Si lazima iwe pasipoti tunaweza kufanya kama vile pendekezo la kwenda Zanzibar sasa hivi yaani uwe na kitambilisho cha ukazi.Kwa hiyo ninaposafiri kutoka Arusha kwenda Dar-es-Salaam nitahitaji pasipoti?
Si lazima iwe pasipoti tunaweza kufanya kama vile pendekezo la kwenda Zanzibar sasa hivi yaani uwe na kitambilisho cha ukazi.Kwa hiyo ninaposafiri kutoka Arusha kwenda Dar-es-Salaam nitahitaji pasipoti?
Hawa hata kaburi zao hazijulikani zilipo:
- Abdallah Kassim Hanga
- Sheikh Othman Sheriff
Now i know kwanini sera na fikra za Nyerere zinapingwa sana na wale ambao tulifikiri watakuwa watetezi wake kwa sababu ni watetezi wakubwa wa sera za chama alichokianzisha.
Yes katiba ni foundation ya sheria zote ni Principal (kanuni) inayolindwa na na sheria. Inaitwa sheria mama kwa sababu ndio kielelezo cha Kanuni..sheria inaweza kuwepo pasipo kanuni lakini kanuni lazima isimamiwe na sheria kulinda wadau wake.Katiba ndo foundation na msingi wa sheria zote.Na ndo maana huwa inaitwa "sheria mama"
Kazi ya serikali ni kulinda ikiwa katiba inawapa wananchi wake uhuru wa kuabudu? labda nikupe mfano mdogo sana. Kuzika mtu wako ni ibada, sasa inakuwaje watu tunaomba kibali cha kuzika kabla hatujazika? kwa nini tusizike tu kiholela ama tunavyopenda. Kazi ya serikali ni ku accommodate ibada za watu kisheria kuwalinda..Hata mkitaka kupitisha maiti barabarani serikali inaweza kusimamisha traffic barabarani ili mkazike maadam shughuli yenyewe sio hatarishi kwa wananchi.Samahani Mkandara, najua uelewa wangu ni mdogo lkn ningependa kuuliza. Inakuwaje muhitaji nguvu ya serikali katika kufuata utaratibu wenu wa ibada (including mambo ya mirathi na ndoa)?
Imani imekosa nguvu ya kuwashawishi waumini wenu kufuata taratibu za rituals zote za kiislamu?
Nakupa mfano, wakatoliki hawana talaka labda pale mmeoana ndugu wa damu. Lkn bado wakatoliki wengi wanatalikiana kufuata taratibu za kiserikali; hakuna hata siku kanisa likaipigia kelele serikali kwanini imewataliki waumini wake. Kifupi hailazimishi imani kwa mtu yoyote.
Turudi kwenye mirathi, vikao vya ukoo (makabila/traditional) vinasikilizwa na serikali kwa uzito ule ule wa will ya marehemu kama upo. Serikali inaongoza utaratibu tu, tena hata %age mnajadiliana na kukubaliana.
Sasa kinachonitatiza, kwanini msianzishe hizo mahakama zenu ndani ya say bakwata then muhukumiane wenyewe kwa wenyewe. Mtu asipotaka au asiporidhika awe na uwezo wa kutake refuge serikalini. Na mkiona wengi wanawakimbia, mjue kuna shida kwenye hizo sheria zenu!
Again excuse my ignorance!
Unaweza kutunyofolea japo machache tu aliyoyafanya for the well being of Tanzania?Ofcourse hakuwa malaika ingawa mengi aliyafanya for the welbeing of Tanzania na ndo maana kila tunapojikwaa huwa twankumbuka
Takwimu hizo si rahisi kupata. kuna kukuza mambo, lakini wapo waliotoa ushuhuda wa kuteswa, mf. marehemu maganga.
Chama kina viongozi na kiongozi kama mbovu na au alifanya maovu tumtetee? tutakuwa mapunguani tukitetea uovu.
Tanzania hii haijawahi kuwa na viongozi wabovu zaidi ya Nyerere, Karume na Jumbe.
Mkuu Bumela,
Tatizo la internet ndilo hili. Wale watoto wanaoanza kujua kuandika na kusoma nikija nyumbani kwako kukutembelea unawaambia waende wakacheze, maana mazungumzo hawatayaelewa.
Sasa, huku mitandaoni huwezi kuwazuia, maadamu wanajua kutengeneza ID na kuweka password basi matokeo yake ni kama huyo unayemsema, yaani unajikuta unajadili na mtoto wa darasa la pili.
Ukijali sana watu kama hawa, unaweza kukata tamaa kufungua JF.
Ni kweli mkuu,nikiri kwamba nimeshindwa kukuelewa kabisa!Nimeshindwa kuelewa jinsi ibada za ndugu zetu waislam zinavyoingiliwa na serikali.Ni kweli kabisa umerudi mara kadhaa kusema serikali inawaingilia,lakini nimeshindwa kuona jinsi hayo yanavyofanyika.Nilikuuliza zaidi ya mara moja unipe mfano,lakini umebaki tu kusema sielewi.Mkuu tuelimishane basi.Yes katiba ni foundation ya sheria zote ni Principal (kanuni) inayolindwa na na sheria. Inaitwa sheria mama kwa sababu ndio kielelezo cha Kanuni..sheria inaweza kuwepo pasipo kanuni lakini kanuni lazima isimamiwe na sheria kulinda wadau wake.
jmushi1, hapa ndipo Waislaam wengi tunashindwa sana kuwaelewa. Tumetumia siku nzima ya jana mimi kukufahamisha wewe lakini bado hutaki kuelewa jambo dogo sana ya kwamba serikali haitakiwi kuingilia ibada za dini maana zinalindwa na katiba. Wewe ukinambia mimi kwamba serikali haitakiwi kuingilia ibada za kikristu wala sintouliza mara ya pili (ni kweli) lakini ajabu ni kwamba swala linapokuwa upande huu lazima watu mtatafuta sababu nyinginezo kupinga ama kuitetea serikali. Muda wote umejaribu hapa kuitetea serikali wakati swala sii lako wala la kikristu ni la kikatiba hapa ndipo hua tunaposhindwa kuwaelewa.
Tabora, Kigoma, Singida na mikoa yote ya Pwani. Halafu sehemu kama Mwanza na Shinyanga: Waislamu wa Mwanza waende Shinyanga na Wakristo wa Shinyanga waende Mwanza au kinyume chake.
Hivyohivyo itumike kuhusu mikoa mingine iliyobakia.
Sijaona mahala unaniuliza ibada zipi lakini najua unataka kurudisha ubishi ule ue wa wewe kuitetea serikali wakait hizi ni ibada za waislaam.Ni kweli mkuu,nikiri kwamba nimeshindwa kukuelewa kabisa!Nimeshindwa kuelewa jinsi ibada za ndugu zetu waislam zinavyoingiliwa na serikali.Ni kweli kabisa umerudi mara kadhaa kusema serikali inawaingilia,lakini nimeshindwa kuona jinsi hayo yanavyofanyika.Nilikuuliza zaidi ya mara moja unipe mfano,lakini umebaki tu kusema sielewi.Mkuu tuelimishane basi.
Hamna shida nieleze nakusikiliza kuhusu hizo ibada.Kama mtu haelewi si unamwelewesha mkuu wangu?orodhesha hizo ibada ili twende straight to the point instead of beating around the bushes.Sijaona mahala unaniuliza ibada zipi lakini najua unataka kurudisha ubishi ule ue wa wewe kuitetea serikali wakait hizi ni ibada za waislaam.
Labda nikuulize wewe, kwa mfano Vatican wakitaka kuleta misaada nchini kwa Wakristu iwe hata Ujenzi wa kanisa, Je serikali inaweza kuingilia na kukataa msaada huo kwa sababu Waislaam wamesema hawana faida nao?..
Kilasara,
Juhudi bado zinaendelea. Ni mchakato wa muda mrefu. Wikipedia hawana lolote juu ya hizi juhudi. Nadhani kwa sasa wamekaribia kumtangaza "mwenye heri" na itachukua miaka na miongo kabla ya kufikia hatua ya "mtakatifu."