Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Mbona watanzania wanapenda kukemea ya wengine ilhali kwao kwanuka vile vile kama sii zaidi?
 
Most of them are not Tanzania's,ni wahamiaji haramu waliokimbia Rwanda kutokana genocide waliyofanya na wengine ni TZs wahutu wa mipakani wenye akili mbovu za kibaguzi towards Tutsi.
 
Africa ni ngumu mno kutochanganyika,lazima katika kila nchi kunakuwa na walowezi.
Nalog off
 
Most of them are not Tanzania's,ni wahamiaji haramu waliokimbia Rwanda kutokana genocide waliyofanya na wengine ni TZs wahutu wa mipakani wenye akili mbovu za kibaguzi towards Tutsi.

Kwanini watutsi mbaguliwe?!.. unachekesha sana; naona unaongea kinyumenyume. Watutsi ndio WABAGUZI NAMBA MOJA, MMEJAA CHUKI NA ROHO MBAYA nashangaa sana saivi unasema mnabaguliwa. And if so, then answer my question in the beginning of this comment. .
 
Kweli humu jf kuna watu kama jmali,ndonya,wana mtazamo mpotofu dhidi ya watusi,kwa taarifa yako umoja wa mataifa umekubali kwamba palifanyika Genocide ya watusi rwanda hiyo haipingiki tena,halafu nyie usijifanye kua mnaijua definition ya genocide zaidi ya hayo mataifa yaliokaa na kupitisha hoja hiyo,kingine usitake kudanganya watu,serikali ya MRND haijawahi kushirikisha mtusi katika serikali labda kwa hao walioweza kujificha kwa ID fake,lakini mtusi alikua hakubaliki katika hiyo serikali,kingine wewe na wenzako ingawa mnahaki ya kusema mnalotaka hayo mnayofanya ni kupinga kua hapakua genocide ya watusi na kueneza chuki dhidi ya watusi,na siku hali iliyotokea rwanda ikitokea tanzania ni nyie wa kwanza mtakao pelekwa mahakamani,haya yajuzi ni mtikila aliyaleta watu wakafukuzwa,wakanyanganywa mali zao hapakufa mtu,sasa mkiendelea kwa mtindo huu mtajikuta mkiua hao watusi kutokana na sumu mnazopandikiza kwa watanzania,mungu ibariki afrika uiepushe na mikakati ya shetani.
 
Kwanini watutsi mbaguliwe?!.. unachekesha sana; naona unaongea kinyumenyume. Watutsi ndio WABAGUZI NAMBA MOJA, MMEJAA CHUKI NA ROHO MBAYA nashangaa sana saivi unasema mnabaguliwa. And if so, then answer my question in the beginning of this comment. .

Hebu nikuulize wakati wahutu wanatawala peke yao rwanda kuanzia 1959 mpaka 1994 mbona hapakua makelele na chuki? ina maana kwamba wahutu walikua na haki ya kutawala rwanda peke yao?sasa watusi wameshika madaraka tena kwakuwashirikisha wahutu serikalini kelele nyingi na chuki dhidi ya watusi imepamba moto,sasa mnataka nchi itawaliwe na wahutu peke yao,kwani wao ndio wanyarwanda peke yao?naomba unitajie mawazili watusi waliokua katika balaza la mawazili la habyarimana,viongozi jeshini na wabunge kutoka chama cha habyarimana.
 
Kweli humu jf kuna watu kama jmali,ndonya,wana mtazamo mpotofu dhidi ya watusi,kwa
taarifa yako umoja wa mataifa umekubali kwamba palifanyika Genocide ya watusi rwanda hiyo haipingiki tena,halafu nyie usijifanye kua mnaijua definition ya genocide zaidi ya hayo mataifa yaliokaa na kupitisha hoja hiyo,kingine usitake kudanganya watu,serikali ya MRND haijawahi kushirikisha mtusi katika serikali labda kwa hao walioweza kujificha kwa ID fake,lakini mtusi alikua hakubaliki katika hiyo serikali,kingine wewe na wenzako ingawa mnahaki ya kusema mnalotaka hayo mnayofanya ni kupinga kua hapakua genocide ya watusi na kueneza chuki dhidi ya watusi,na siku hali iliyotokea rwanda ikitokea tanzania ni nyie wa kwanza mtakao pelekwa mahakamani,haya yajuzi ni mtikila aliyaleta watu wakafukuzwa,wakanyanganywa mali zao hapakufa mtu,sasa mkiendelea kwa mtindo huu mtajikuta mkiua hao watusi kutokana na sumu mnazopandikiza kwa watanzania,mungu ibariki afrika uiepushe na mikakati ya shetani.

Seems like you are accusing the wrong person,nakushauri pitia tena nilichoandika ila kwa kifupi there was only one genocide in Rwanda and it was a genocide against the Tutsi...and please mkuu do not mention me again in this hate thread,i hope you will respect that.
 
