Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Jamani mwacheni babu wa Watu msikute yupo motoni huko anaungua huku tena mna mshindilia
 
Muungano uvunjwe halafu upande wa Tanganyika tugawane maeneo au majimbo ya Waislamu na Wakristo.

Watu kama wewe ndo mnaongeza matatizo juu ya matatizo.Ebu anza kwa kupendekeza majimbo ya waislam.
 
Watu kama wewe ndo mnaongeza matatizo juu ya matatizo.Ebu anza kwa kupendekeza majimbo ya waislam.
Tabora, Kigoma, Singida na mikoa yote ya Pwani. Halafu sehemu kama Mwanza na Shinyanga: Waislamu wa Mwanza waende Shinyanga na Wakristo wa Shinyanga waende Mwanza au kinyume chake.
Hivyohivyo itumike kuhusu mikoa mingine iliyobakia.
 
Samahani Mkandara, najua uelewa wangu ni mdogo lkn ningependa kuuliza. Inakuwaje muhitaji nguvu ya serikali katika kufuata utaratibu wenu wa ibada (including mambo ya mirathi na ndoa)?

Imani imekosa nguvu ya kuwashawishi waumini wenu kufuata taratibu za rituals zote za kiislamu?

Nakupa mfano, wakatoliki hawana talaka labda pale mmeoana ndugu wa damu. Lkn bado wakatoliki wengi wanatalikiana kufuata taratibu za kiserikali; hakuna hata siku kanisa likaipigia kelele serikali kwanini imewataliki waumini wake. Kifupi hailazimishi imani kwa mtu yoyote.

Turudi kwenye mirathi, vikao vya ukoo (makabila/traditional) vinasikilizwa na serikali kwa uzito ule ule wa will ya marehemu kama upo. Serikali inaongoza utaratibu tu, tena hata %age mnajadiliana na kukubaliana.

Sasa kinachonitatiza, kwanini msianzishe hizo mahakama zenu ndani ya say bakwata then muhukumiane wenyewe kwa wenyewe. Mtu asipotaka au asiporidhika awe na uwezo wa kutake refuge serikalini. Na mkiona wengi wanawakimbia, mjue kuna shida kwenye hizo sheria zenu!

Again excuse my ignorance!
 
Last edited by a moderator:
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...

Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia

Political repression

In 1962, Nyerere created the Preventive Detention Act, which was used to imprison opposition and suppress trade unions. People disappeared and victims are estimated to be in the thousands. International human rights organization Amnesty International adopted 141 prisoners of conscience in 1977.[SUP][19][/SUP] In 1979, Nyerere had more political prisoners than even South Africa.[SUP][20][/SUP] Press was controlled through refusal of official registration.
Nyerere's prison camps for political dissidents were notorious for practices such as electric shocks, solitary confinement, and denial of basic necessaries. Almost everyone contracted diseases such as tuberculosis, according to survivors.[SUP][21]



The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[SUP][27]


[/SUP]
He was criticised[SUP][by whom?][/SUP] for his vindictive actions after unsuccessfully appealing to the Pan Africanist Congress to adopt dialogue and détente with Pretoria instead of armed revolution. He supported a leadership coup that installed David Sibeko but after Sibeko's assassination he crushed PAC resistance at Chunya Camp near Mbeya on 11 March 1980, when Tanzanian troops murdered[SUP][citation needed][/SUP] and split up the PAC army into detention camps. Nyerere then pressured the Zimbabwe government to arrest and deport PAC personnel in May 1981. The PAC never recovered and despite rivalling the ANC from 1959–1981 quickly declined. Its Tanzanian controlled remnant gained only 1.2% in the South African freedom election of 1994.[SUP][citation needed][/SUP][/SUP]

Kuna la kushangaza hapo? Unajua wabongo tatizo lenu mnamwonaga nyerere kama ka mungumtu hivi!!!! Hana jipya. Huo ni sehemu tu ya maovu ya Viongozi wa TANU na CCM. Mengi yatajulikana baada ya uchaguzi ujao CCM itakapokuwa chama pinzani!!!!! Mungu baba, tuondolee huu uozo wa CCM
 
Kitabu hicho kimo humu humu kwenye thread aliyoileta Zomba. Na nimejibu kuwa mwandishi wake, Ludovick Mwijage hakuwa innocent bystander aliyekamatwa kwa uonevu na kuswekwa lupango. Amekiri mwenyewe kuwa alishiriki katika njama za kupindua serikali. Huwezi kukiri kuwa ulikamatwa unaiba lakini hapo hapo unasema walikuonea kukuweka jela.

