Uraia wa waTutsi !

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,219
2,000
Mkuu Comrade kuna swali ambalo mpaka leo sijui jibu lake. NI kwanini Interhamwe waliwaua watutsi? kwanini hili swali tunakwepa kila mara kutafuta au kueleza majibu yake?

Hawa jamaa machinjachinja tukielewa akili zao ndio tunaweza kudeal nao vizuri, kila siku tunasema watutsi watutsi watutsi, why are we not talking of interhamwe?
hoja yako Nzuri ni Ya muda mrefu, pia imepitwa na wakati. Kwasasa dunia unajua ukweli

RIP mtikila
 

masaduku

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
698
500
hoja yako Nzuri ni Ya muda mrefu, pia imepitwa na wakati. Kwasasa dunia unajua ukweli

RIP mtikila
KABLA YA MARAIS WA KIHUTU KUULIWA NA WATUTSI HATUKUWAHI KUAMBIWA WAHTU AU WATUTSI WANAULIWA NA MPAKA SASA HILI HALIPO. SASA NI NANI ALIYEANZISHA MAUAJI YA MWININGINE?
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,219
2,000
paka na kurudi kwao hiyo idadi nyingine imetoka wapi? na walibaki Congo wakifanya nini kama hawakuwa wapiganaji, manake wananchi wakawaida walikuwa wamesharudi:
nani alikuwa na idadi Ya waliokimbilia Congo
 

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,298
2,000
Kuna mtu hapa aliwahi kupost picha ya jamaa wawili Waheshimiwa eti wanatokea kule hebu lete tena tuwaangalie tena
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Waliuana pande zote mbili. Watutsi wa RPF waliwaua wahutu wakiwemo marais wawili wahutu wa Rwanda na Burundi (habyarimana na ntaryamira) na upande wa wahutu waliwaua watutsi. Tofauti tu ni kwamba kwa vile watutsi walishika dola waliweza kuhadaa jumuia ya kimataifa na kuwafanya wahutu waonekane kama ndio walioua pekee wakati inasadika kuwa idadi ya wahatu waliouawa na watusi ni kubwa kuliko ile ya watusi iliyouawa na wahahutu.

Ninalijiuliza mara baada ya kifo cha Habyarimana RPF walikamata Kigali. Machafuko ya intetahamwe Kigali yalidumu muda mfupi lakini watu waliendelea kufa na kutiririshwa ktk mto Kagera. Nani aliendelea kuua watu baada ya RPF kushika nchi?
 

majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,090
1,500
1. Jina lake limenitoka labda kuna wanaokumbuka hii kesi: tuliwahi kuwa na Balozi wetu Nigeria miaka fulani kumbe Mnyarwanda tulimpomshtukia alienda kwao Rwanda akapewa zinga la cheo kuiwakilisha Rwanda UN!
tatizo hawa wajamaa siyo wazalendo na hawana utu hata kidogo
 

Jerlyne

New Member
Aug 14, 2015
3
75
Dah!hadi nimechoka,kweli humu kuna ma great thinkers.Mimi natokea mpakani na maiti nlizishuhudia kwa macho yangu ila kwa mawazo yangu na Mimi sikuwahi kuamini kuwa hao watu m1 watutsi wameuawa na wahutu(nterahamwe),tulipaswa kujua na upande wa pili walikufa wangapi(yaani wahutu)hainijii akilini kuwa wenyewe walikuwa wanafyekwa huku wamesimama.Na hata RPA mbona haijasema iliteketeza wangapi hadi inachukua nchi?Kuna wakati napata kigugumizi ninapoona watu wakimtetea sana PK,lakini huyu jamaa kama ilivyosemwa na mi nakubaliana na jamaa kuwa anatumia watu kama big g,nimeshuhudia clip nyingi watutsi wenzake wakitoa ushuhuda wa namna PK alivyohusika kwenye mauaji hata kwa viongizi wa dini na watutsi bila shaka ambao hawakumuunga mkono.Hata wale waliompiga mayai visa kule USA kama siyo Uk ni watutsi wenzake wanaojua ukweli kumhusu.nafikiri hawa wanatupa hizi nyuxi ni watu wa karibu sana na serikali ya Rwanda japo wanaonekana wanapingana(kuna muhutu na mtutsi)ila tunawashukuru kwa masomo mazuri na inaonekana shule mmeenda wote,kuliko kipindi kile lilikuwa linabahatika kusoma kabila moja au kulazimika kubadiri Id.miaka ijayo kama hiyo demokrasia itakuwepo kweli naona bado patachimbika
 