Hebu nikuulize wakati wahutu wanatawala peke yao rwanda kuanzia 1959 mpaka 1994 mbona hapakua makelele na chuki? ina maana kwamba wahutu walikua na haki ya kutawala rwanda peke yao?sasa watusi wameshika madaraka tena kwakuwashirikisha wahutu serikalini kelele nyingi na chuki dhidi ya watusi imepamba moto,sasa mnataka nchi itawaliwe na wahutu peke yao,kwani wao ndio wanyarwanda peke yao?naomba unitajie mawazili watusi waliokua katika balaza la mawazili la habyarimana,viongozi jeshini na wabunge kutoka chama cha habyarimana.
Tueleze kilichopelekea hiyo hali kuanzia 1959. Nini kilikuwa kinafanyika kabla ya 1959? nyie watutsi ndio mlikuwa mmeshika madaraka na kuwafanya wahutu kuwa second class citizens. Sasa walipochukua madaraka mkaona nyie ni bora sana hamstahili kuongozwa na wahutu ndo mana wengine mkakimbia Rwanda. By the way, wahutu ndio true inhabitants wa rwanda na burundi. Nyie ni wakuja tu!...
 
pamoja na kuwa sipendi saaana kuingia ndani sana ya uzi huu ila naufuatilia kwa karibu, najua bapa bongo wote tutsi na hutu tumeishi nao sana tu, kule mpanda mwese ilikuwa ni ngome kuu ya kambi ta tutsi na bulyankuru tabora ni ngome kuu ya hutus hizo za kigoma ni changa saana kiumri. kwangu nimesoma hata nao toka shule za msingi ,secondary jeaashini na hata chuo kikuu, na bado wengi saana katika jamii tunayoishi. kikubwa kwangu hawa jamaa ni ndugu zetu tu kama walivyo wengine hapa bongo, nisichokipenda ni pale ss tunapowakubali kama ndugu zetu hali wao hawako tayari kuishi pamoja. inasikitisha unapoona jitihada za kuwaunganisha halafu wanatoleana maneno machafu yenye maudhi na chuki. wanatakiwa tu waelewane kwani kama ni mambo ya 1994 inawezekana wanaobishana sasa ni watoto kwa kusimuliwa tu kwani baba zao tayari ni wazee, na kama ni hivyo je amani ya kweli itarudi katika ukanda ule?
 
1. Patrick karegeya: kazaliwa uganda kakulia uganda, kasoma digrii makerere, kaingia jeshini uganda hadi cheo cha luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu? wait for it; baada ya kagame kupindua serikali halali ya Rwanda, ghafla this guy akawa HEAD OF EXTERNAL INTELLIGENCE katika jeshi la ulinzi la Rwanda!

2. James kabarebe: kazaliwa rutshuru congo, kasoma makerere, kawa Chief of military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa cheo cha chief of staff jeshi la Rwanda!

3. Bosco Ntaganda: kazaliwa Rwanda, kapigana vita vya 94 akiwa na Kagame kupindua serikali ya Habyarimana, huyu si mRwanda kabisa huyu? wait for it; sasa hivi anajibu mashtaka Hague, akidai yeye ni Mcongo kabisaaaaaaaaaaaa! lakini hazungumzi kifaransa, lingala wala lugha yoyote native in congo, bali kinyarwanda tu!

4. Laurent Nkundabatware: huyu naye supposedly ni Mcongo, lakini haieleweki ilikuwaje akajoin jeshi la kagame RPF mwaka 94. baada ya kufanya makosa ya kihalifu sasa anahifadhiwa RWANDA kama "special guest". Kwa nini Rwanda inamhifadhi mhalifu wa kivita anayetakiwa nchi nyingine bila sababu, hakuna anayejua.

5. baba lao Paul Kagame mwenyewe kakulia Uganda toka ana miaka 3 naona hata kuongea alijifunzia Uganda, kawa askari wa Uganda na hata hapa Bongo alikuja kutrain akiwa kama mganda, leo hii....Rais wa Rwanda.

Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.[/QUOTE

MKUU HAYA YANAFANANA NA MAWAZO INTARAHAMWE....
 
Hebu soma tena haya sio mawazo yangu, hizi ni FACTS! Interahamwe inaingiaje hapa?

Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.
 
Bado hapa kwetu watakuja kuibuka kwa mtindo huo, unamkuta jamaa kasoma Buguruni akaendelea na shule Ilboru na kadhalika kisha akibanwa sana anakuwa Mnyarwanda.

Hata mm namfaham mnyarwanda mmoja aliyesoma ilboru, alafu udsm computer science. Kwa sasa sijui tu wapi si ajali ni kiongozi Tanzania
 
Nani kakudanganya hawwezi kufanya njamaa zao??? SIKIA HILI, Mwaka 1994/95 Serikali ilimtimua kazi KANALI RUSIMBI pale Lugalo, huyu ni mtutsi kutoka kigoma alikuwa Head of military training officer, kosa alilofanya ni kuingiza jeshini watutsi wengi kupita maneno. Hawa jamaa wapo na wanaendelea na agenda zao zisizofanikiwa. Asili ya kazi zao ni wafugaji, lakini kwa sasa wanafanya biashara ni wapi mitaji inatoka, wanakopeshwa na watutsi wenzao wa Burundi na Rwanda, ushahidi nenda soko la mchele la Tandika wapemba wameingia mitini watutsi ndio wapo wakijifanya ni wenyeji wa kigoma. Anyway ni sahihishe hapo kufanya biashara sio kosa ila kosa lao ni agenda zao za siri.
 
Hao uliowaongelea hawakupenda kuzaliwa kwenye hizo nchi, it was bad history created from ethnic ideologies kama hizo zako.
I wish ungekua karibu yangu, nikuzabe kibao.
if they are normal people why couldn't they remain in those countries which grew and natured them?, why cause disasters in other countries?
 
Waliuana pande zote mbili. Watutsi wa RPF waliwaua wahutu wakiwemo marais wawili wahutu wa Rwanda na Burundi (habyarimana na ntaryamira) na upande wa wahutu waliwaua watutsi. Tofauti tu ni kwamba kwa vile watutsi walishika dola waliweza kuhadaa jumuia ya kimataifa na kuwafanya wahutu waonekane kama ndio walioua pekee wakati inasadika kuwa idadi ya wahatu waliouawa na watusi ni kubwa kuliko ile ya watusi iliyouawa na wahahutu.
umeongea hoja nzuri, wikiendi karibia balimi Ya bariiiii iidi na Kilo moja makaange, usikose tafadhari
 
Back
Top Bottom