Ndio maana yake....haiwezekani mtu akakamatwa tu bila sababu. Na namna ya kuzima wapinzani wa aina hiyo haijaishia kwa Nyerere tu. Tusifikirie tumejificha watu hawaoni tunayoyafanya.
 
Muungano uvunjwe halafu upande wa Tanganyika tugawane maeneo au majimbo ya Waislamu na Wakristo.

Sideeq, nakushauri uwahimize ndgu zako waandike kwenda kulia na si kushoto wasije kuwa wajinga kama wewe, alafu unalolipendekeza liktokea litasaidia nini kwa mf? Haya mambo ya kipuuzi ndo yanaleta ugonvi usio na maana. Jitu ni leusi tii alafu at linajifanya Arab au Zungu, ni upumbafu uliopitiliza kuondoa umoja tulionao kwa kushangilia na kushabikia mambo ya kipumbavu kama haya
 
Wewe unafikiri mambo kwa chini chini ama kati kati?

I go deep into something that I need to understand. That is what I have learned as I continue matching forward with life. Udini hauna nafasi maana siuoni kabisa kwenye shughuli zangu za maisha isipokuwa kwenye baadhi ya ofisi za serikali na kwenye siasa. Ukiona nafikiria kitu juu juu lazima kitakuwa hakina tija....na mara nyingi baada ya glass kadhaa za konyagi....
 
kilichosemwa ndio ukweli kuhusu nyerere, huo ndo upande wa pila ambao wengi hawaujui na wanao ujua hawataki kuuamini.
Tuache ujinga wa kuwatukuza watu na kuwaona kuwa hawakosei,
nyerere alikuwa na madudu yake mengi tu tena makubwa na yenye madhara kwa taifa hili.
Yeye ndie alie didimiza uchumi wetu, akang'ang'ania madaraka na kuwa kama dikteta, akakandamiza uhuru
wa watu kuongea, akabana elimu kiasi kwamba ni wachache tu waliokuwa wanapata nafasi ya kusoma huku wengine wakidanganywa wajifunze kusoma na kuandika eti ndo wataondoa ujinga, yeye ndio muasisi wa udini ambao mpaka leo unaitesha nchi yetu.
Alikuwa na mazuri yake mengi lakini pia alikuwa na mabaya yake mengi t.u
 
Hawa hata kaburi zao hazijulikani zilipo:


  1. Abdallah Kassim Hanga
  2. Sheikh Othman Sheriff

Hawakufia JELA... Na Walikuwa na UADUI na Wazanzibari kama MZEE Moyo; Hakumpenda Hanga hata kidogo sio Nyerere Hanga

was a Socio-Communist
 
Nyerere alishakiri kuwa yeye si Malaika,na kwahivyo anamapungufu yake,pengine hoja zinazotolewa nyingine hazina mashiko,ila tujue lisemwalo lipo......hakufanya hayo mambo peke yake,hivyo basi aliokuwa akiwatuma bado wapo wajitokeze wadhibitishe haya yasemwayo.ilijengeka hofu kubwa juu ya utawala wake, kuikosoa serikali ilikuwa ni kitu kisichovumilika kwenye upeo wa macho yake.hii nayo yaweza kuwa ni sababu ya haya yasemwayo,ila kuna mazuri pia aliyafanya hivyo anastahili sifa kwa mazuri hayo.Dunia tuliyokuwa nayo sasa si ya kipindi kile tena hatuwezi kwenda ishi katika zama zile,sasa tuna uhuru wa kuona ama kusikiayale yanayofanyika katika kila kona ya dunia hii kwa siri ama dhahiri,tumeona siri mbalimbali zikivuja za mataifa makubwa.Tumejua ni watu wanamna gani tunaohusiana nao,hivyo basi kwa ufahamu tuliopata toka sehemu mbalimbali duniani tunauwezo sasa wa kuchagua mfumo tuutakao kwa kuendesha hii nchi na kufanya viongozi wasiwe miungu watu bali wawe wawajibikaji kwa watuwaliowachagua kwa kufuata katiba iliyowaweka madarakani na pia wanapokosea wawajibishwe kwa hilo!
 
Well said. Nyerere alikuwa na mapungufu yake. Uchumi kwa kweli hakuumudu kabisa na alikuwa hapendi upinzani wowote ule wakati wa utawala wake. Hilo aliwahi kulisema mara kadhaa.

But Nyerere was not a dummy. He was very intelligent and eloquent and well-read. Those who say everything was written fro him dont know Nyerere at all. You could read your "Risala" to Nyerere and he would write nothing however long your "Risala" but when he stood up he would deal with all points raised one by one without reading anywhere. That was Nyerere. He could explain complicated things to novices but he could confront any intelligent person in the world. Reporters who were assigned to interview Nyerere knew very well that they had to do they assignment before confronting him. Some of us remember very well how he dealt with the reporters who came with the US Foreign Minister, Henry Kissinger and how he swayed the world opinion on Cuban involvement in the war in Angola.

Unamkumbuka David Ottaway of The Washington Post wakati ule? Alikuwa ni mmoja wa waandishi wa habari waliokuja na Henry Kissinger, Dar es Salaam, September 1976. Nakumbuka sana wakati ule pamoja na matatizo tuliyokuwa nayo na freedom fighters fulani kutoka nchi za Afrika Kusini.

David Ottaway aliandika gazetini, Washington Post, wakati ule kwamba Nyerere alipoulizwa na waandishi wa habari kama Kissinger's mission to Africa was a failure, "Nyerere responded professorially by saying, 'A mission of clarity is not a mission of failure.'"

Kissinger may not have achieved what he wanted to achieve on his mission to Africa. But he learned a lot from Nyerere. In that sense, his mission was successful.

In his meeting with Kissinger, Nyerere explained and clarified his position on Rhodesia and Angola - and the rest of southern Africa - with intellectual depth and magnificent eloquence. Kissinger aliporudi Amerika, alimsifu sana Nyerere na kusema Nyerere "is extremely brilliant." Ottaway also wrote in The Washington Post that Kissinger got "a dose of African nationalism" from Nyerere.

David Martin, a renowned British journalist who worked in Tanzania for many years, also wrote the following about Nyerere and Kissinger when the two leaders met in Dar es Salaam during that time, a tribute to Nyerere's brilliance and astonishing intelligence:

"When he (Nyerere) met the astute American Secretary of State Henry Kissinger for the first time in Dar es Salaam in 1976, the two men began a mental verbal fencing match of David and Goliath proportions.

One began a quote from Shakespeare (some of whose works Nyerere translated into Swahili setting them in an African context) or a Greek philosopher and the other would end the quotation. Then Nyerere quoted an American author. Kissinger laughed: Nyerere knew Kissinger had written the words.

Neither man trusted the other. Kissinger wanted the negotiations (over Rhodesia, now Zimbabwe, and southern Africa) kept secret. Nyerere, understanding the Americans' duplicity, took the opposite view and as Africa correspondent of the London Sunday newspaper, The Observer, I was to become the focal point of the Tanzanians' strategic leaks.

That year the newspaper led the front page on an unprecedented 13 occasions on Africa. All the leaks, as Kissinger knew, came from Nyerere. One political fox had temporarily outwitted the other." - (David Martin, "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Obituary," Southern African Research and Documentation Centre (SARDC). David Martin, former news editor and deputy managing editor of the Standard, renamed Daily News, Dar es Salaam, Tanzania, was a founder-director of the Southern African Research and Documentation Centre (SARDC) of which Julius Nyerere was patron. He lived in Tanzania for 10 years from 1964 to 1974 and frequently talked with Nyerere through the decades, a period of 35 years, until Nyerere's last days).

Halafu kuna ambao wamejaribu hapa kumtumia Professor Ali Mazrui kumshambulia Nyerere kwa sababu zao, bila kujua au kujali jinsi Mazrui alivyokuwa anamheshimu sana Nyerere na anavyomheshimu hadi leo,ingawa kuna mambo waliyotofautiana, ya kisiasa, siyo ya kidini kama wengine wanavyojaribu kupindua ukweli, kwa mfano kuhusu Biafra na kwa nini Tanzania illitambua, bila kusoma yote Mazrui aliyoandika kuhusu suala hilo.

Sijui ni Ali Mazrui yupi wanayemzungumzia. And I don't know which books or articles by him they are referring to; he is not the Mazrui some of us have known since the sixties when he gained prominence on the African intellectual scene with his brilliant articles published in Transition, a highly intellectual magazine founded and edited by Rajat Neogy (RIP) in Kampala, Uganda.

Soma hapa chini Ali Mazrui aliyoandika kuhusu Nyerere's intellectual ability and brilliance:

"Julius Nyerere is the most enterprising of African political philosophers. He has philosophized extensively in both English and Kiswahili.

He has tried to tear down the language barriers between ancestral cultural philosophy and the new ideological tendency of the post-colonial era. Nyerere is superbly eloquent in both English and Kiswahili.

He has allowed the two languages to enrich each other as their ideas have passed through his intellect.

His concept of ujamaa as a basis of African socialism was itself a brilliant cross-cultural transition. Ujamaa traditionally implied ethnic solidarity. But Nyerere transformed it from a dangerous principle of ethnic nepotism into more than a mere equivalent of the European word 'socialism.'

In practice his socialist policies did not work – as much for global reasons as for domestic. But in intellectual terms Nyerere is a more original thinker than Kwame Nkrumah – and linguistically much more innovative.

Nkrumah tried to update Lenin – from Lenin's Imperialism: The Highest State of Capitalism to Nkrumah's Neo-Colonialism: The Last Stage of Imperialism. Nyerere translated Shakespeare into Kiswahili instead – both Julius Caesar and The Merchant of Venice.

Nkrumah's exercise in Leninism was a less impressive cross-cultural achievement than Nyerere's translation of Shakespeare into an African language.

Yet both these African thinkers will remain among the towering figures of the twentieth century in politics and thought." – (Ali A. Mazrui in Ali. A. Mazrui, ed., General History of Africa VIII: Africa Since 1935, Berkeley, California, USA: University of California Press, 1993, p. 674).

Ali Mazrui again on Nyerere:

"(Nyerere's) great experiments and inspirational ideas are an indication that the mystique of Nyerere is not simply in his being an intellectual. It is also in his being a gifted and imaginative one.

Of all the top political figures in English-speaking Africa as a whole, Nyerere is perhaps the most original thinker....The originality of Nyerere consisted not in the policies advocated but in the arguments advanced in their defense." – Ali A. Mazrui in Alamin M. Mazrui and Willy M. Mutunga, eds., Governance and Leadership: Debating the African Condition: Mazrui and His Critics, Volume Two, Trenton, New Jersey, USA: Africa World Press, 2003, p. 85. Ali Mazrui's assessment of Nyerere and his policies, cited here, was first published as an article, "Tanzaphilia: A Diagnosis," in Transition: A Journal of The Arts, Culture and Society, Vol. 6, No. 31, June – July 1967, Kampala, Uganda, pp. 20 – 26. The article was also republished in Ali Mazrui's book, Violence and Thought: Essays on Social Tensions in Africa, London: Longmans, 1969. See also Ali A. Mazrui, On Heroes and Uhuru-Worship: Essays on Independent Africa, London: Longmans, 1967).

Professor Mazrui also gave a lecture on intellectualism in East Africa entitled "Towards Re-Africanizing African Universities: Who Killed Intellectualism in the Post-Colonial Era?" in Nairobi, Kenya, on 14 September 2003, and had this to say about Nyerere:

"The most intellectual of East Africa's Heads of State at the time was Julius K. Nyerere of Tanzania – a true philosopher, president and original thinker....

In Tanzania intellectualism was slow to die. It was partially protected by the fact that the Head of State – Julius Nyerere – was himself a superb intellectual ruler. He was not only fascinated by ideas, but also stimulated by debates....

In my own personal life I was respected more as an intellectual by Milton Obote in Uganda and Julius Nyerere in Tanzania than I was by either Mzee Kenyatta or Daniel arap Moi in Kenya.

Even Idi Amin, when he was in power in Uganda, wanted to send me to apartheid South Africa as living proof that Africans could think. Idi Amin wanted me to become Exhibit A of the Black Intellectual to convince racists in South Africa that Black people were human beings capable of rational thought."

Pia soma yafwatayo - Ali A. Mazrui on Nyerere in his article, "Nyerere and I":

"He was one of the giants of the 20th Century.... He did bestride this narrow world like an African colossus....

Let me also refer to Walter Rodney. He was a Guyanese scholar who taught at the University of Dar es Salaam and became one of the most eloquent voices of the left on the campus in Tanzania. When Walter Rodney returned to Guyana, he was assassinated.

Chedi Jagan, on being elected President of Guyana, created a special chair in honour of Walter Rodney. Eventually I was offered the chair and became its first incumbent. My inaugural lecture was on the following topic: "Comparative Leadership: Walter Rodney, Julius K. Nyerere and Martin Luther King Jr."

After delivering the lecture, I subsequently met Nyerere one evening in Pennsylvania, USA. I gave him my Walter Rodney lecture. He read it overnight and commented on it the next morning at breakfast. He promised to send me a proper critique of my Rodney lecture on his return to Dar es Salaam. He never lived long enough to send me the critique....Julius Nyerere was my Mwalimu too. It was a privilege to learn so much from so great a man." - (Ali A. Mazrui, "Nyerere and I," 12 November 2005).

A scholar of Mazrui's stature and intellectual calibre is not going to ask someone to critique his paper, the way he asked Nyerere, if that person is not an intellectual heavyweight himself, mnaodhani Nyerere alikuwa mtupu kichwani au alikuwa ni intellectual featherweight.

Professor Ali Mazrui also had this to say about Nyerere when he was interviewed by The Gambia Echo, 25 July 2008:

"The fact that Nkrumah had a greater positive impact on me than has any other leader does not necessarily mean that I admire Nkrumah the most.

Intellectually, I admired Julius K. Nyerere of Tanzania higher than most politicians anywhere in the world. Nyerere and I also met more often over the years from 1967 to 1997 approximately.

I am also a great fan of Nelson Mandela. By ethical standards Mandela is greater than Nyerere; but by intellectual standards Nyerere is greater than Mandela."

Mazrui also paid high tribute to Nyerere not only as an intellectual but as a highly ethical leader:

"Nyerere as president was a combination of deep intellect and high integrity...(and) was in a class by himself in the combination of ethical standards and intellectual power. In the combination of high thinking and high ethics, no other East African politician was in the same league." - (Ali Mazrui, "Mwalimu's Rise to Power," Daily Nation, Nairobi Kenya, 17 October 1999, also delivered as a lecture at Cornell University).


And a renowned British conservative, Jonathan Power, although an ardent critic of Nyerere, stated in his article, "Lament for Independent Africa's Greatest Leader":

"There was a time when it (Tanzania) was described, in terms of its political influence, as one of the top 25. It punched far above its weight. That formidable achievement was the work of one man (Nyerere), now lying close to death in a London Hospital....

His extraordinary intelligence, verbal and literary originality... and apparent commitment to non-violence made him not just an icon in his own country but of a large part of the activist sixties' generation in the white world who, not all persuaded of the heroic virtues of Fidel Castro and Che Guevara, desperately looked for a more sympathetic role model.

Measured against most of his peers, Jomo Kenyatta of Kenya, Kwame Nkrumah of Ghana, Ahmed Sekou Toure of Guinea, he towered above them. On the intellectual plane only the rather remote president of Senegal, the great poet and author of Negritude, Leopold Senghor, came close to him.

Many of us will mourn Julius Nyerere when he is gone. He was, without any doubt...the most inspiring African leader of his generation." - (Jonathan Power, TFF Jonathan Power Columns, "Lament for Independent Africa's Greatest Leader," London, October 6, 1999).

Philip Ochieng' wrote the following about Nyerere:

"Mwalimu Julius Kambarage, son of Chief Nyerere, is the greatest and most successful leader that Africa has ever produced since the European colonial regime collapsed 50 years ago" - (Philip Ochieng', The East African, Nairobi, Kenya, 19 October 2009).


Yoweri Museveni on Nyerere:

"He was the greatest black man that ever lived. There are other black men such as Nelson Mandela and Kwame Nkrumah, but Nyerere was the greatest." - (Yoweri Museveni, quoted by New Vision, Kampala, 4 April 2012).

Mwalimu Nyerere alikuwa na mapungufu yake; we all do. But give credit where credit is due. You can say all you want to say about him. He was a towering figure in the global arena in political and intellectual terms and nothing is going to diminish his stature.
 
Katika mambo ambayo nimeiandikia Tume ya Katiba Mpya ni kuviondoa Quran na Biblia pale Ikulu yetu ili shughuli zote za kiserikali vikiwemo VIAPO vitabu hivi visitumike. Hata mjadala huu unaona unavyoanza kutekwa na UDINI. Tunajidai serikali na vyama vyetu vya SIASA havina DINI lakini sivyo tunavyoishi na kutenda. Mambo mengi kuanzia chaguzi zetu, teuzi zetu,..., zinazingatia sana DINI.
Baadhi yetu DINI tumezikuta ukubwani kabisa. Hazitusumbui. Na nilichogundua DINI ni suala la mtu na Mungu wake. Hakuna DINI itakayomfikisha mtu kwa Mungu kwa kuwa yeye mwenyewe hana DINI.
 
"wachache waliopata nafasi ya kwenda shule ni sawa na mtu aliyetumwa kwenda kutafuta chakula kutoka kwenye kijiji chenye njaa,asipokipata chakula alichotumwa kijiji kitaangamia kwa njaa","shule sio mahali pa wanafunzi kukaa na kusoma muda wote ila pia lazima wajihusishe na shughuli mbalimbali za maendeleo wakiwa shuleni"{paraphrased}.................ni baadhi ya quotes za mwalimu nlizozikuta zimebandikwa kwenye kuta za madarasa ya Tabora boys high school,they are so inspiring na zinakumbusha kua elimu yako ni kwa faida ya taifa!!!I LIKE MWALIMU
 
nyerere ni kiongozi wa mafano mapungufu ya kiutawala ni kawaida sana lakini ni kiongozi ambaye alitoa ya mwanga kwa jamii zaidi tanzania ni moja mataifa machache ambayo alijatawaliwa kijeshi.tumuenzi mwalimu jk
 
Unapoteza muda wako kusema wikipedia inapotosha! Wikipedia sio relayable source. Hata wewe unaweza kuchange file lolote mule.
 
jasusi do you know the meaning of evil genius. evil genius means "a brilliant person who uses his abilities for negative or harmful ends" so i don't think thats a word i will use towards someone i respect and admired. you said mandela's jailor used to call him "sir" may be on late 1980s because they knew how important he was. there was a person called robert "bob" sobukwe. this guy was alot more respected than mandela.. [1960 and 1970]
Ndugu yangu, tumia akili kidogo. Ian Smith was not an angel. He was on the opposite side of Nyerere. For him, an evil man, to call the other person, of a different persuasion evil, means that Nyerere was no evil. Ni kama vile shetani akuite wewe shetani, kwa sababu hakubaliani na msimamo wako. Sasa hapo shetani ni nani?
 
Tabora, Kigoma, Singida na mikoa yote ya Pwani. Halafu sehemu kama Mwanza na Shinyanga: Waislamu wa Mwanza waende Shinyanga na Wakristo wa Shinyanga waende Mwanza au kinyume chake.
Hivyohivyo itumike kuhusu mikoa mingine iliyobakia.

Kwa hiyo ninaposafiri kutoka Arusha kwenda Dar-es-Salaam nitahitaji pasipoti?
 
Back
Top Bottom