jonas kwigeza

Member
Oct 12, 2016
99
150
Hivi hii chuki hata baada ya kupewa uraia nyie wahutu na watutsi hamuwezi kukaa kimya tu? Maana Tanzania ni bahari hamuwezi kuvuka kwa hizo ngalawa za Hutu vs Tutsi. Au rudisheni uraia mkayapractice huko mlikoacha ushetani wa chuki za ukabila . kila Siku Tutsi /Hutu Hamna Maada nyingine na hiyo mrudishe huko kwenu . inakera.
 

jonas kwigeza

Member
Oct 12, 2016
99
150
Kamati ya kanali Rusimbi ilifanya kosa kurecruit watu kwa kula rushwa ,kila mwahjirwa akilazimika kytoa lakini moja enzi hizo. hivyo wale watu walioajiriwa naye mikoa yote wakatemwa. Kwa MTU anayeijua Kigoma hivi kuna watutsi wangapi kwenye sifa za kuwa wanajeshi ambao angewajaza hadi serikliimshitukie? Ukienda Kigoma ukait foleni kuwa nahitaji watutsi mia 100 waliomaliza form four waingie jeshii hautawapata maana hwana sifa hizo. Sio wasomi . nahata watutsi kwenye kufanya biashara za mazao huko dar. Sio wengi hivi hawzidi zaidi ya familia tano. Halafu hivi kama MTU ni RAIA kwa sifa zote unawabaguaje kwenye biashara? Hutu/ Tutsi issue is a nuisance now nyie rudisheni uraia mkapambane huko asili yenu. Hanna mada zaidi ya ukabila kweli kabisa unatembea unaangalia sura ya kitutsi unaona Huyu ni mtutsi tu na ametoka huko burundi!/Rwanda? Mbona hata mukoa mingi INA RAIA wenye sura za kitutsi? Juhudi za kikabila Tanzania ni kutwanga Maji kwenye kinu tu ,
 

jonas kwigeza

Member
Oct 12, 2016
99
150
Hivi hii chuki hata baada ya kupewa uraia nyie wahutu na watutsi hamuwezi kukaa kimya tu? Maana Tanzania ni bahari hamuwezi kuvuka kwa hizo ngalawa za Hutu vs Tutsi. Au rudisheni uraia mkayapractice huko mlikoacha ushetani wa chuki za ukabila . kila Siku Tutsi /Hutu Hamna Maada nyingine na hiyo mrudishe huko kwenu . inakera.
 

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,565
2,000
Mkuu Comrade kuna swali ambalo mpaka leo sijui jibu lake. NI kwanini Interhamwe waliwaua watutsi? kwanini hili swali tunakwepa kila mara kutafuta au kueleza majibu yake?

Hawa jamaa machinjachinja tukielewa akili zao ndio tunaweza kudeal nao vizuri, kila siku tunasema watutsi watutsi watutsi, why are we not talking of interhamwe?
was due to dissatisfaction wrapped into mistreatment .
 

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,565
2,000
Usiwe na shaka baba lao kagame anawazaba vibao wote wanaopinga utawala wake wa kibabe hata kama ni watutsi vibao tu. I mean wananyongwa hotelini etc etc.
paaaaaaaaaaah...utasikia..................paaaaaaaaaaah
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom