war crimes.

4. Mimi kama mtanzania siwezi kuwa mkabila hata nikijitahidi vipi. Narudia tena kukuomba ukatafute historia huru ya Rwanda uone tatizo liko wapi. Minority na majority tunayozungumzia hapa si kama ya huku Tanzania. Sisi tulikuwa na wakoloni wazungu, hivyo majority tulikuwa sisi (waafrika), minorities walikuwa wazungu. Rwanda ilikuwa na mkoloni mzungu + Mtutsi. Hivyo 'the people' walikuwa ni wahutu+watwa wakipambana na mtutsi na mzungu. Ndio maana yakatokea mapinduzi ya 1958/59 kupindua ufalme wa kitutsi. labda ili tuelewane kama watanzania tuchukulie mfano wa zanzibar ambapo majority (wakina karume etc) walipindua usultani wa minorities, na kisha sultani na raia zake wakakimbilia uhamishoni uingereza, oman n.k Hivi wewe ungekubali kizazi kile cha sultani (baada ya miaka 30+) kiunde jeshi toka sijui dubai halafu kishambulie zanzibar kwa miaka minne, kitungue ndege ya karume, kipindue nchi, kiunde serikali nyingine ya minority etc...? Hivyo ndivyo exactly ilivyotokea Rwanda, substitute sultani na kagame.
Kwa kawaida hakuna chuki kati ya mhutu na mtutsi as long as kwa maneno ya Thabo Mbeki katika mgogoro huu huu: "majority are represented and minority are protected". Ndio maana hakukuwa na genocide wala nini miaka yote hiyo toka mapinduzi mpaka pale kagame alipoanza chuki zake mwaka 90.

Na ukiangalia vile vile hakukuwa na chuki dhidi ya watutsi wenyeji wa DRC, walikuwa wanaishi kwa amani kabisa mpaka Mobutu aliwapa uraia miaka ya 70' , mpaka pale kagame alipoanza kuleta vikundi kama M23. Sijui kama unajua M23 walishaanza kuimba 'genocide' against tutsi in DRC, wakati wao ndio walikuwa wanateka miji mizima mizima kama Goma, huku wakitangaza kutaka kwenda kuchukua Kinshasa! walichokuwa wanataka kufanya M23 ndio hicho hicho ambacho Kagame alifanikiwa kufanya Rwanda mwaka 94. Infact makamanda wote wakuu wa 'waasi' wa kitutsi DRC kama Laurent Nkundabatware, Bosco ntaganda, sultani makenga etc, walikuwa askari wa Kagame mwaka 94! Kwa vile unaonyesha kutojua historia naomba utafute vyanzo huru katika CV za hawa mabwana ili uthibitishe kwa uhakika kabisa, usidhani napiga porojo hapa.
Ndio maana nikaanzisha hii thread kuonyesha kuwa technically wanaweza kufanya hivi kwa nchi zote za EA, na kutimiza ile conspiracy ya 'Bahima empire'. Mind you simaanishi watutsi wote, namaanisha watutsi extremists tu.

5. Siwachukii watutsi wala wahutu, nachukia udhalimu. Lengo la kuanzisha thread hii ni kuonyesha udhalimu wa kundi la watu ambao ni extremests, sio kabila zima. Huwezi kusema thread inayoonyesha magaidi ambao ni waislamu ina chuki dhidi ya uislamu.

6. kwa mara nyingine SOMA HISTORIA. Neno inyenzi (mende) ni jina ambalo akina kagame walijipachika wenyewe tena wakilitumia kujitapa. Hii ilikuwa wakati ule walipokuwa wakifanya mashambulizi Rwanda miaka ya 90, walikuwa wanajiita mende kwa sababu walikuwa wanavamia usiku na asubuhi/mchana hawaonekani. Jina hili walilieneza wenyewe kupitia radio yao waliotengeneza mipakani kwa ajili ya kurusha matangazo yao ya propaganda za kutishia wanavijiji wa Rwanda Ndio maana wahutu waliwaita hivyo. Tafadhali kama huamini jaribu angalau ku-google tu ili upate ukweli toka vyanzo vingine ujithibitishie mwenyewe kuwa hizi si porojo.

7. Denying a genocide is not an international crime. Ni crime katika baadhi ya nchi tu kama Rwanda. Vile vile angalia mtu unadeny nini exactly. Genocide ni mauaji ya kundi moja kulitekeza lingine kwa misingi ya ukabila, udini n.k. Lakini kwa case ambayo kuna civil war ambapo participants ni kabila moja kubwa vs lingine dogo, ni makosa kudai kuwa lile dogo linafanyiwa genocide. It is a war. Ndio maana vita vya wakulima na wamasai morogoro haviitwi genocide against masai. I don't deny wahutu mfano interahamwe wameua watutsi wasio na hatia, far from it. Lakini mauaji ya 94 yanatakiwa yaangaliwe katika muktadha mpana zaidi wa vita vilivyodumu miaka minne, sio tu siku 100 za kutunguliwa ndege. Mi nitakuwa tayari kukubali kuwa kulikuwa na genocide endapo genocide hiyo itakuwa included kama kipengele cha vita kubwa na si genocide yenyewe ikijitegemea kama tukio la kivyake vyake.
kwa sababu kama nilivyosema kwenye post iliyopita kuwa kama swala lilikuwa ni chuki tu, kwa nini wahutu wasingewamaliza watutsi toka walivyowapindua ufalme wao miaka ya 50? mpaka wangoje 94?
Mwisho kabisa sijui umeongea kinyarwanda? hata sijakuelewa mi sizungumzi hiyo lugha. Nasisitiza hakuna chuki hapa, ukweli tu!

Sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe interahamwe. I don't even have the words to describe your loooong but baseless garbage.
 
WATZ WALIOENDA KU-TRAIN NA KUPIGANA MSUMBIJI WALIKUWA WATU WA MSUMBIJI? anayesifia operation kimbunga ni m...se...ng....

Ila hawakubaki hukohuko na hawakuenda kutrain walienda kuwaokoa ndg zetu wa Msumbiji.Hilo tusi ulilotukana liende kwa watu waliokuleta duniani.
 
Jina lake limenitoka labda kuna wanaokumbuka hii kesi: tuliwahi kuwa na Balozi wetu Nigeria miaka fulani kumbe Mnyarwanda tulimpomshtukia alienda kwao Rwanda akapewa zinga la cheo kuiwakilisha Rwanda UN!

  • No research, no right to make conclusions!
 
Sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe interahamwe. I don't even have the words to describe your loooong but baseless garbage.

Mimi mbona siioni kama garbage,tofautianeni kwa facts.Toka mumseme mwera wa watu wa mandawa ni mhutu sina hamu na nyie (watusi na wahutu).Naombeni mshindane na hoja wenye upeo wetu tujue mkweli yupi.No matusi
 
Sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe interahamwe. I don't even have the words to describe your loooong but baseless garbage.

In short huna chochote cha kupinga nilichoandika. Huna historia mbadala, huna different facts, huna chochote ndio maana unakimbilia matusi na kejeli. Sio jambo la kushangaza kwani hata baba yenu akikosa cha kujibu anaishia kutoa mikwala ya ku-hit.
JF ni jukwaa la great thinkers hujakatazwa kutoa historia yako unavyoijua wewe, the fact kwamba hufanyi hivyo makes mine the only truth. Karibu ujadili au nenda zako kwa amani!
 
That. You are not.
 
That. You are not.

It takes thinking kuandika facts zikiambatana na references kama ninavyofanya, i dont think unahitaji ku-think kumsingizia mtu uinterahamwe na uhutu as if kuwa mhutu ni tusi!
 
Food for thought. I doubt if you will comprehend. Mhutu na Interahamwe is two different things. Kwetu hatuna uhutu wala ututsi. Tuna unyarwanda. Sisi tunapambana na interahamwe kama wewe. Either you are hutu,tutsi,twa etc. Ukileta ideology yako in the open then you are fair game. Kuna mahakama maaalum ambayo inawatafuta watu kama nyie. Kama una some brains kidogo, utajua kuwa hata Ujerumani, raia wote hawakuwa NAZI. Ila wale walioshiriki katika mauaji mpaka leo bado wanakamatwa. Vivyo hivyo, Interahamwe wote (na wewe ukiwemo) kuna siko mtafikishwa mbele ya mahakama kujibu mashtaka.

Read below if you can comprehend:

http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-24555120
 
Well done@ jMali... watakutukana sana lakini umewaambia ukweli hao watutsi. Ni tabia yao kutukana kama wakikosa hoja...
 
Lol. Naona umerudi. Ulikuwa umeenda kula christmas na ndugu zako FDLR congo?
 
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Hon. Professor
Silas Lwakabamba[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Minister of Infrastructure[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Incumbent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
26 February 2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]President[/TH]
[TD]Paul Kagame[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]Albert Nsengiyumva[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD]1947 (age 66–67)
Tanganyika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Citizenship[/TH]
[TD]Rwandan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Children[/TH]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Alma mater[/TH]
[TD]University of Leeds (BSc), (PhD)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Profession[/TH]
[TD]Professor[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Positions[/TH]
[TD]Professor, UDSM (1981-85)
Rector, KIST
Chairman, AVU (2006-10)
Former Chair, IUCEA
Rector, NUR (2006-13)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hii inawezekana wakuu..ukawa citizenship ya nchi nyingine na nationality ya nchi nyingine.. kwa lugha nyingine ufafanuzi wa tofauti ya citizenship na nationality
 
Sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe interahamwe. I don't even have the words to describe your loooong but baseless garbage.

Sir, if you find that you run short of words (like you say) critisise or improve on someone's arguments you simply keep your big mouth shut, otherwise this is a mere attempt to assassinate intellectual thinking in JF. Just an advice
 
Back
Top Bottom